barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Pinda yupo nchini, leo alikuwa kijijini Kwake msidanganye watu..... Pinda na Mwandosya ni siku tu zinahesabika
Kamwe hawawezi, yaani mmekaa mkao wa kupokea wana sisiemu???
Pinda yupo nchini, leo alikuwa kijijini Kwake msidanganye watu..... Pinda na Mwandosya ni siku tu zinahesabika
Pinda yupo Botswana kuhudhuria semina ya ufugaji nyuki
PINDA ni Mlutheri kwahiyo kwa hoja zako ana qualify..
PINDA ni Fisadi, Escrow alikuwepo kwahiyo kwa hoja zako ana qualify..
PINDA si Mkaskazini, lakini hata akina MASHA, MSINDAI, MGEJA sio wakaskazini kwahiyo pia anaweza qualify..
Haya tafuta lingine...
Ata kampeni hujaziangalia alafu unaongeaongea usiyoyajua hapa, Pinda hana uchu na madaraka mtu yule,kama haumfahamu Pinda yatakusumbua, Pinda yupo pamoja na Magufuli.Na Bilal yupo wapi? Pinda hayumo kwny ile team ya campaign ni kwann? Openly kuna mtafaruku mkubwa ndani ya chama!
Mbona unataka kupandikiza mbegu ya udini, ukabila na ukanda?Wewe unaota kweli, toka lini Mtoto wa Mkulima Pinda ana ushirika na mafisadi na majizi yaliyoweka kichaka chao UKAWA?Pinda hawezi kuungana na hao wezi wenu.Hao watakutana na mahakama maalum ya Magufuli.
Wait kwani Pinda ni wa Kaskazini?maana nasikia inaundwa timu ya Kaskazini..Mbowe,Lowassa,Mbatia na Sumaye
Wait kwani Pinda ni Mlutherin?maana nasikia huku kuna timu ya WaLutheri...Mbowe,Lowassa,Mbatia na Sumaye
Sasa Pinda anakosa hizo sifa tatu muhimu, kwanza sio fisadi, pili sio Mkaskazini na tatu sio Mlutheri.
Duuh hi naijua leo
mkuu kwanini waogope wakati wameshainunua jf na jukwaa la moderators lote limehamia kwa watu wa lumumba.. Wewe hushangai hizi propaganda za udini na ukabila zinawekewa mpaka thread na thread inaachwa?? Wewe hushangai waeneza propaganda hizo wanaachwa lakini sisi tukiwakosoa kidogo wanatulima ban..
Mkuu this place sio safe tena, jf imeshauzwa kwa ccm na wao ndio wanairun sasa, hii yote ni akina melo kuogopa ile sheria itakayoanza september 1. Hawana jinsi, ili mkono uendelee kwenda kinywani ilikuwa lazima wafanye negotiations na watawala na jf sasa itumike kama wao watakavyotaka. Mfano mdogo tu; wakati ule wa maafuriko ya mbeya, arusha na mwanza pamoja na zanzibar waliibana server na pia guests walifungiwa kufuatilia kinachoendelea "ukizingatia jf ndio inatoa latest feeds kwa muda muafaka kwa both members na non-members ambao ndio kundi kubwa zaidi", watu walikuwa wanalalamika hata wakitaka ku'upload picha humu zinagoma, lakini leo kwenye ufunguzi wa kampeni za ccm network ilikuwa shwari, unaingia kama guest inakubali na picha zina'upload kwa uzuri kabisa.. Swali ni why?? Jibu wanalo mods..
Kwa kipindi hiki hata sie tunaoweka threads au post za kuwananga hawa jamaa tuwe makini sana, the next day unaweza kuta jina lako linatembea kwenye carridors pale oysterbay makao makuu, na vijana wa kazi wakapewa majukumu haraka..
Wewe unaota kweli, toka lini Mtoto wa Mkulima Pinda ana ushirika na mafisadi na majizi yaliyoweka kichaka chao UKAWA?Pinda hawezi kuungana na hao wezi wenu.Hao watakutana na mahakama maalum ya Magufuli.
Wait kwani Pinda ni wa Kaskazini?maana nasikia inaundwa timu ya Kaskazini..Mbowe,Lowassa,Mbatia na Sumaye
Wait kwani Pinda ni Mlutherin?maana nasikia huku kuna timu ya WaLutheri...Mbowe,Lowassa,Mbatia na Sumaye
Sasa Pinda anakosa hizo sifa tatu muhimu, kwanza sio fisadi, pili sio Mkaskazini na tatu sio Mlutheri.