demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,309
- 15,289
Ukimya wa Kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi na Waziri mkuu wa Tanzania, Mh Mizengo Peter Pinda unaibua tafrani ndani na nje ya chama.
Mh Pinda Hakuweza kuonekana katika tukio muhimu la chama la uzinduzi wa Kampeni ya CCM. Hali ambayo ilizua maswali, ni vipi mtu kama yule anakosekana pale.
Mzee wetu, tunakusihi ufanye uamuzi mapema kabla Dirisha la usajili la UKAWA halijafungwa. Tunajua kuna udhalimu ambao umeugundua ndani ya Chama chako, basi ni vyema kuamua mapema.
Tunajua kwamba uko na mwenzako ambae naye pia yuko katika dimbwi Zito la Mkanganyiko. Nakushauri puuzia vitisho vya aina yeyote na uanze safari na ukurasa mpya wa siasa.
Watanzania wanamatumaini makubwa sana mabadiliko ambayo yanatarajika kufanyika hapo Oktoba! Si vibaya nawe ukawa sehemu ya hili tukio muhimu la kihistoria.
Karibu sana katika mezani yetu na pia shiriki nasi kuwaletea watanzania mabadiliko yaliyo shindikana kwa miaka 53 iliyo pita.
-Mzalendo.