MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
- Thread starter
- #21
Copyright © 1995-2012 The Marcus Garvey and UNIA Papers Project, UCLA
[/QUOTE]Katika vyote ulivyonigusa navyo Mbuzi ni Uzee wa hizi picha. Umenikumbusha Mashairi ya Langstone Hughes, Marcus M Garvey, William Silvester William duBois, na wengine wengi those days back...Hongera Mbuzi. Hata Aliyepata kuwa Waziri Mkuu wa Jamaica, Hon Percival Patterson alilitaja hili, Prof Joshua Mghululi wa Jamaica akarejea(RIP Prof) Robert N.Marley naye akamuimbia wimbo huyu jamaa. Andrew Young Pia amesoma mashairi yake mengi katika jukwaa mbalimbali za kimataifa. Jesse Jackson yule mpigania haki za watu weusi na aliyewahi kugombea urais wa Marekani kwa chama cha Democrat 1983 naye hakumwacha nyumba, Martin Luther, King alifuata nyayo zake, King Martin Luther III naye ni hapa majuzi tu alirejea hotuba zake katika moja ya Presentations zake kule Barbados na Bermuda, Bahamas na maeneo mengi ya West Indies....Mbuzi achana na zile picha za kitoto za akina nanihii kule TANGA, wale wadada waliokaa uchi bhana..turudi katika picha kama hizi..Zile mwachie Mkuu wetu Wiyelele aziendeleze.[QUOTE=Mbuzi Mzee;5245266]![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()