Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USENGE, UBASHA NA USAGAJI ni dhambi na aya zilizotolewa ni kuthibitisha hilo. Kama wewe au mwengine alielekeza mwelekeo mwengine ni kosa na turudi katika dhambi ya Homosexuality.
Unaweza kuanzisha thread nyengine ya sababu au chanzo cha dhambi hiyo . unapoanza kutetea dhambi na mwengine ana haki ya kukuuliza sababu ya kufanya hivyo.
Au unapohisi thread iwe ikiogolea pande zote( radamly) kuwa tayari kuyajibu masuala ya aina zote uulizwapo.
(muungwana na mjuzi hajisifu bali hungojea hayo na hivyo unapotoka barazani elewa kuwa mko werevu na wajinga kama sisi lakini kauli mara nyingi hujisemea)

Magobe, I condemn discrimination of any type, my point here is I have a serious problem with body parts being used for purposes other than those they were intended for. The anus was meant to be an outlet for human excreta which explains its tightened nature, using it as an inlet is not only morally wrong it is against the laws of physics, which explains the incontinence which results after a long misuse of such a manner. Homosexuality is a psychological condition, these people need treatment not support for pride parades and free condoms!
Nkamangi
(God in this case) was to create new human creature, he/she or it should revisit the use of anus to overcome the controversy of your logical view? Na kama binadamu amekuwa mbunifu kuliko huyo aliyemuumba, kwa nini aliyemuumba asifanye haraka kubadilisha matumizi ya viungo hivi (kama si kuboresha) ili asionekane kuzidiwa maarifa na kiumbe alichokiumba? Hapa namaanisha aumbe binadamu watakaokuwa hawatibui mfumo wa logic (kwa sasa), until further notice! Je muumbaji haoni kwamba binadamu ana haki ya kutumia ubunifu wake kwa kwa mwili wake kama anavyofanya kwa sayansi na teknolojia?
Mimi nimewaza tu kwa sauti kulingana na nadharia yako ya kupinga homosexuality, na nimetumia Mungu kama rejeo, labda uniambie unamzungumzia/ unakizungumzia kitu kingine kilichohusika na uumbaji