Homosexuality | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Homosexuality

Discussion in 'JF Doctor' started by X-PASTER, Dec 27, 2008.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Dec 27, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ushoga, usagaji na ubasha (HOMOSEXUAL & Homosexuality) ni DHAMBI, binadamu hapaswi kufuata mwendo huu ambao ni kinyume na maumbile aloumbiwa.

  Ushoga wa aina yoyote ule ni Haramu kwa mujibu wa Qur'an kwa kupitia mifano ya Kaumu Lut. Aya zifuatazo zinatufahamisha wazi kuwa Ushoga kwa jinsi yake umekatazwa kwa binadamu wote.

  Na tulimtuma Lut', alipo waambia watu wake: Je, mnafanya uchafu ambao hajakutangulieni yeyote kwa uchafu huo katika viumbe vyote!Hivyo nyinyi mnawaingilia wanaume kwa matamanio mkwawacha wanawake? Kumbe nyinyi ni watu wafujaji!
  Al-Qur'an (Al-Araf 80-81

  "Je! Katika viumbe vyote mnawaingilia wanaume? Na mnaacha alicho kuumbieni Mola wenu Mlezi katika wake zenu? Ama kweli nyinyi ni watu mnao ruka mipaka!"
  [26:165-166]

  M'Mungu amekataza mahusiano yoyote yale kati ya Mume na Mke, nje ya ndoa au mahusiano ya jinsia moja yaani wanaume kwa wanaume au wanawake kwa wanawake.

  homosexual wengi wakisapotiwa na wanasiasa na madaktari wenye kushabikia ushoga kuwa wengi wao wamezaliwa wakiwa na gene za ushoga kwa hali hiyo hawapaswi kwenda kinyume na matashi na matakwa ya nafsi zao kwa kuwa wameumbwa au kuzaliwa hivyo.

  Je madaktari wantufahamisha nini kuhusianan na swala hili la kuzaliwa na gene zinazodaiwa kuwa zinasababisha ushoga?

  MAdaktari wanasema nini kuhusiana na Jambo hili:
  William Byne, M.D., Ph.D., stated in his Journal of Homosexuality article "Science and Belief: Psychobiological Research on Sexual Orientation" (1995, Vol. 28, No. 3/4, pp. 303-344):
  "While some authors have speculated about the existence of 'genes for homosexuality,' genes in themselves cannot directly specify any behavior or cognitive schema. Instead, genes direct a particular pattern of RNA synthesis which in turn specifies the production of a particular protein.
  There are necessarily many intervening pathways between a gene and a specific behavior and even more intervening variables between a gene and a pattern that involves both thinking and behaving
  ."
  The term 'homosexual gene' is, therefore, without meaning, unless one proposes that a particular gene, perhaps through a hormonal mechanism, organizes the brain specifically to support a homosexual orientation.

  Psychiatrist Jeffrey Satinover, M.D., wrote in his article "The Gay Gene?" published on the Campus Crusade for Christ International website Leadership U on 7/13/02:
  "There is not any evidence that shows that homosexuality is 'genetic', and none of the research itself claims there is. Only the press and, sadly, certain researchers do-when speaking in sound bites to the public.
  Homosexuality may run in families but you get viruses from your parents, too, and some bad habits. Not everything that is familial is innate or genetic
  ."

  Simon LeVay, Ph.D.
  , stated in a 1994 interview that appears in an article entitled "Sexual Brain" published in Discover (Vol. 5, No. 3, pp. 64-67):
  "It's important to stress what I didn't find. I did not prove that homosexuality is genetic, or find a genetic cause for being gay. I didn't show that gay men are born that way, the most common mistake people make in interpreting my work. Nor did I locate a gay center in the brain."

  George P.A. Rice, Ph.D. et al., wrote in Science (1999, Vol. 285, p. 803a):
  "We still contend that an X-linked gay gene could not exist in the population with any sizable frequency, due to the strong selection against it...
  We agree with Hamer that our results do not exclude the possibility of genetic effects underlying male homosexuality. But with the use of similar methods of family ascertainment, phenotyping, and genotyping, we were unable to confirm evidence for an Xq28-linked locus underlying male homosexuality."

  A. Dean Byrd, Ph.D., MBA, MPH
  et al. wrote in "The Innate-Immutable Argument Finds No Basis in Science," published in the May 27, 2001 Salt Lake City Tribune:
  "What is clear, however, is that the scientific attempts to demonstrate that homosexual attraction is biologically determined have failed. The major researchers now prominent in the scientific arena-themselves gay activists-have in fact arrived at such conclusions.
  There is no support in the scientific research for the conclusion that homosexuality is biologically determined."

  Kwa ujumla maisha ya binadamu ni mitihani kila binadamu ana mtihani wake tofauti na mwenzake. kwa mfano kuna walozaliwa vipofu, kuna viziwi na vilema vya kila aina kuna walozaliwa katika familia za kimaskini na kuna walozaliwa kwenye utajiri, kuna walefu na wafupi wembamba na wanene... lakini licha ya ulemavu wao hali zao au maumbile yao kila mmoja anapaswa kuishi kulingana na sheria za M'Mungu.

  Kuna ambao wanaishi bila kuoa au kuolewa na kuna ambao wako mbali na familia zao wote hao hawapaswi kwenda kinyume na matakwa ya M'Mungu...They have to suppress their sexual feelings to follow God's law.

  Dhambi za kufanya ngono na ngono kinyume na maumbile ni moja ya mtihani mkubwa sana kuepukana nao, lakini kama utaamua kufuata matakwa na sheria za M'Mungu kwa haki hautashindwa kuwa katika mwenendo mwema na haswa ukijikamatisha na swala na dua za kila mara Isha'Allah M'Mungu atakujaalia kushinda mitihani hii.

  Ushoga una athari nyingi za kiafya, ni rahisi sana kuambikizana maradhi ya ngono vile vile kwa mwanamke ambaye ni shoga kutumia kwake njia za ajakubwa kujistaresha, ujisababishia kuregea kwa kizazi na wakati mwingine ushindwa kusukuma mtoto wakati wa kujifungua. Na hii ni hatari si kwa mtoto tu bali hata kwa mzazi mwenyewe.
  Na kwa upande wa wanaume pia kuna athari nyingi zikiwemo kuziba mirija yake ya kiume kupungua kwa nguvu zake za kiume, na maambukizo rahisi ya maradhi.

  Kwa haki M'Mungu hakuumba mashoga na wasagaji. Hii ni hali ya tamaa binadamu anaipata aidha kwa kushawishiwa au kuiga kutokana na mazingira alokulia... Baada ya mazoea ya kipindi kilefu anajikuta kuwa maumbile yake na tabia zake zimebadilika na kushabihiana za upande wa pili. Athari unazozipata kwa kujifanya mke au mume yaani kuwa kinyume na maumbile yako ya asri, tabia hizo zinakupelekea kuharibika kwa mfumo wako wa kigene... haya yanatokea baada ya kipindi kirefu cha kujifanya homosexual... Hakujawahi kutokea mtoto alozaliwa leo akapimwa gene zake na matokeo yakasema kuwa kijana au msichana huyu atakuja kuwa homosexual...!!You were not born with homosexual preference. Nobody is...Haya ni maisha ambayo binadamu anajitengenezea au kutengenezewa na wale walomtangulia au alowatangulia... Ushoga upo ndani ya uwezo wetu hiki si kilema cha kuzaliwa nacho... Inafahamika kuwa kila binadamu ana sehemu mbili ndani ya nafsi (soul) yake yaani hasi na chanya (Positive & negative)... na hali hizi siku zote ushindana... Hapo ni juu yako kuamua ni kipi cha kukifuata kile ambacho unahisi kinakupendeza sasa na kikakuangamiza kesho au kila ambacho unahisi hakikupendezi leo lakini kikakuokoa kesho...

  Leo hii nchi zilizoendelea kama Uingereza zimepitisha mitaala ya kufundishia mashuleni kuanzia shule za chekechea, mitaala hii ni ile ya kuwafundisha watoto wao kuwa suwala la ushoga ni jambo la kawaida tu, na kila mtu ana haki ya kuchaguwa jinsia aipendayo anapofika umri wa miaka 16. Vitabu na vijarida vingi vimeandikwa katika kadhia hii ya kushabikia ushoga. Kuna vitabu vya watoto vyenye hekaya za kushawishi na kufundisha, kuwa kuishi na wazazi wa jinsia moja (homosexual) ni jambo jema na si jambo la ajabu, kinachozingatiwa tu wewe mtoto unyanyaswi na wazazi wako hao wa kishoga...

  Unaweza wacha ushoga japokuwa ni tabu kidogo lakini ni jambo lililo ndani ya uwezo wako wa kuamua. Kuna masimulizi mengi ya watu ambayo walisha wahi kuwa mashoga kwenye jinsia zote mbili. Na Alhamdulillah wamewacha na wameamua kuwemo kwenye ndoa za halal na maisha yao ni ya furaha... haya hayaji tu kwa kusema mungu akipenda bali kwa kufanya jitihada za kweli na kumuomba M'Mungu akupe wasaa na nguvu za kutotamani kurudi kwenye maangamizi...

  Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha kufanya uadilifu, na hisani,na kuwapa jamaa; na anakataza uchafu, na uovu, na dhulma. Anakuwaidhini ili mpate kukumbuka.
  16:90.

  HAKIKA wamefanikiwa Waumini, Ambao ni wanyenyekevu katika Sala zao, Na ambao hujiepusha na mambo ya upuuzi,Na ambao wanatoa Zaka,Na ambao wanazilinda tupu zao...
  (23:2).

  Na Mwenyezi Mungu amekuumbieni wake katika jinsi yenu, na akakujaalieni kutoka kwa wake zenu wana na wajukuu, na akakuruzukuni vitu vizuri vizuri. Basi je, wanaamini upotovu na wanazikataa neema za Mwenyezi Mungu?
  [16:72]

  Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu, na mnamuamini Mwenyezi Mungu. Na lau kuwa Watu wa Kitabu nao wameamini ingeli kuwa bora kwao. Wapo miongoni mwao waumini, lakini wengi wao wapotovu.
  [3:110]

  "Yeyote anayejinyenyekesha kwa Mwenyezi Mungu kikamilifu, na akafanya mambo mazuri, kwa hakika ameshika kishiko imara kisichokuwa na kukatika: na mwisho wa yote ni kwa Mwenyezi Mungu".
  (31:22)

  Na Waumini wanaume na Waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi. Huamrisha mema na hukataza maovu, na hushika Sala, na hutoa Zaka, na humt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Hao Mwenyezi Mungu atawarehemu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye hikima
  .
  [9:71]

  Na uwe kutokana na nyinyi umma unao lingania kheri na unao amrisha mema na unakataza maovu. Na hao ndio walio fanikiwa.
  [3:104]

  Waachilie mbali walio ifanya dini yao ni mchezo na pumbao, na uhai wa dunia ukawaghuri. Nawe kumbusha kwayo, isije nafsi ikaangamizwa kwa sababu ya iliyo yachuma, nayo haina mlinzi wala mwombezi ila Mwenyezi Mungu. Na ingatoa kila fidia haitokubaliwa. Hao ndio walio angamizwa kwa sababu ya yale waliyo yachuma. Wao watapata kinywaji cha maji ya moto kabisa, na adhabu chungu.
  [6:69]

  Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa.
  [87:9]

  I hope the above has been helpful, Insha'Allah​
  .
   
 2. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
   
 3. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Magobe T, homosexuality is more than a moral dilemma. It's even against the laws of logic from an anatomical point of view. I've always wished to have a conversation with a gay man,no luck so far
   
 4. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Nkamangi, what is 'logic from an anatomical point of view'? Fortunately, I happened to study and work with gays and lesbians for a few years - at least 10 years. At the beginning it was very diffuclt to even chat with them.

  Even now I still don't feel at ease with them but it is no reason to oppress them. Anyway, as time passed-by, I had to accept them as they were. Some were saying that, they also found it difficult to be themselves in societies where they were always discriminated against and thought of as sinful people. Actually, to be homosexual is not the same as to actively involve in homosexual acts!

  But the question I have always been asking myself is: If you happen to have a child who later discovers he is gay or she is lesbian or even a bisexual, what will you do? Will it be just enough to say he or she is 'against the laws of logic from an anatomical point of view?'

  A sexual orientation (natural inclination) has a logic from anatomical point of view. But what you are talking about is not what the issue is here. You are talking about whether certain homosexual acts have such logic.

  Let's first agree on the sexual orientation and from there we can proceed to another step.
   
 5. Nkamangi

  Nkamangi JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2008
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 642
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Magobe, I condemn discrimination of any type, my point here is I have a serious problem with body parts being used for purposes other than those they were intended for. The anus was meant to be an outlet for human excreta which explains its tightened nature, using it as an inlet is not only morally wrong it is against the laws of physics, which explains the incontinence which results after a long misuse of such a manner. Homosexuality is a psychological condition, these people need treatment not support for pride parades and free condoms!
   
 6. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2008
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nkamangi
  I liked your line of argument. If so; you mean, if that person/thing/institution (God in this case) was to create new human creature, he/she or it should revisit the use of anus to overcome the controversy of your logical view? Na kama binadamu amekuwa mbunifu kuliko huyo aliyemuumba, kwa nini aliyemuumba asifanye haraka kubadilisha matumizi ya viungo hivi (kama si kuboresha) ili asionekane kuzidiwa maarifa na kiumbe alichokiumba? Hapa namaanisha aumbe binadamu watakaokuwa hawatibui mfumo wa logic (kwa sasa), until further notice! Je muumbaji haoni kwamba binadamu ana haki ya kutumia ubunifu wake kwa kwa mwili wake kama anavyofanya kwa sayansi na teknolojia?
  Mimi nimewaza tu kwa sauti kulingana na nadharia yako ya kupinga homosexuality, na nimetumia Mungu kama rejeo, labda uniambie unamzungumzia/ unakizungumzia kitu kingine kilichohusika na uumbaji
   
 7. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Nkamangi, a homosexual is a person, who is sexually inclined towards people of his or her own sex (feels sexually attracted to people of his own sex). This does not mean that, when one has such a tendency he or she necessarily practises it. It simply says that person's feelings are of that nature. And having such feelings (at least at this stage) it's wrong to think that one is practising it (using the 'anus').

  That is why among homosexuals you find that there are those who are active and those who are not.

  But even before we know what actually is involved in being a homosexual, we normally judge them, thinking that they all use the 'anus' as you call it for sexual intercource.

  This is not true. However, there are some who do that. That is why my point was first to define what type of people we are talking about before we go to a next stage.

  It is like saying to be heteresexual is to do orderly things, which also is not true. There are hereterosexuals who abuse it as there are also homosexuals who abuse it.

  For instance, the homosexuals I know are not using the 'anus' but they try to hide their situation (their being homosexual) because they feel people don't accept them. But they confess they are homosexuals and they cannot change it because it is in their feelings.

  It can be psychological as you say it but even so, that's how they are. What I've come across though is that the reasons are not just psychological; there's also social conditioning and it seems some are born like that.

  At one stage, I was doing counselling to inmates at the Pentonville Prison, the largest in England, and I found out that some gays who came to see me were really behaving as women do (eg their expressions etc) and others as men.

  Their stories were different. Some said they became gays as a result of sexual abuse since they were very small and others said they just discovered it during their adolescence stage. Yet for others, it was simply a result of social conditioning.

  But it is indeed a complex issue. I was surprised when I went to South Africa and found out that homosexuals there have a link with some Tanzanians in Dar es Salaam and other cities in the country. And since they don't hide names and where those friends stay, they said it. There seems to be a kind of network, through which they share information and experiences as a " minority and discriminated group".
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mukulu Magobe,

  Navulia kofia mchango wako ktk hii mada..

  Umeongea kinaga ubaga kuhusu hali ya u-homosexuality na active homosexuality. Nimekualewa kuwa active homosexuality behaviors ni vitendo vya kuchagua (voluntary) kinyume na hali ya kuwa homosexual naturally. Hivyo kama mtu awaye yote, homosexual au heterosexual wanaweza kuwa kuitumia hali waliyonayo aidha vibaya au vizuri ktk jamii.
  Nadhani hili ni muhimu kuliongelea zaidi.

  Kuna baadhi ya watu kwa kukosa ufahamu huu, hudhani kila aliye homosexual ni mkosaji na kuanza kumnyooshea vidole. Wanadhani wao kwa sababu ni heterosexual ni watu bora na kujiona wenye haki zaidi ktk jamii.
   
 9. M

  Magobe T JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2008
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 357
  Trophy Points: 180
  Asante sana Mtindiowaubongo kwa kunielewa. Maana bila kutofautisha kitu tutakuwa tunakinyaga tu. Sasa kutoka hapo tunaweza kuendelea kuona je, all homosexual acts ni sahihi kama vile tunaweza kusema pia je, all heterosexual acts ni sahihi?
   
 10. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ushoga ni dhambi, na mashoga wote wataenda jehanum. kaitka sheria za tanzania, Sexual offence special provison Act 1998, kumwingilia mtu kinyume na maumbile, kumruhusu mtu kukuingilia kinyume na maumbile, au mwanamume kumruhusu mwanamume mwenzie kumwingilia sehemu ya kunyea, ni kosa na linamfunga mtu miaka 30. kama amefanya hivyo kwa mtoto(under 18 years) then ni kifungo cha maisha. ole wenu mashoga, tutakuja kuwakamata, tutawapekua na kuwafunga wote. itafika kipindi mashoga watakuwa ni wale watu wa magerezani tu,kwasababu tutakuwa tumewafuta kabisa huku mtaani, watajazwa magerezani ili wakaishi mashoga tu huko magerezani waote chawa mwilini. asante kwa mtoa mada.
   
 11. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  What about heterosexuals wanaowageuza wenzi wao wa kike kinyume in the mid of the act. Au wanawake wanaotaka kidogo upande huo sometimes?
   
 12. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Unasapoti usenge?
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Dr. Yo Yo,

  Jaribu kutafuta muda wa kusoma thread kuanzia mwanzo..nachelea kuanza kudurufu maarifa wakti yapo wazi..ktk thread hiihii..

  Sawasawa?
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mtindio,PhD
  Nijibu swali tafadhali
   
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ohh..

  Kumbe bado huja-grasp dondoo za hiki ki-thread?

  Labda nikufafanue kwa kifupi sana, kuna kitu kinaitwa 'sexual orientation'..Sawasawa? Halafu kuna kitu kinaitwa 'Active Homosexuality'

  Then, tenga muda ujue hizi keywords..maana bila hivyo utakuwa hujanufaika na thread, achilia mbali jibu langu..

  Baada ya hapo, ningeomba tafseer ya hilo neno ulilolitumia kwa kitaalam ili nikujibu precisely..
   
 16. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  umeulizwa unasapoti usenge ? Kuzunguka kote mnakozunguka hakuwezi kuhalalisha Homosexually. Ivo watu wanapofanya makosa na kupelekwa mahakamani ndio wanavunjiwa utu au heshima?
  Suala linaloongewa ni kufanya tofauti na mpangilio uliowekwa. Mkosa ni mkosa iliyobaki ni vipi jamii inayomzunguka inaamuwa kumuangali au kuchukuwa hatuwa na hivyo kujiingiza kwenye usenge, ubasha na usagaji utabakia kuwa ni uendaji kinyume na hivyo ni kosa. Baki na mtazamo wako na mimi naufagilia kwani sir ya mtungi aijuae kata lakini usilaumu watu kuwaona watu wa namna hiyo kuwa ni watu wenye kasoro.
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Really?

  Hivi unaelewa unachokizungumza au unaishi ktk ulimwengu wa ' kutengeneza dhana'..Kwani umepata notion gani kuhusu mtazamo wangu ktk hili suala?

  Hivi unaweza kuelezea jinsi ulivyoelewa mwelekeo wa thread hadi kufikia hii post? Je, unaweza kuelezea in ONE SHORT SENTENCE? Just ONE..? (Nachelea nisijekuwa napoteza muda wangu adhimu naadimu kujadiliana na mtu asiye na sehemu ya kutunza maarifa)


  Wasaalam..
   
 18. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #18
  Jan 8, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Na watu hawa ni kama vipofu... kwa vile nyoyo zao zimefungika hawafuati uwongofu.... Na huwezi kuwaongoa vipofu wa nafsi, na ukawazuia wasifanye ukafiri wao. Ama hakika unaweza kuwafanya wakusikie msikio wa kufahamu na kukubali wale tu ambao nyoyo zao zimejitayarisha kupokea Ukweli. Basi hao wanaifuata Haki inapo dhihiri popote pate...
   
 19. K

  Koba JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...shida ya debate kama hizi ni dini,watu hawako open kuwasikiliza na kuwaelewa hawa watu maana wakisikia tuu ushoga/usenge kitu cha kwanza wanachofikiria ni dhambi according to their books,hawa watu wana suffer ile mbaya kwa ajiri ya discrimination wanayoipata na wengine wanauliwa just kwa sababu ni *******,ni imani tuu za watu ndio zinafanya hawa watu waonekane criminal,labda kila mtu akiwa na ndugu au rafiki wa karibu ambao ni ******* labda tutabadili mawazo kuhusu hawa watu,nikifikiria vitu kama hivi na vitu kama ukiwa mwislam then ukabadili dini ukawa christian nasikia adhabu yako ni kifo naona binadamu ni wapumbavu sana.
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  USENGE, UBASHA NA USAGAJI ni dhambi na aya zilizotolewa ni kuthibitisha hilo. Kama wewe au mwengine alielekeza mwelekeo mwengine ni kosa na turudi katika dhambi ya Homosexuality.
  Unaweza kuanzisha thread nyengine ya sababu au chanzo cha dhambi hiyo . unapoanza kutetea dhambi na mwengine ana haki ya kukuuliza sababu ya kufanya hivyo.
  Au unapohisi thread iwe ikiogolea pande zote( radamly) kuwa tayari kuyajibu masuala ya aina zote uulizwapo.
  (muungwana na mjuzi hajisifu bali hungojea hayo na hivyo unapotoka barazani elewa kuwa mko werevu na wajinga kama sisi lakini kauli mara nyingi hujisemea)
   
Loading...