homework inafanyika ndani ya pantoni

homework inafanyika ndani ya pantoni

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
kakumbuka kumbe kuna homework ya kufanya!!!
259942_430599790333092_783257976_s.jpg
 
muulize anapatikana wapi nimletee zawadi yake huyo anajua nini kinachompeleka shule,utawapata wangapi wa namna hiyo karne hii.
 
muulize anapatikana wapi nimletee zawadi yake huyo anajua nini kinachompeleka shule,utawapata wangapi wa namna hiyo karne hii.

ilo nalo nenoo
 
Good. Mtoto anajitambua wajibu wake, hana muda wa kupoteza.
 
Anakumbukia kwenye pantoni mmmmmh its good pia
 
Mtoto kaanza zima moto mapema!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom