Homeland Vs The Blacklist ipi kali hapo?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,449
Reaction score
9,745
Wakuu sijawahi kutazama hizo series, na hapa sasa hivi ninazo zote mbili, naombeni ushauri wenu nianze na series ipi?
 
Inategemea na interest zako, binafsi nazikubali zote. Lakini naifuatilia zaidi Blacklist kwasababu case zake nyingi zinahusu home affairs
 
Blacklist niliangalia episode 2 nikaipiga chini sikuipenda
homeland iko poa sana Jinsi cia wanavyopambana na ugaidi
 
Inategemea na interest zako, binafsi nazikubali zote. Lakini naifuatilia zaidi Blacklist kwasababu case zake nyingi zinahusu home affairs
Upo sahihi mkuu

Homeland ni nzuri sana kama unapenda mambo ya kijasusi.
 
Wakuu sijawahi kutazama hizo series, na hapa sasa hivi ninazo zote mbili, naombeni ushauri wenu nianze na series ipi?
Maudhui tofauti. Zote ni kali, kama ni mpenzi wa spy movies, conspiracy, propaganda na vitu kama hivyo, Homeland itakufaa zaidi. Ila kama ni mpenzi wa crime org movies, a bit of cartel, terrorism, fixers(wazee wa connection in higher places), The Blacklist ni chaguo lako. Ila zote hizi ni nzuri na ukipenda moja basi ni rahisi kupenda hiyo nyingine hapo

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
blacklist ni level nyingne asee,,, kwanza akili nyingi mno kule,,, naungana na ww mkuu
Homeland imeandikwa kitoto Sana...em fikiria Brody alitumwa Iran kumuua kiongozi wa Majeshi lakini Kwa mbinu Za CIA plus msaada wa Waisrael alishindwa hata kumkaribia huyo kiongozi mpaka CIA wakadeclare wameshindwa kumkaribisha Brody Kwa kiongozi wa Iran....lakini episode inayofata baada ya CIA kutaka kumuua Brody Eti anamfata huyo kiongozi Tena simple Tu anaingia mpaka chumbani kwake walinzi wanatolewa nje mpaka anamuua Na kutoroka vizuri Tu...yani kitu CIA + Mossad wameshindwa ila Brody anaenda kirahisi Tu hata bila kutumia akili Wala nguvu nyingi...hii ndo maana ya kusema matukio yanaforciwa ili kufikia matokeo/outcome...hayaendi natural
 
Brody alitoroka akafika wapi maana alikufa..angetoroka angeenda marekani Kula bata..
 
Alitoroka kirahisi pale alipomuua Yule kiongozi wa Iran...ila alikamatwa baadae baada ya CIA kumuuza....inshort Ile mission ya kumuua Yule kiongozi ilikuwa simple Sana haijatumia risasi,nguvu Wala akili yoyote...Na matukio ya hivyo homeland Ni mengi Sana...Yani unaona kabisa matukio hayamake sense lakini yanalazimishwa ili matokeo ya story yafikiwe.
 
Homeland imeandikwa kitoto Sana...em fikiria Brody alitumwa Iran kumuua kiongozi wa Majeshi lakini Kwa mbinu Za CIA plus msaada wa Waisrael alishindwa hata kumkaribia huyo kiongozi mpaka CIA wakadeclare wameshindwa kumkaribisha Brody Kwa kiongozi wa Iran....lakini episode inayofata baada ya CIA kutaka kumuua Brody Eti anamfata huyo kiongozi Tena simple Tu anaingia mpaka chumbani kwake walinzi wanatolewa nje mpaka anamuua Na kutoroka vizuri Tu...yani kitu CIA + Mossad wameshindwa ila Brody anaenda kirahisi Tu hata bila kutumia akili Wala nguvu nyingi...hii ndo maana ya kusema matukio yanaforciwa ili kufikia matokeo/outcome...hayaendi natural
Wewe kwako blacklist imekamilika bila kasoro yeyote??
Kila mtu na mapenzi yake..ukitaja series unazozipenda hapa Jf utashangaa wengine wanaziponda balaa..nakuzikosoa Kama unavyosema wewe
Homeland imefika season 8..wewe unaleta ujuaji..
Nikuulize kwenye blacklist yule Lizabeth alipojifanya amekufa na kuibukia kwingine..kwa mazingira Yale ya mapigano uoni kwamba ule Ni utoto..??
Vipi kuhusu tukio la yule mzee sijui relington kupiga risasi na kuwakabili na kuwadhibiti wale jamaa akiwa ametoka kufanyiwa upasuaji dakika chache zilizopita (Tena akiwa bado chumba Cha upasuaji alafu anarushiana risasi na jamaa wenye mafunzo ya kijeshi na kuwadhibiti)..huu si utoto..??
Nafikiri kila mtu abaki kwenye mapenzi yake sio kuleteta ujuaji..
 
Mzee sio ujuaji,,Nakubali Hakuna series iliyo perfect lakini hii homeland Iko shallow kupita kiasi...matukio mengi hayatokei naturally Tena Yale matukio ya main theme.
Hiyo ya Redington kupigana risasi sio main plot ya episode achilia mbali ya season yote lakini kwenye homeland unakuta Ile main plot Ina holes kibao mfano mapenz ya carry Na Brody jinsi yalivotokea, waandishi hawakuinvest Muda mwingi kutuonesha mlolongo wa uhalisia kwenye conception ya Hayo mapenzi...wakati hiyo ndo ilikuwa main theme ya season 1-4...inshort kina carry walikuwa wanafanya makosa mengi Sana Kila episode lakini wanavuna faida kupitia Hayo makosa.
 
Umeongelea tukio moja au kadhaa ambayo wewe ukuyapenda..sawa.. lakini Kuna mambo mazuri mengi Sana carry kaigiza vizuri..pamoja Brody na story Ni nzuri Sana..Tena Kuna wengine wameigiza vizuri Sana Kama sniper na yule mzee Saul..ukisema series yote mbaya unakosea.. blacklist pia wanachangamoto nyingine lakini Ni series nzuri Kama nyingine..
Yaani blacklist na Homeland zote Ni series nzuri naweza kuzipa 7/10
Kwa upande wangu series Kali nazoweza kuzipa 9/10 Ni breaking bad ,GOT na LOST
Japo kwa wengine wanaweza kuziona Ni utopolo
 
Back
Top Bottom