Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,410
Mzee kukosea baadhi ya matukio sio ishu, ishu Ni Kuwa wanakosea kwenye Yale matukio main kabisa kwenye kisa...mfano squid game ilikosea matukio kibao Tu lakini ukifuatilia matukio yenye makosa sio main plot Yani Ni sub plot Tu Na naweza kuipa 8/10Umeongelea tukio moja au kadhaa ambayo wewe ukuyapenda..sawa.. lakini Kuna mambo mazuri mengi Sana carry kaigiza vizuri..pamoja Brody na story Ni nzuri Sana..Tena Kuna wengine wameigiza vizuri Sana Kama sniper na yule mzee Saul..ukisema series yote mbaya unakosea.. blacklist pia wanachangamoto nyingine lakini Ni series nzuri Kama nyingine..
Yaani blacklist na Homeland zote Ni series nzuri naweza kuzipa 7/10
Kwa upande wangu series Kali nazoweza kuzipa 9/10 Ni breaking bad ,GOT na LOST
Japo kwa wengine wanaweza kuziona Ni utopolo
Nikupe Mfano main plot ya Breaking bad Ni Walt Kuwa desperate Na Hela mpaka kubadilika Na kuingia kwenye kutengeneza madawa.
Lakini matukio yalivyopangiliwa kutuonesha desperacy ya Walt yanaaminika kabisa...kwamba ana mtoto mlemavu,mke ana mimba, anagundulika Na cancer amekaribia kufa, Na watu wengi wanaomzunguka Wana Hela hivo ana wivu(mfano Jessy,Yule jamaa rafiki yake mwenye kampuni)
Sasa assume wangekosea kwenye Hayo matukio Yani waforce Tu matokeo Yani series inaanza wanaongea ongea Tu labda Walt from nowhere Tu amepata idea atengeze madawa Na anaanza kutengeneza yaani ingekuwa movie moja ya kifala.
Lakini wakikosea visa vidogo vidogo kama mapenzi ya Jessy Na Yule dem wake haina Shida hiyo.