Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,110
- 2,787
Hello Team. Naomba kuuliza nina mpango wa kununua home theater ya nyumbani mwezi huu ,na budget ni 700000.mwenye kujua ni company ipi wanatengeneza kitu Og please , let's me know.
Hello Team. Naomba kuuliza nina mpango wa kununua home theater ya nyumbani mwezi huu ,na budget ni 700000.mwenye kujua ni company ipi wanatengeneza kitu Og please , let's me know.
Ni wapi huwaamini mkuu?Sony zipo vizuri sanaa....
M napenda kutumia brand moja tuu ya electronics, nafurahia sana.
Tatzo kila yule yuko vizuri kwenye kitu chake...
Tv-SAMSUNG,
home theater ndio hao - SONY
fridege, microwave n.k - LG
Natamani nijaze LG tuu ila kuna sehemu siwaamini...
tv na redio hawawakuti samsung na sony,Ni wapi huwaamini mkuu?
Boss wapi nitapata ? Mimi niko Arusha ,una hata picha bossSony baba lao kwenye upande wa music.
Chukua Sony BDV 2100 hutajuta
Nakazia apa hutajutia mkuuUKITAJA HOME THREATRE MAANA YAKE NI SONY,chukua DZ 650 wat 1000 utojutia ila bajeti ikiwa chini chukua DZ 350
Sony zipo vizuri sanaa....
M napenda kutumia brand moja tuu ya electronics, nafurahia sana.
Tatzo kila yule yuko vizuri kwenye kitu chake...
Tv-SAMSUNG,
home theater ndio hao - SONY
fridege, microwave n.k - LG
Natamani nijaze LG tuu ila kuna sehemu siwaamini...
Siwez kuweka picha ila Google hiyo aina ya home theatre utaona specification zakeBoss wapi nitapata ? Mimi niko Arusha ,una hata picha boss