Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
- Thread starter
-
- #61
Yes babe...nimekula hadi nikachelewa kwenda kazini. Lile omellete lilikuwa tamu sana aisee...sijui uliweka nini tu leo
Huyo demu sijampata fresh! Ningejua batch ya mwaka gani ingekuwa fresh. Nilikuwa ADA halafu nilikuwa nakaa campus,block D.
Its my secret wala sikwambii nimeweka nini cupcake! hahahaha na wala siyo limbwata sijui no i dont do that...i believe in god and not vodooo! lol...
Haki ya nani tena Cupcake nilidhani ushanlisha limbwata...
Mi nilikuwa Ruby (ya wajanja hiyo). Ila mimi nimesoma hapo form 1 - 4.
Its my secret wala sikwambii nimeweka nini cupcake! hahahaha na wala siyo limbwata sijui no i dont do that...i believe in god and not vodooo! lol...
Hey hey Mazee got some stuff kutoka Hungumalwa its good for the lovely ones...si limbwata ila for sure ni voodoo first class ....worth trying can keep akina Yo Yo away!!
can keep akina Yo Yo away!!
Weka nadhiri bana huwezi shindwa nakuaminia mwenzio!
Heheheee...kweli Yo Yo inabidi adhibitiwe aiseee....anapenda sana kuleta fujo huyu
of course naweka nadhiri lakini kufunga siwezi...ok nina matatizo mwenzio ndiyo maana siwezi kufunga!...i have to eat 3 meal a day unless otherwise utanikuta emergency room.
Vodooo from Hungumalwa will sort him out forever....kwi kwi kwi.....kuna mzee mmoja pale anaitwa Miganiko balaaa ....
OK OK I can understand that...sasa nafunga na kuombea tatizo lako liishe, kwanguvu za yule aliyejuu, muweza ya yote, yupo mwanzo sasa na hata milele mponye Kelly01 wetu....itikia amina....
Umelijaribu nini shem?!....mmh si bure kuna walakini hapo...sasa usije mfanya na cupcake akalifuata hilo vodoo bure.
Kelly.
Mkussa hayupo sasahivi,japo sikumjua fresh..Nilikuwa pale kipindi cha principal ni Madofe/Doriye.
Yes,block D ndiyo lipo karibu na cafeteria. Hujakosea kabisa.
Ooooh yeah works very well na hakuna masharti.....
Ebana vipi? Jumamosi ulizima nini baada ya makamuzi? Maana nilikupigia nikaona kimya...nikaacha voicemail
Ebana vipi? Jumamosi ulizima nini baada ya makamuzi? Maana nilikupigia nikaona kimya...nikaacha voicemail
cupcake na wewe unaaanza kuwa slow shem wangu kasema alikuwa busy na uchomvu pia sijui ndiyo hayo makamuzi?...