Camera inazuia wezi?
Tafadhali pandisha bei
Camera inazuia wezi?
Tafadhali pandisha bei
Camera ya nje ina uwezo gani wa kumuona mtu hakiwa mita 50 au mita 10.
Camera ya nje ina uwezo gani wa kumuona mtu hakiwa mita 50 au mita 10.
nje utabaki kudeku wapita njia
ya ndani ndio poa, mke akionja paja la kuku tu, unaye.
Hahahahaha!!mnataka ndoa zivunjike bure
mme anakamua hausigelo wee unamdeku ofisini?
Asprin, BADILI TABIA, cacico, Mtoboasiri, mmekwisha.
Afu hii sred ihamie MMU ili The Boss na kundi lake muwe aware na camera hizi
Hahahahaha!!
Jamaa aliiwekaga akashuhudia watoto wake wa kiume wakibanjuana kama hawana akili nzuri.
Nusura azimie.
Yeah....don't try this at home