INAUZWA WiFi camera kwa Arusha tu

Itug

Senior Member
Mar 19, 2011
195
68
nauza bulb camera kwa bei rahisi kabisa arusha mjini
-inaunga wifi hivyo unaweza kutazama kinachoendelea nyumbani au kwenye biashara kwako ukiwa popote duniani kwa simu yako (smartphone)
-ina support memori card mpaka gb 128
  • inakuja na holder yake
  • unaweza kuweka recording zako kwenye cloud
  • unaweza unga na pc au simu
  • kufungiwa ni bure
  • bei 130,000 tu
  • lipa ukishafungiwa camera yako
  • kama utafunga mwenyewe bei 120,000
  • hii ni wakazi wa arusha na wilaya zake yote
  • tunapatikana arusha mjini (hatuna duka, tuna store tu)
  • tunatatua matatizo yote ya computer yasiyokuwa ya hardware (matatizo yote ya softwares tunatatua) popote ulipo
-tunaweka windows 7,8,8.1,10 na 11 kwa sh 10,000 tu, ukiweka windows tuna-activate na kukuwekea software zote unazotaka (basic)
- tunakusaidia kuongeza speed ya komputa yako ikiwa iko slow
-tunasafisha pc ndani na nje!
-tunaweka/kuongeza RAM kama inaslot zaidi na pia tunazao HDD za saizi mbalimbali kwa bei nafuu, pia tunazo SDD za saiz mbalimbali kwa bei nzuri
-tunauza computer (za mtumba kutoka ULAYA na ASIA
- tunazo saa za mikononi na tunaagiza mzigo, utalipia nusu ya bei pale store tukuagizie chochote unachotaka (CHINA na JAPAN tu).

IMG_0178.jpg

IMG_0177.jpg

IMG_0176.jpg

IMG_0175.jpg

IMG_0182.jpg

IMG_0180.jpg

tazama wifi camera tulizouza na kufunga kwa wateja wetu!
tupigie 0621842525
 
Master..me nna shida na window 10 aise. Naweza kupiga mwenyewe

Ni sawa kabisa! nitakupa maelezo mda sio mrefu leo!
ni rahisi sana kuweka mwenyewe, chakulinda ni data zako tu! na pia namna ya kuweka ili usikose drivers baada ya kuinstall windows 10 yako!
I will be back soo with illustrative video
 
Back
Top Bottom