Home security cameras bei chee kabisaa!

Auto

Member
Nov 7, 2012
52
0
kwa biashara ,nyumbani ofisi nk. security cameras za bei ché ,kuzuia wezi kuangalia nini kinaendelea wakati haupo ,kamera za nje na ndani ,getini nk!
unaweza kutumia na laptop/computer yako au kuangalia kwa screen
kamera za nje 250,000
kamera za ndani 300,000
 

Auto

Member
Nov 7, 2012
52
0
Yani ni ful kumulika wezi ! wale waliokua na mashaka na ma beibe wao bac fasta wahi apa!
 

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,258
2,000
Camera ya nje ina uwezo gani wa kumuona mtu hakiwa mita 50 au mita 10.
 

Tiba

JF-Expert Member
Jul 15, 2008
4,581
2,000
Mleta hoja hebu weka hii habari vizuri. Unapozungumzia bei ya camera kuwa Tshs. 250,000 kwa nje na Tshs. 300,000 kwa ndani una maana kila camera ni Tshs. hizo ulizoonyesha? Kwa ufahamu wangu mdogo camera moja haiwezi kufanya kazi ya kukamata matukio nyumba nzima kwa nje. Kama hiyo ni be ya camera moja ina maana mtu akihitaji camera nne (kila kona ya nyumba iwe na Camera moja) ina maana itamgharimu millioni moja na hapo bado kuweka ya ndani.

Sidhani kama bei hiyo ni rahisi kama unavyotaka tuamini!!!!

Tiba
 

isambe

JF-Expert Member
Feb 14, 2008
2,162
2,000
Hizo cameras zako angle zake ni degree ngapi,unazo zile za getini mtu akipiga kengele naweza kuongea naye ndani halafu nikamuona?,kama unayo nipe bei na screen yake ni size gani,pamoja na brand yake.
 

MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,474
2,000
Hizi kamera tunazihitaji sana CHADEMA ili zifungwe kwenye vyumba vya kupigia kura ili tuone ccm wataibaje kura zetu.
maana imekuwa kila siku tanalalamika kuibiwa kura bila kutatua tatizo.
Hili likifanikiwa ccm kwishney maana itapata kura za aibu.
Ritz na magamba wanzake watakuwa wamekalia kuti kavu.
 
Top Bottom