Home security cameras bei chee kabisaa!

Home security cameras bei chee kabisaa!

kuna ingizo jipya la kufunga kwenye pochi ama wallet ya mpenzi.

gfsonwin kafumaniwa kwa mtindo huu huu

King'asti mulika mwizi

hahahhahahh! mbavu sina mwaya sasa hivi niko kwa paroko natubu dhambi ya kufumaniwa lol! kidogo tungenatishwa nina hamu na hizi security devices mm?? siku hizi mtu naweka hata kwenye kiatu chako unatoka unajua nimevaa nimependeza leo ndo leo kumbe hata chumban ukiingia picha nachukuliwa mbaya zaid sasa sauti na kila kitu nina hamu mie na mambo haya.
 
Pole yako bibie
Sasa hivi ukiingia gesti nguo na pochi zote unaancha nje
Vinginevyo, unakamawa
wewe mtu umenipotezea kama mvua a masika lol! mzima lkn wewe???

Kapata mwanamke anaitwa Roza huko Chanika, hashikiki
 
weka specs za hizo camera mfano za nje zina uwezo wa kurecord umbali gani na wakati gani , na hata za ndani maana zipo nyingine ni only 20m na hazina uwezo wa kuona usiku
 
Pole yako bibie
Sasa hivi ukiingia gesti nguo na pochi zote unaancha nje
Vinginevyo, unakamawa

Kapata mwanamke anaitwa Roza huko Chanika, hashikiki

kongosho isku hizi baba chanja akikuletea zawadi uwe nayo mkini sana, unaweza kukuta ni security device chezeya wanaume wenye wivu wewe.
ninashoga yangu anafanya kazi ofisi moja ya serikali kama hrm na mumewe pia ni mkurugenzi kwenye moja ya wizara, basi siku mumewe akahisi watu wanaweza kumtafuna mkewangu si akamnunulia kalamu 3 nzuri usipime, basi kumbe zile kalam ni security device bana so kila bimkubwa akiwa ofcn akiongea iwe na simu ama chochote kalam inarecod pasi kujijua lol! siku alipokuja kushtukia ni mkaka wa IT hapo ofcn kwao alimtonya mbona kalam yako ni security device inarecord binti akakataa akamwambia ngoja nikwambie akamuonyesha binti akahamaki ikabidi amweleze yule kaka kaitoa wapi ile kalamu. alichoamua aliitupa chooni na zilizobaki hakuzitumia na mume kumuuliza hawez manake anajua itakuwa timbwili lol!
 
Yangu macho tu! Inaonesha watu wanapenda mipira iliyokufa kama sio miteremko
 
wewe mtu umenipotezea kama mvua a masika lol! mzima lkn wewe???
Mi mzima kama chuma cha pua.

Hofu kwako wewe uliye mbali ya upeo wa macho yangu. Salamu nyingi kama matone ya mvua zikufikie popote pale ulipo.
 
kaaaaaaaaaazi kweli kweli, chanzo cha ugonjwa wa moyo ,,,,utakapoona mke akibanjuliwa na house boy na mume nae akijifaidia house girl
 
Sasa nguo inabidi uvue kabla hujaenda gesti. Manake si utaonekana toka unapanga mipango na hadi unaingia gesti?

Project cheating ngumu kweli, utadhani uranium! Kha!
Pole yako bibie
Sasa hivi ukiingia gesti nguo na pochi zote unaancha nje
Vinginevyo, unakamatwa
 
kongosho isku hizi baba chanja akikuletea zawadi uwe nayo mkini sana, unaweza kukuta ni security device chezeya wanaume wenye wivu wewe.
ninashoga yangu anafanya kazi ofisi moja ya serikali kama hrm na mumewe pia ni mkurugenzi kwenye moja ya wizara, basi siku mumewe akahisi watu wanaweza kumtafuna mkewangu si akamnunulia kalamu 3 nzuri usipime, basi kumbe zile kalam ni security device bana so kila bimkubwa akiwa ofcn akiongea iwe na simu ama chochote kalam inarecod pasi kujijua lol! siku alipokuja kushtukia ni mkaka wa IT hapo ofcn kwao alimtonya mbona kalam yako ni security device inarecord binti akakataa akamwambia ngoja nikwambie akamuonyesha binti akahamaki ikabidi amweleze yule kaka kaitoa wapi ile kalamu. alichoamua aliitupa chooni na zilizobaki hakuzitumia na mume kumuuliza hawez manake anajua itakuwa timbwili lol!
Aiseeeeee!!
 
Mi mzima kama chuma cha pua.

Hofu kwako wewe uliye mbali ya upeo wa macho yangu. Salamu nyingi kama matone ya mvua zikufikie popote pale ulipo.
hajambo Roza wa chanika??
nasikia siku hizi umehongwa shamba huko mwembebamia kwa akina Roza ili umuoe je ni kweli?? ukumbuke kwamba mie huwa ninakuwa na taarifa za kweli ila tu naziwasilishaga pasi kuulizwa.
 
Sasa nguo inabidi uvue kabla hujaenda gesti. Manake si utaonekana toka unapanga mipango na hadi unaingia gesti?

Project cheating ngumu kweli, utadhani uranium! Kha!

wacha kabisa hii utafikiri ra za nanoparticles za gamma, hapa ni full kumulikwa hadi skeletone
 
Aiseeeeee!!

umeona enh! sijui itungwe sheria gani ya chama ili kunusuru chama lol! BTW hotel zote nzuri zina cctv sasa sijui huwa nyie wanachama mkiingia mnafanyaje ama mnafunika na shuka ile camera vinginevyo watu wanafaidi kama mko nje vile lol!
 
Heeeeeeeeeh!! Zungumzeni biashara,kama hamnunui mwambieni chinga wa watu atambae zake,siyo mnamfanya kijiwe cha kutongozeana hapa!!kumbaff!
 
Afu wwe na Asprin mnaishi Dubai au Muscat??

Mnaamka saa ngapi?? Kila siku nataka niwawahi lakini siwezi

Yaani nina wivu na muda wenu wa kuamka kama nini, afu na Kaunga

Sasa nguo inabidi uvue kabla hujaenda gesti. Manake si utaonekana toka unapanga mipango na hadi unaingia gesti?

Project cheating ngumu kweli, utadhani uranium! Kha!
 
Last edited by a moderator:
Zinaudhi hizo cctv jamani

Zinatunyima faragha bure

umeona enh! sijui itungwe sheria gani ya chama ili kunusuru chama lol! BTW hotel zote nzuri zina cctv sasa sijui huwa nyie wanachama mkiingia mnafanyaje ama mnafunika na shuka ile camera vinginevyo watu wanafaidi kama mko nje vile lol!
 
so ukishanunua kufungiwa bei gani na vipi unakua unalipia kila mwezi?
 
Ni kweli watu wanahitaji hizo camera ila maelezo yako hayajitoshelezi. Tafadhali kama unataka tuwe wateja wako tufafanulie hapahapa kwa kinaga ubaga. picha zake, ni camera ngapi zinahitajika kwa nyumba ya size gani, gharama za kufungiwa, guarantee ya muda gani, kama kuna screen zinapatikanaje, na mambo mengine ya jinsi hiyo. Suala la kusema tukupm hatulitaki...ulisema kwa uwazi sema kila kitu hadharani kwa uwazi kama uko serious na biashara au sepa kimyakimya kama wengi wa wafanya biashara wa JF wafanyavyo wanapotaka kuumiza wenzao
 
Ehe mbona aliisha sepa siku nyingi!!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom