Home security cameras bei chee kabisaa!

Ni HD au Michenga chenga tu,Je other supporting devices kama storage+screen hyo bei inclusive au nayo inabidi uongeze? Kama ndio kwanin usitaje bei complete hadi ya installation? Ebu search MTV crib ya master P kwenye youtube halafu kuinstall mzigo kama ule sh ngapi?
 
hizo cameras zako angle zake ni degree ngapi,unazo zile za getini mtu akipiga kengele naweza kuongea naye ndani halafu nikamuona?,kama unayo nipe bei na screen yake ni size gani,pamoja na brand yake.

naungana na muuliza swali hapo juu. Tafadhali jibu swali muuza camera, tunataka zile ambazo mtu akifika gateni kwako anataka kuingia umuone na muungee naye kabla hujamfungulia
 
Wadau izi security cams zinatumia usb cable na unaconect kwenye pc yako.video zinakuwa saved kwenye memory card ambayo unaweza kuitoa na kuplay kwenye computer.
waliouliza kuhusu camera ambazo unaweza kuongea na mtu( intercoms) tuwasiliane ili uweke spesho order
 
hujajibu swali, hiyo 250000 ni moja au kwa camera 4?
 
Hiyo ni camera moja+parts+installation+16GB memory card! USIKOSE HII
 
Mi nataka kujua kwa ajili ya kumcheki housegirl anafanyeje nikiwa sipo. Mtoto anamwangalia? What else does she do? Haya niambie kama zinafaa kwa kazi hii.
 
kwa biashara ,nyumbani ofisi nk. security cameras za bei ché ,kuzuia wezi kuangalia nini kinaendelea wakati haupo ,kamera za nje na ndani ,getini nk!
unaweza kutumia na laptop/computer yako au kuangalia kwa screen
kamera za nje 250000

kamera za ndani 300,000

wasiliana nas ata
0719777688
email; mulika22@gmail.com

Ni analog or Ip?
 
Mi nataka kujua kwa ajili ya kumcheki housegirl anafanyeje nikiwa sipo. Mtoto anamwangalia? What else does she do? Haya niambie kama zinafaa kwa kazi hii.

Yep zinafaa kabisa ,yenyewe inarekodi yatakayokua yanaendelea then wewe ukija utatoa memory card unaplug kwenye computer unaangalia yote aliyofanya.
 
Auto, mh! Kuna matukio inabidi uyaone pale pale sio recorded maybe you can save the day. So siwezi kuona events as they occur?
 
Auto, mh! Kuna matukio inabidi uyaone pale pale sio recorded maybe you can save the day. So siwezi kuona events as they occur?

upo option ya kuweka camera za hapo kwa hapo ila inakuja na expenses tofauti
 
Back
Top Bottom