Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 3-4 iliyopita ilikuwa ngumu sana kuamini kama Milan itakuwa itakuwa inagombania wachezaji kama Morata,Costa,Rodriguez,Mussachio,Keita,Aubemeyang
Milan kwisha habari yake
AhahahahahaTuliwaona watu kama wewe, mlikuja na kupotea kama harufu ya ushuzi...so sikushangai
André Silva : doneMatteo Mussachio one
Frank Kessieone
Ricardo Rodriguez one
Who is next Keita,Costa,Biglia ,Belloti?
Hebu mkuu nieleze kuhusu huyu dogoRossoneri Breaking: AC Milan reopen contract talks with Donnarumma
wewe ndo umeimaliza?Milan kwisha habari yake
Wakala wake hajapiga pesa siku nyingi kwa hiyo anatingisha kibuyuHiv hiyu donnaruma kipa yupo vizur au wakala anataka kupiga hela
Chomba jamaa yangu Milan kwa sasa inahitaji kujenga kikosi imara na si kupiga kelele na huyo dogo. Tafuteni kochà mwenye viwango na ushawishi. Tangu kizazi cha kina Lippi, Çapello na kina Ancelotti kipite soka la Italia linapita kwenye kipindi kigumu. Hawa kina montela pamoja na kuwa na uzoefu na soka la kitaliano Bado wameshindwa kuleta maadiliko waliokuwa NATO kina sacchi na kina Lippi.The future of Gigio Donnarumma is one of the hottest transfer stories at the moment with the 18-year-old goalkeeper and his agent who have rejected to sign a contract extension with the club.
According to several reports in Italy , there is still a chance to see Donnarumma sign a contract extension with the rossoneri given that the Serie A giants have given him more time to consider their contract offer.
Meantime, the player’s bother-in-law has released an interview with Il Mattino revealing that Donnarumma wants to stay at AC Milan.
“Gigio has never said that he wants to leave AC Milan, he has only demanded more time to think about the offer of the club because he wanted to focus on the national team. AC Milan representatives were in a hurry and they didn’t give him any time to think. Gigio doesn’t want to leave AC Milan. He hasn’t even asked Raiola whether there are other clubs interested. He only wants to stay at AC Milan.”
“Money is no problem. Nobody was paid less than him last season but he never complained, he doesn’t care about money, he’s so young that he wouldn’t even know how to spend it. He has never thought about leaving AC Milan.”