Home of AC Milan, Official Thread

Ila mbona matokeo yao yanasua sua cku hizi hta milan derby imeisha umaarufu kabisa shida ni nini mkuu kma pesa na rasilimali watu mbona wanazo kina carlos bacca na adriano mbona wachezaji wazuri why underperformance
Adriano hayupo ac millan mkuu, carlos bacca amedrop sana kiwango japo montela huwa anampanga hivo hivo, saiz attacking force ya millan inaongozwa na delofeou, suso na ocampo/Fernandez/lapadula
 
Ac milan wamekumbwa na matatizo mawili la kwanza ni kutokuwa na pesa kwasababu raisi wa timu na ndiye mmiliki wa timu (balusconi) alikuwa hana tena pesa za kuiweka timu katika ushindani. Mpira pesa mkuu, na swala la pili ni kutowekeza katika vijana chipukizi kwahiyo wakina Gatuso, maldin, inzagh, cafu, na wengineo walipo maliza kipindi chao cha kucheza soka (walipo stafu) ndio wakaondoka na milan yao. Timu ikabakia na wachezaji wa hovyo hovyo halafu kutokana na mmiliki wa timu kutokuwa na pesa ambaye ni baluscon basi Gallian akabadilisha sera za usajili badala ya kuchukua wachezaji wanaotisha ulimwenguni, akawa ana sajili wachezaji wasiopata namba kwenye vilabu vyao. Ac milan imekuwa inaundwa na wachezaji wengi sana wasiokuwa katika kikosi cha kwanza kwenye klabu zao. Kutokana hali ya timu kuwa mbaya kutokana na ukata ndipo mmiliki wa timu akaamua kuiuza timu kwa wachina. Kwahiyo tuone next project ya milan mpya kupitia wachina.
 
Adriano hayupo ac millan mkuu, carlos bacca amedrop sana kiwango japo montela huwa anampanga hivo hivo, saiz attacking force ya millan inaongozwa na delofeou, suso na ocampo/Fernandez/lapadula
Dealofeou naye ni tegemeo milan??? Naanza kuelewa ssa kwanni timu inasua sua
 
Multiple sources in Italy are all suggesting that Milan have beaten Roma and Franck Kessié will join the club once the summer mercato opens.

Milan may have not won a match in over a month, but seem to be getting victories in the transfer market, as after reportedly closing the deal for Mateo Musacchio, they have now closed in on Atalanta’s Kessié.

As reported by Sky Italia (Gianluca Di Marzio) SportItalia (Alfredo Pedulla) and Goal Italia (Manuele Baiocchini) among others last night, Marco Fassone and Massimiliano Mirabelli have agreed with Atalanta to pay €28 million plus bonuses for the midfielder.

The 20-year-old is expected to sign a five-year contract worth €2.5m a season (including bonuses). Nothing has been confirmed yet but the Italian press seems very confident that the deal will go through, as Kessié has decided to choose the Rossoneri over Roma, despite the fact that the Giallorossi would give him a chance to play in the Champions League next season.

Kessié has 6 goals and 4 assists in 28 Atalanta Serie A games this season and 15 caps for the Ivory Coast NT. In addition to Musacchio and Kessié, Ricardo Rodriguez is also rumored to be close.
 
Ac milan wamekumbwa na matatizo mawili la kwanza ni kutokuwa na pesa kwasababu raisi wa timu na ndiye mmiliki wa timu (balusconi) alikuwa hana tena pesa za kuiweka timu katika ushindani. Mpira pesa mkuu, na swala la pili ni kutowekeza katika vijana chipukizi kwahiyo wakina Gatuso, maldin, inzagh, cafu, na wengineo walipo maliza kipindi chao cha kucheza soka (walipo stafu) ndio wakaondoka na milan yao. Timu ikabakia na wachezaji wa hovyo hovyo halafu kutokana na mmiliki wa timu kutokuwa na pesa ambaye ni baluscon basi Gallian akabadilisha sera za usajili badala ya kuchukua wachezaji wanaotisha ulimwenguni, akawa ana sajili wachezaji wasiopata namba kwenye vilabu vyao. Ac milan imekuwa inaundwa na wachezaji wengi sana wasiokuwa katika kikosi cha kwanza kwenye klabu zao. Kutokana hali ya timu kuwa mbaya kutokana na ukata ndipo mmiliki wa timu akaamua kuiuza timu kwa wachina. Kwahiyo tuone next project ya milan mpya kupitia wachina.

Kama unaufahamu vizuri mpira huwezi kushangaa kipindi walichopitia Milan...kwa kuwa kila timu imeshakipitia
 
Milan Hawajifunzi. Always Signing Average Players. And Their Academy Is Shit Shit Shit!!
Toka wamenunuliwa na wachina at least kuna majina ya maana wanakua linked nayo, Aubameyang, Frank kessie na Riccardo Rodriguez wote ni wachezaji wazuri na experienced players except kessie japo ni mzuri lakini sio experienced.

Wanachotakiwa kufanya ni kuhakikisha wanawabakisha wachezaji wao muhimu kama Donarumma, Locattel, suso, ocampo (amekua akicheza vzr sana mechi za huku mwishoni) na ikiwezekana wamchukue jumla delofeou
 
Timu Haina Consistency. Hadi Kero. Ukiona Wanacheza Na.Sassuolo Genoa Sampdoria Udinese Lazio Fiorentina Etc Unakua Ushajua Wanapoteza Points. Acha Nisiseme Ela Nlizopoteza Kwa Kubet Kisa Milan Anacheza Home Kafungwa Adi Na Empoli. Wtf??
 
*Mediaset report Juventus have found an agreement with De Sciglio on a move to the bianconeri. Now Juve have to find an agreement with Milan.*
 
*31 years ago, Silvio Berlusconi's first ever purchase was Dario Bonetti, a CB, from Roma. (source: MN)*

*Fassone first signing is Musacchio.... A CB*.... *can u relate?*
 
*Fassone and Mirabelli are expected to be in Rome today and the player they are interested in signing is likely Lucas Biglia. [Sky]*

*Besides Biglia, Milan will meet today with Lazio president Lotito to discuss Keita Balde.Di Marzio mentions that a secret meeting has taken place this afternoon for Biglia* *(probably with his agent).* *Negotiations for Keita appear to be more difficult than Biglia, considering that* *Juventus are in advantage in negotiations with the player.*

*According to Vito Angele, Milan want to close for Biglia tonight*
 
The young Genoa star, and son of Atletico Madrid gaffer Diego, has already scored a hatful of goals this season, totalling twelve in the Serie A so far, and has done well enough to attract interest from Villareal and Monaco.

Then again, the young Argentine sensation has only added two since late January.

The 21-year-old is the latest name to emerge in Milan’s quest for a striker, with Coach Vincenzo Montella failing to be impressed by Carlos Bacca.

The Rossoneri were linked to Simeone over the last few months, but were scared off by his high price.
Then again, recent developments indicate that the Rossoneri now have the means to pursue such an operation, with Li Yonghong taking over the Milanese club with the aid of American creditors.

The Rossoneri are also reconsidering the operation because it has emerged that Genoa like Gianluca Lapadula, who has struggled for starting time at the San Siro this season despite playing well in the little time available.

Milan and Genoa get on handsomely, and the Rossoneri see the tricky, hard-working Simeone as someone to play behind a centre-forward.
 
Najenga timu...
Kama msimu huu umebeba ndoo kwa tofauti ya alama 4 basi msimu ujao sahau
Mpaka tumelikinai hili kombe, lakini nani wa kutusimamisha?
Pamoja na imani yangu kwa Bianconeri (kwa sababu Juventus ndio dini yangu) lakini nasikitika na hali iliyopo katika ligi yetu, I hope tutachukua ndoo ya Ulaya kurudisha heshima kidogo nyumbani kwa miungu wa soka wa dunia hii
 
It appears to be official: Mateo Musacchio is the first signing of AC Milan’s new era.

The club confirmed that the 26-year-old has undergone a medical at La Madonnina clinic ahead of a move to the Rossoneri , with widespread reports of a fee around €18million agreed with the La Liga side.

At this age, it would be fair to consider him a long-term option, but who exactly is Mateo Musacchio?
Musacchio was born and raised in Rosario, Argentina and he made his first-team debut as a 16-year-old during the 2006–07 season after coming through the youth system at River Plate, making four appearances. He was part of the squad that won the Clausura in the following year, but did not feature in any games.

In summer 2009, Musacchio moved to Villarreal, initially being assigned to the B-team in the Segunda Division. He made his debut for the second team on 5 September in a 1–3 loss at Córdoba CF.

On 13 February 2010, Musacchio made his La Liga debut by playing the last 15 minutes in a 2–1 win for the Yellow Submarine against Athletic Bilbao.

His rise from that point has been impressive, as overtook Iván Marcano and Gonzalo Rodríguez – the latter his compatriot – in the defensive pecking order to become Villarreal’s most important defender since the departure of Eric Bailly.

At just 5ft11, the Argentine may not be the biggest or the tallest centre-half in the league, but his ariel ability is still a strong point of his game.

Looking into his stats for the 2016/17 season (in the league), it is interesting to compare Musacchio with a couple of Milan’s CBs, and a couple of the world’s best.

The new Rossoneri man comes in third on defensive score out of the five players compared on Squawka’s player comparison tool, behind only Alessio Romagnoli and Jerome Boateng.

He does come in last on both pass completion percentage and total duels percentage, but is joint second on defensive errors per 90 minutes and third in interceptions, showing he holds his own amongst a respectable crop of defenders.
 
Back
Top Bottom