Homa kwa aina hii ya mwanaume

Homa kwa aina hii ya mwanaume

Umeongea ukweli lakini tusiwazuie kutamani kila mtu anatamani awe na mtu wa hivi lakini circumstances zinazuia ndio maana unaona mabinti wengi wanapenda soap coz huko ndio kuna wanaume walioumbwa wakaumbika ukitembea huku barabarani huwapati the only comfort ni kuwa na imagination zako na kuangalia hayo masoap unakuta umeolewa na mme pua imejaa uso mzima mfupi kama kisokwe kidogo but hukuwa na choice utafanyaje unakuta unamuangalia alehandro ndio unaimagine ni mmeo

Ok, vema. Lakn cna ugomvi nanyi, kusoma ni kuelewa. Smart boy yeyote hu-keep time...na mambo yake ni acording to his plan. Wapo smart boy-shalo shalo, wametega nyavu kam ulivotega nyavu zako wew, utakapogundua kosa lako...tayari umeckia harufu ya uvundo. Swala ni usalama wako..ndo iwe priority...ili uwe na amani na mwenye furaha ktk mahusiano ya kudumu ama ndoa.

Cku hiz, pamoja na tishio la maradhi, bado vijana wengi wake kwa waume wako kweny game la uzinzi. Kwamba unatoka na mkali wa aje.??? Hatuoi mjini asa ivi...tunaamini mademu karibia wote wenye show wameshusha injini. Na ambao hawajashusha, basi nati zimekufa thred..so ukipakia mzigo tu, unachoropoka. Tutakesha kufanya maombi kanisani juu ya vizaz vilivyonyofolewa kwa jaribio la kutoa mimba!!!! hadi lini??? Au hadi Masia atakaporejea???

Sishangai, coz nimeelewa tayari. Nitapita njia ninayofikiri ni salama. Na mara nikigundua kuwa nimepotea, nitajisahihisha. Wanawake wa mjini ni kuwatumia tu kwa kuwa kila mmoja kwa level yake..anawaza kumpiku/kuwatoa nock-out waschana wenzake. Mashindano ya kipuuzi. INASAIDIA NN??? Wadada wanahangaika vipodoz, mawigu na rasta na gari ya kutembelea...only that..kam wanakamata pesa. Mwanaume wa kuishi naye awe na hivyo. Afu mwanaume wa kulala naye na kuzurula naye...ndo wanamtafuta smart boy ata kama hana kazi, au mume wa mtu...wanamgombania mpaka wanaitwa makurunziza. HATARE.
 
Then btn 28+,wanaanza kupishana kwa manabii kuombewa wapate wachumba.

WANASHANGAZA KISHA WANATIA HURUMA.
 
Mh!!! Una macho makali sana, mpaka umeona amevaa boxer nyeupe kabla hajavua?? Basi hata wallet yake unaweza jua ina sh ngapi kabla hata hajakuonyesha!!
 
Aisifiaye mvua..............!!!???Keshaliwa tayari. Anaomba marudio. Ukiona manyoya, ujue..........!!!!
 
Wakati mwengine post za mtu husaidia kujua umri wake na mawazo yake kichwani!! Aya asante mwanafunzi, soko huria ili, tumekusikia
 
Back
Top Bottom