That's somebody's future baby mama.
That's somebody's future baby mama.
or rather someone's baby mama.
Hv ww ukija kuolewa mumeo akiona haya makalakacha unadhani itakuwaje. !!
kweli?mi ni virse versa hao masmart siwafeel kabisa!
unauliza nn tena..ndo fantasy ya mwenzio hiyo..yako ikojeSeriously???
Unaonaje boxer kama huyo jamaa hajavaa mlegezo? Au wote wa type hii walikwisha kukaribisha ndani kwao?
Hivi ndivyo dunia ilivyo. Anayeshangaa, ujue ni mgeni. Wenyew wamekuckia na tayari wanajua cku nyingi kuwa watu dizaini yako mnawazimikia.
Lakin kwa jicho la pili mnazizimikia hela zao. Mnaota ndoto za maisha mteremko. Je, unadhani hao wanaume wafanyao kazi bank na wanakuzimikia??? Unadhani na wanafikiri vile ww unafikiri juu yao??? NENDA UKAPANGE FOLENI..., ukiipata hyo nafasi...fanya yako.
Wew mwanamke unampenda mwanaume awe hivi, mara awe vile. Naye mwanaume anampenda nwanamke awe hivi au vile. Je, ni na yupi kati yenu atakutana na hitaji lake awazalo nafsini mwake juu ya amtakaye??? Hayo ni mawazo ya wavulana na wasichana katka kipindi cha mpito. Ukijisahau na ukakivuka kipindi hicho cha mpito kwa matamanio....
hasa wew mdada, dunia itakucheka na utabaki na uso uliosawajika .., coz muda wako wa kasi ya kung'ara na kupapatikiwa na men..ni mfupi mno. Men are the winner forever. Hawana expiring date. God created this...and no one can change it. Mtakakuwa na pendo la thamani, lenye utulivu na sio lenye vurugu....mtapona hakika. Endeleeni kukanyagana. Kila cku chipukizi wa kike wapya na wakali wanamwagwa kwa hii dunia.
Lecturer anaweza kumuoa std 7...na maisha yakawa murua. Je, wew ambaye cku zote umekuwa selective, unazeeka huku unajiona, kioo kinakudanganya, kuzaa kwako ni ngekewa coz of abortion...akutake nani??? Ushakuwa screpa...na sababu ni kutamani kwako kusikokuwa na ukomo. Poleni wadada wa ivo. Poleni pia mlioguswa na maneno yangu kwa namna ya kuumizwa. Nia yangu ni kuweka bayana kile ninachoamini baada ya kutafiti.

Ntakunongoneza sikioni lolunauliza nn tena..ndo fantasy ya mwenzio hiyo..yako ikoje