Homa kwa aina hii ya mwanaume

Homa kwa aina hii ya mwanaume

boobookitty

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2015
Posts
255
Reaction score
174
Jamani mwanaume flani ivi anayevaa shati flani hivi zuri, suruali yake nzuri kachomekea.Kitu model flan hivi. Halafu saa flani hivi yani na kiatu kimoja matata.Perfume dah mie hoi.

Kwa ndani boxer flani hivi nyeupe (hiiihii) in short gentleman, yani dah! hapo akitokea ni miguu inaisha nguvu ��, au wasichana wenzangu nyie mnapenda mwanaume awe vipi. Sio siri wakaka wa bank mi nawazimia sana wako smart yani.

×× Wanaume pendezeni jamani++
 
boobookitty

nAkuPm naMbA za MshKaJi waNgu.anAfaNya kaZi baNk crdb paLe aziKiwe. anAvigezo vyako changAmkiA fursaa.
 
Last edited by a moderator:
boobookitty

Unaonaje boxer kama huyo jamaa hajavaa mlegezo? Au wote wa type hii walikwisha kukaribisha ndani kwao?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja ukue ndo utajua mwanaume anavutia pesa ama boxa nyeupe...saivi we watamani tu hakuna shida.
 
ngoja mabazazi wafanyie kazi hiyo homa yako...

subiri PM bi mkubwa...
 
unataka kutongozwa tu... marijali wa jf biashara hiyo
 
Eti ×× wanaume pendezeni jaman++

wenzio tunaangaikia kupendeza mifukoni tu, kupendeza nje tunawaachie nyie maua ya dunia
 
We unazizimia hela za bank ,ukiiona ATM vipi hu squart kabisa?!!
 
Eti ×× wanaume pendezeni jaman++

wenzio tunaangaikia kupendeza mifukoni tu, kupendeza nje tunawaachie nyie maua ya dunia

Mwanaume hua anapendeza Ila akiwa wallet inatema ha ha ha ha 😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom