Mkuu ukweli ni kwamba hakuna shamba la serikali Tz hii kwa sasa lina uhakika wa kuwepo kwa HF pure breed. Kuna ranchi moja ipo Kagera, zamani ilikuwa na pure breeds lakini hata yenyewe sasa inaaminika imeshachakachua. Kitulo pia waliopo sio pure breed, japokuwa kwa kiasi fulani wanakaribia.
Kwa maoni yangu ni kuwa ufugaji wa ng'ombe sio kitu cha kuanza leo na kuona mafanikio kesho. kwa hiyo kama ni ng'ombe wanaotoa maziwa kwa wingi, then ni bora mtu ukjitahidi kuwazalisha mwenyewe kwa kufanya selection na planned breeding. Kwa maana hiyo, ni bora mtu ukanunua tu ngombe (chotara may be) kwenye shamba ambalo lina historia ya kuwa na ng'ombe wanaotoa maziwa mengi (hata karibu na Dar siku hizi yapo), then ukaenda kufanya breeding kwa kupandikiza kwa chupa, hadi ukapata line ya ng'ombe wanaotosheleza malengo yako...
naomba kujuzwa tofauti ya maziwa ya ng'ombe ambaye ni pure breed na chotara ,pia wanatofautiana kwa lita ngapi kwa siku.
2.Magereza- kingolwira walikuwa na ng'ombe wazuri tu,niliwahi kumsindikiza mzazi wangu kuchukua ng'ombe ktk hilo gereza miaka ya 80's
Kwakweli sidhani kama unaweza kutofautisha pure breed na chotara kwa macho. Tunategemea uaminifu wa muuzaji au mfugaji kutupa uhakika kuwa ni wenyewe si sio. Kwakuwa kupima dna ni ngumu kidogo. Kwasababu hizi ndio maana tunapendelea zaidi kwenda kwenye mashamba ya serekali au kwa wasio na njaa kama asas na farmbase nk. Utofauti katika uzalishaji ni mkubwa sana, pure breed wanatoa kati ya lita 30 na 40 kwa siku. Na chotara ni kati ya 15 na 20 kwa siku. Hii ni pamoja na kuzingatia chakula, concentrates, maji, kujisaidia kwao na wingi wa hewa safi na vivuli vya kupumzikia watakapo ndani ya masaa 24. Kwa wastan ng'ombe anatakiwa kula 35kg za majani kwa siku, 2kg za concentrates kwa siku na almost 8litres za maji kwa siku au zaidi. Kwa muda wake autakao within those 24hrs. Hii sio shughuli ndogo kwani kama utanunua species za majani wanayopenda na yanayoshauriwa kuliwa ili kuongeza uzalishaji kutokana na upatikanaji wa nutrients sahihi basi ng'ombe mmoja anahitaji kama elf 12kwa siku ili akupe hizo litres za maziwa uzitakazo. Asipopata vitu hivi ndio hapo hata chotara atakutolea lita 5 kwa siku badala ya 20.
Mkuu nashukuru kwa thread nzuri, na nakupongeza kwa uamuzi uliochukua,
Ushauri na uelewa wangu ni kwamba ni vyema ukatafuta ngombe hapa dsm wanaweza wakawa wazuri ,lililo la msingi ujue kwanza historia ya ngombe, umri uwezo wa kuzalisha maziwa, etc.
Hii ina maana kwamba unaweza kupunguza garama nyingi za usafiri, strees factor kutokana na safari, mnyama kubadili mazingira kotoka kwenye high altitude kuja kwenye low altitude pia ni problem, unaweza kumuomba hata Malila akawa key informant wako kwamba ni wapi kuna wafugaji/mfuji ngombe wazuri ambao hata yeye ana history yake.
Ukinunu ngombe, mfano mtamba hakikisha unanunua mwenye mimba, na ukinunu ngombe aliyekwisha zaa uhakikishe pia ana mimba lakini pia akamuliwe uone mwenyewe ni kiasi gani anatoa on the spot ili ujiridhishe usije pewa history ataoa lita 10 kumbe uwezo wake ni lita mbili, lakini pia ku avoid conception failures, kama utawahitaji ni pm nikuelekeze kwa mfugaji. kila la heri.
Duh! Asante,nimesitisha zoezi la Ng'ombe wa maziwa.ngoja sasa niwekeze nguvu zote ktk Mbuzi kwa ajili ya nyama.nikishajipanga ntarudi tenaKwakweli sidhani kama unaweza kutofautisha pure breed na chotara kwa macho. Tunategemea uaminifu wa muuzaji au mfugaji kutupa uhakika kuwa ni wenyewe si sio. Kwakuwa kupima dna ni ngumu kidogo. Kwasababu hizi ndio maana tunapendelea zaidi kwenda kwenye mashamba ya serekali au kwa wasio na njaa kama asas na farmbase nk. Utofauti katika uzalishaji ni mkubwa sana, pure breed wanatoa kati ya lita 30 na 40 kwa siku. Na chotara ni kati ya 15 na 20 kwa siku. Hii ni pamoja na kuzingatia chakula, concentrates, maji, kujisaidia kwao na wingi wa hewa safi na vivuli vya kupumzikia watakapo ndani ya masaa 24. Kwa wastan ng'ombe anatakiwa kula 35kg za majani kwa siku, 2kg za concentrates kwa siku na almost 8litres za maji kwa siku au zaidi. Kwa muda wake autakao within those 24hrs. Hii sio shughuli ndogo kwani kama utanunua species za majani wanayopenda na yanayoshauriwa kuliwa ili kuongeza uzalishaji kutokana na upatikanaji wa nutrients sahihi basi ng'ombe mmoja anahitaji kama elf 12kwa siku ili akupe hizo litres za maziwa uzitakazo. Asipopata vitu hivi ndio hapo hata chotara atakutolea lita 5 kwa siku badala ya 20.
Kweli kabisa, kubadili hali ya hewa ni changamoto kwa wafugaji wote, iwe samaki,kuku,nk Kiegea Moro kuna mjeshi mmoja ana ng`ombe balaa, au kama unaweza kwenda Kwa Pm mmoja mstaafu, unaweza pata mbegu na kwa gharama ndogo sana. Najaribu kumtafuta Vert.officer mmoja rafiki yangu, alikuwa anauza hawa ng`ombe na yupo Ubungo. Nikimpata nitaweka data hewani.
Niunganishie mkuu, utakuwa umeniokoa!Nikufanyie mpango upate ka pili?
Correct. Typo.
Duh! Asante,nimesitisha zoezi la Ng'ombe wa maziwa.ngoja sasa niwekeze nguvu zote ktk Mbuzi kwa ajili ya nyama.nikishajipanga ntarudi tena
Drake, naomba contacts za huyo jamaa (e-awadh), labda anaweza kuniuzia hata ving'ombe vitano (5).Salamu,
Naona ushauri mzuri sana umewekwa, ila kwa eneo unalopanga kufugia liko kwenye ukanda wa pwani(coastal belt), ambao unatabia yakuwa na joto jingi na mbungo (kiasi).
kwa fresian(mweusi na madoa meupe) au gunsey(mweusi kabisa) joto ni issue kwao (temperature discomfort), hii si ugonjwa ni kadhia tu kwa mnyama kama ni kwaajili ya maziwa hata ukimlisha kitaalam hili tu linaangusha uzaliashaji wa maziwa.
Sijui kwanini watu wa kitulo hawakukwambia hili.
Kingine kwa breed hii ni butter fat content- breed hii wanatoa ratio ndogo, hii hufanya wateja waseme umeweka maji si wewe ila ning'ombe alivyo kwa hiyo ku balance hapo inabidi ufuge wa kienyeji kabisa ili uchanganye maziwa yao kuipandisha kidogo kwa wanywaji wa dar uko safe kati ya 2.6 to 3, ukienda zaidi watakusumbua mafuta mengi chini ya 2.3 maziwa maji.
Lakini pia pitia pale kwa philips iringa, yeye ana pure breed (ayshire-hakiki spelling). kwa macho yangu nimeona akijaza lita 20 maramoja jioni kama saa kumi na mbili hivi.
ila que yake kwenye kupata hawa ni ndefu na wanaulishaji wa makini sana unaweza pata kama wiki moja ya mafunzo kwao ni watu poa sana.
mtu mwingine anao hawa kama 900 hapo kibaha anaitwa e-awadh.anapata kama lt15 mara moja, sio pure breed ni kama F3 hivi.
Kwa ufugaji wa kwetu wa semi-professional ni vyema ukafuga mpaka F3 ukienda zaidi magonjwa yata kuangamizia mifugo.
kwa ushauri wa rahisi tafuta ayshire au jersey hawa ndio money makers kwenye biashara ya maziwa.
ukiamua kuchanganya breeds perfect combinations are Fresian(volume & zebu/boran(wakienyeji-quality),Jersey(quality) & fresian(Volume).
Kuna mtu amekushauri tengeru wanao jersey labda kama wame badili breed hata hivyo nakuomba usinunue nakuomba usinunue(wana lumpyskin desease sijui kama wame iweza kwa sasa).
Salamu,