Holstein-Friesian

Mkuu ukweli ni kwamba hakuna shamba la serikali Tz hii kwa sasa lina uhakika wa kuwepo kwa HF pure breed. Kuna ranchi moja ipo Kagera, zamani ilikuwa na pure breeds lakini hata yenyewe sasa inaaminika imeshachakachua. Kitulo pia waliopo sio pure breed, japokuwa kwa kiasi fulani wanakaribia.

Kwa maoni yangu ni kuwa ufugaji wa ng'ombe sio kitu cha kuanza leo na kuona mafanikio kesho. kwa hiyo kama ni ng'ombe wanaotoa maziwa kwa wingi, then ni bora mtu ukjitahidi kuwazalisha mwenyewe kwa kufanya selection na planned breeding. Kwa maana hiyo, ni bora mtu ukanunua tu ngombe (chotara may be) kwenye shamba ambalo lina historia ya kuwa na ng'ombe wanaotoa maziwa mengi (hata karibu na Dar siku hizi yapo), then ukaenda kufanya breeding kwa kupandikiza kwa chupa, hadi ukapata line ya ng'ombe wanaotosheleza malengo yako...

ASAS Iringa wanaweza kuwa nao, tatizo ni namna ya kupata bahati ya kumpata japo mmoja. Kilolo kulikuwa na shamba la mitamba la serikali, sijui kama bado lipo au ndio kama kawa.
 
naomba kujuzwa tofauti ya maziwa ya ng'ombe ambaye ni pure breed na chotara ,pia wanatofautiana kwa lita ngapi kwa siku.
2.Magereza- kingolwira walikuwa na ng'ombe wazuri tu,niliwahi kumsindikiza mzazi wangu kuchukua ng'ombe ktk hilo gereza miaka ya 80's
 
Kwakweli sidhani kama unaweza kutofautisha pure breed na chotara kwa macho. Tunategemea uaminifu wa muuzaji au mfugaji kutupa uhakika kuwa ni wenyewe si sio. Kwakuwa kupima dna ni ngumu kidogo. Kwasababu hizi ndio maana tunapendelea zaidi kwenda kwenye mashamba ya serekali au kwa wasio na njaa kama asas na farmbase nk. Utofauti katika uzalishaji ni mkubwa sana, pure breed wanatoa kati ya lita 30 na 40 kwa siku. Na chotara ni kati ya 15 na 20 kwa siku. Hii ni pamoja na kuzingatia chakula, concentrates, maji, kujisaidia kwao na wingi wa hewa safi na vivuli vya kupumzikia watakapo ndani ya masaa 24. Kwa wastan ng'ombe anatakiwa kula 35kg za majani kwa siku, 2kg za concentrates kwa siku na almost 8litres za maji kwa siku au zaidi. Kwa muda wake autakao within those 24hrs. Hii sio shughuli ndogo kwani kama utanunua species za majani wanayopenda na yanayoshauriwa kuliwa ili kuongeza uzalishaji kutokana na upatikanaji wa nutrients sahihi basi ng'ombe mmoja anahitaji kama elf 12kwa siku ili akupe hizo litres za maziwa uzitakazo. Asipopata vitu hivi ndio hapo hata chotara atakutolea lita 5 kwa siku badala ya 20.
 
mkuu

only 8ltrs? it should be 80ltrs, isn't it !
 
Wakuu hata chuo cha mifugo tengeru Arusha kuna kipindi walikuwepo now day sijajua labda kama kuna mtu mwenye contact za mtu wa pale chuoni ajaribu kuulizia hawa ng'ombe.
Nilitembelae pale mwaka fulani nikawakuta na kuna waliokuwa wanatoa lita 60 kwa siku hawa walikuwa ni wa kubwa ajabu na kiwele chao kilikuwa kikubwa kiasi kwamba walikuwa hata kutembea ni shida
 
Mkuu nashukuru kwa thread nzuri, na nakupongeza kwa uamuzi uliochukua,
Ushauri na uelewa wangu ni kwamba ni vyema ukatafuta ngombe hapa dsm wanaweza wakawa wazuri ,lililo la msingi ujue kwanza historia ya ngombe, umri uwezo wa kuzalisha maziwa, etc.

Hii ina maana kwamba unaweza kupunguza garama nyingi za usafiri, strees factor kutokana na safari, mnyama kubadili mazingira kotoka kwenye high altitude kuja kwenye low altitude pia ni problem, unaweza kumuomba hata Malila akawa key informant wako kwamba ni wapi kuna wafugaji/mfuji ngombe wazuri ambao hata yeye ana history yake.

Ukinunu ngombe, mfano mtamba hakikisha unanunua mwenye mimba, na ukinunu ngombe aliyekwisha zaa uhakikishe pia ana mimba lakini pia akamuliwe uone mwenyewe ni kiasi gani anatoa on the spot ili ujiridhishe usije pewa history ataoa lita 10 kumbe uwezo wake ni lita mbili, lakini pia ku avoid conception failures, kama utawahitaji ni pm nikuelekeze kwa mfugaji. kila la heri.
 
Kweli kabisa, kubadili hali ya hewa ni changamoto kwa wafugaji wote, iwe samaki,kuku,nk Kiegea Moro kuna mjeshi mmoja ana ng`ombe balaa, au kama unaweza kwenda Kwa Pm mmoja mstaafu, unaweza pata mbegu na kwa gharama ndogo sana. Najaribu kumtafuta Vert.officer mmoja rafiki yangu, alikuwa anauza hawa ng`ombe na yupo Ubungo. Nikimpata nitaweka data hewani.
 
Kwakweli sidhani kama unaweza kutofautisha pure breed na chotara kwa macho. Tunategemea uaminifu wa muuzaji au mfugaji kutupa uhakika kuwa ni wenyewe si sio. Kwakuwa kupima dna ni ngumu kidogo. Kwasababu hizi ndio maana tunapendelea zaidi kwenda kwenye mashamba ya serekali au kwa wasio na njaa kama asas na farmbase nk. Utofauti katika uzalishaji ni mkubwa sana, pure breed wanatoa kati ya lita 30 na 40 kwa siku. Na chotara ni kati ya 15 na 20 kwa siku. Hii ni pamoja na kuzingatia chakula, concentrates, maji, kujisaidia kwao na wingi wa hewa safi na vivuli vya kupumzikia watakapo ndani ya masaa 24. Kwa wastan ng'ombe anatakiwa kula 35kg za majani kwa siku, 2kg za concentrates kwa siku na almost 8litres za maji kwa siku au zaidi. Kwa muda wake autakao within those 24hrs. Hii sio shughuli ndogo kwani kama utanunua species za majani wanayopenda na yanayoshauriwa kuliwa ili kuongeza uzalishaji kutokana na upatikanaji wa nutrients sahihi basi ng'ombe mmoja anahitaji kama elf 12kwa siku ili akupe hizo litres za maziwa uzitakazo. Asipopata vitu hivi ndio hapo hata chotara atakutolea lita 5 kwa siku badala ya 20.
Duh! Asante,nimesitisha zoezi la Ng'ombe wa maziwa.ngoja sasa niwekeze nguvu zote ktk Mbuzi kwa ajili ya nyama.nikishajipanga ntarudi tena
 
Kweli kabisa, kubadili hali ya hewa ni changamoto kwa wafugaji wote, iwe samaki,kuku,nk Kiegea Moro kuna mjeshi mmoja ana ng`ombe balaa, au kama unaweza kwenda Kwa Pm mmoja mstaafu, unaweza pata mbegu na kwa gharama ndogo sana. Najaribu kumtafuta Vert.officer mmoja rafiki yangu, alikuwa anauza hawa ng`ombe na yupo Ubungo. Nikimpata nitaweka data hewani.

Wakuu asanteni sana kwa michango yenu:
Hii nchi yetu haina mipango yoyote ya maana, nd'o maana Malila uliomba uuziwe shamba la Kitulo ili uliendeleze na ulifanyie kazi ya maana.
Pale Kitulo wanatoa pure breed Freishian wanaotoa maziwa 30-40 lts in 24 hours.
Wanapandisha mitamba, wanapima kama imepata mimba kila baada ya miezi mitatu (wale wanaopatikana wana mimba wanagawanywa sehemu mbili, nusu ya kwanza wanabakizwa kwa kuendeleza kizazi, nusu nyingine wanauzwa kulingana na order; japo mtu mmoja anatakiwa kuchukua ng'ombe mmoja tu kwa sababu ni wachache). Aibu hii! Mi' nimeweka order toka August, 2011 ili nichukue November, 201; watapima tena mwezi February, 2012.
Kuna mfugaji mwingine ambaye nilishapewa contacts zake ambaye yeye niliambiwa ni Mkurugenzi sijui wa nini, anashamba kubwa. Nilimtumia email toka August, nikawa nimekata tamaa kwa kutojibiwa, lkn this week alimwomba msimamizi wake anijibu, nikajibiwa kuwa wana ng'ombe 300, lkn wanahitaji wawe 450, kwa hiyo na wao wanatafuta 150 zaidi kwa sababu wameshaanzisha milk processing plant. Hii ni sehemu ya email hiyo: ".....Dear ....,
My name is ...... coordinator of Molomo and Gararagua Farm situated West Kilimanjaro.
Regarding your information of keeping dairy cattle is the good idea

1.0 For the time being we are not able to sell to you our dairy cattlle because our road map shows that we have to increae dairy cattle up to 450 from current 300 dairy cattle

2.0 Concering selling of heifers we cant afford while are looking for heifer to increase our milk production.

For your information we have managed to build our own milk processing plant and we still in trials run.

3.0 The current price of dairy catle in open market it range from 800,000/= to 1,200,000/=

4.0 The minimum and maximum amount of milk production per cow depend on compound meal you feed you dairy cattle and weather

I think you got my concept

Best regards,

............
..........."
Sikukata tamaa nikajikuta najuana na mTz aliyepo Republic of South Africa (through mtandao) akaniambia nicheck www.investindairycattle.co.za na www.hooggekraal.co.za. Nikamchokoza huyu jamaa anyepatikana kwenye website ya pili (www.hooggekraal.co.za) akaniomba namba ya simu ili YEYE ND'O ANIPIGIE aniulize vizuri.
Anasema:
(1)Heifer (mtamba) mmoja mwenye mimba ya miezi 6 anauza kwa 1,550 rands sawa na 3,25,000 Tshs
(2)Hauzi ng'ombe wasio na mimba, mfano: ndama wa umri wa miezi 8-9
(3)Kama ni kusafirisha, KIASI CHA CHINI KABISA anachoweza kusafirisha ni ng'ombe 40 - chini ya hapo hafanyi biashara hiyo.

Mnaona nchi za watu wanavyotupiga bao?
Linganisha na kwetu:
(1)Kupata mtamba bora wenye mimba ni issue
(2)Hata kama wenye mimba wapo hakuna atakayekubali kukuuzia
(3)Serikali yetu haina uwezo wa ku-supply ng'ombe kwa watu kutokana na mahitaji, KIASI CHA JUU KABISA ambacho serikali yetu inaweza kumuuzia mtu ni ng'ombe mmoja (1)!

Kwa sasa nasubiri kang'ombe kamoja toka Kitulo, hopefully nitapata kengine February.
Inamaanisha kuwa nikitaka niwe na ng'ombe 20 kuanzia November, 2011 basi ujue nitafikia lengo hilo November, 2015 wakati huo huo hawa wa mwanzo watakuta walishajichokea! Shame on you Tz!
 
Duh! Asante,nimesitisha zoezi la Ng'ombe wa maziwa.ngoja sasa niwekeze nguvu zote ktk Mbuzi kwa ajili ya nyama.nikishajipanga ntarudi tena

Usikate tamaa mapema hivi mkuu. Angalia options mbali mbali, usitishike na chakula cha ng'ombe, unaweza kujilimia majani yako mwenyewe, maji ya kisima nk. Tushirikiane kuondoa hii 'milk crisis'.
 
Salamu,
Naona ushauri mzuri sana umewekwa, ila kwa eneo unalopanga kufugia liko kwenye ukanda wa pwani(coastal belt), ambao unatabia yakuwa na joto jingi na mbungo (kiasi).
kwa fresian(mweusi na madoa meupe) au gunsey(mweusi kabisa) joto ni issue kwao (temperature discomfort), hii si ugonjwa ni kadhia tu kwa mnyama kama ni kwaajili ya maziwa hata ukimlisha kitaalam hili tu linaangusha uzaliashaji wa maziwa.
Sijui kwanini watu wa kitulo hawakukwambia hili.
Kingine kwa breed hii ni butter fat content- breed hii wanatoa ratio ndogo, hii hufanya wateja waseme umeweka maji si wewe ila ning'ombe alivyo kwa hiyo ku balance hapo inabidi ufuge wa kienyeji kabisa ili uchanganye maziwa yao kuipandisha kidogo kwa wanywaji wa dar uko safe kati ya 2.6 to 3, ukienda zaidi watakusumbua mafuta mengi chini ya 2.3 maziwa maji.
Lakini pia pitia pale kwa philips iringa, yeye ana pure breed (ayshire-hakiki spelling). kwa macho yangu nimeona akijaza lita 20 maramoja jioni kama saa kumi na mbili hivi.
ila que yake kwenye kupata hawa ni ndefu na wanaulishaji wa makini sana unaweza pata kama wiki moja ya mafunzo kwao ni watu poa sana.
mtu mwingine anao hawa kama 900 hapo kibaha anaitwa e-awadh.anapata kama lt15 mara moja, sio pure breed ni kama F3 hivi.
Kwa ufugaji wa kwetu wa semi-professional ni vyema ukafuga mpaka F3 ukienda zaidi magonjwa yata kuangamizia mifugo.
kwa ushauri wa rahisi tafuta ayshire au jersey hawa ndio money makers kwenye biashara ya maziwa.
ukiamua kuchanganya breeds perfect combinations are Fresian(volume & zebu/boran(wakienyeji-quality),Jersey(quality) & fresian(Volume).
Kuna mtu amekushauri tengeru wanao jersey labda kama wame badili breed hata hivyo nakuomba usinunue nakuomba usinunue(wana lumpyskin desease sijui kama wame iweza kwa sasa).
 
Drake, naomba contacts za huyo jamaa (e-awadh), labda anaweza kuniuzia hata ving'ombe vitano (5).
Pia itakuwa rahisi kwangu kwa sababu nina kieneo changu Visiga.
 
Drake asante sana kwa ushauri. Nakupm tubadilishane contacts kwa kushauriana na mawasiliano zaidi.

Asante tena na tena.
 
Back
Top Bottom