Ni jambo la ajabu sana ya akili za binadamu wa siku hizi kuwa hazifanyi kazi, nadhani ni kwa sababu ya kutumia Synthetic foods and drinks, because what you eat and drink, you become! Kila kona kumejaa vyakula na vinywaji vya bandia.
Television zimetuletea janga la Covid19 kwenye mind zetu na majority believe TV. Hatutafakari kabisa, hatujiulizi zaidi ya kufuata tunachoambiwa na authority kuwa ni kitu chema. Sigara na pombe vimeruhusiwa na authority kama kitu chema huku Ganja ikipigwa marufuku.
Kwa vile dini na serikali vyote vinaipinga, lakini ukichunguza utagundua ganja smokers wengi hawaumwi hovyo, otherwise awe anachanganya na vitu vingine. Leo hii dunia nzima tunaona watu wakijpeleka kuchanjwa Covid19.
Utata wa chanjo hii umekuja haraka kinyume na matakwa ya sayansi inavyosema kuwa kuhusu chanjo, sina muda wa kuandika kwa vile JF bango hili watalifuta, atakayewahi kusoma ni poa. Duniani tupo above 7Bln.
Illuminatti wanataka angalau watu wafike 500Mln, angalia google.." Georgia Stone" kuhusu bango linalohusiana na mahitaji ya ku maintain idadi ya watu duniani kuwa chini ya milioni 500. Kumekuwa na agenda za kupunguza idadi ya watu duniani kupitia Condoms (Magufuli aliwafukuza PSI wasambazaji wa condom), kumekuwepo campain za Vasectomy kufunga kizazi, vidonge vya kuzuia mimba.nk
Hii yote ni kuonyesha kuwa dunia ina tatizo la idadi ya watu na hivyo watu waamke na wapunguze idadi ya watu kuzaana. Ndo maana pia kuna vyakula na matunda ambavyo ni hybrid na GMO ambazo ulaji wake hupunguza mbegu za uzazi.
Illuminati wameshindwa kuwapunguza watu kwa njia ya vita, maradhi na Starvation mbali mbali, idadi bado inaongezeka. Hii ni hatari kwao.
Sasa imekuja teknology wa kuweka Microchip under our skin kwa kile kinachoitwa Vaccination, hizi ni computer devices using nano technology ambazo zitakuwa Linked na 5G network ambayo Elon Musk tajiri wa Spacex anapeleka Satelite za 5G kwenye low attitude orbit.
Ndo maana unaona kuna campain za watu kuchanja na sehemu nyingine wanatoa bonus kama USA na sehemu nyingine wanatumia Force kuchanja ili upate baadhi ya huduma.
Watu wanajipeleka wenyewe kwa hiari kwa vile tu TV imesema. But The holocaust is coming.
Mengi nimeyapa kutoka kwa "Illuminati insiders" ambapo wengine ni wema wana reveal mipango ya Illuminati kwa dunia yote.
Sasa endeleeni kutuona wajinga mnavopewa maonyo, nanyi JF endeleeni kufuta post kama hizi, huku mkijigamba eti
"Jf is a place where you can talk openly" Talks gani hizo ziwe openly?
Msifikiri tunamfuata Gwajima, huyo ni yeye kama yeye na atajijua na waumini wake.