Hollywood

Hollywood

Hivi si inabidi uwe na bando la kutosha,tupeane maujanja bando zipi ni cheap kudownload movies au we unafanyaje mkuu?
Ndio, bando la kutosha ni usiku saa6 usiku mpaka 12 asubuhi, unapata 10 gb halotel Kwa 1500, Kwa ttcl unapata Kwa 1000,
Na unatakiwa uwe na nafasi ya kutosha kwenye simu yako,

Ila Mimi natumia PC kwenye nafasi hakuna tatizo, nachukua movie 8 au9 mpaka asubuhi zote tayari unafanya kuwatch.
 
Halotel kwa 1500 si unapata bando UNLIMITED kuanzia 6 hadi 12? Au tunatofautiana?
 
Ndio, bando la kutosha ni usiku saa6 usiku mpaka 12 asubuhi, unapata 10 gb halotel Kwa 1500, Kwa ttcl unapata Kwa 1000,
Na unatakiwa uwe na nafasi ya kutosha kwenye simu yako,

Ila Mimi natumia PC kwenye nafasi hakuna tatizo, nachukua movie 8 au9 mpaka asubuhi zote tayari unafanya kuwatch.
Thanks.
 
Back
Top Bottom