Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,562
- 7,348
Wadau wa Hollywood wa movie za 4k naomba munisaidie jina la hii movie.
Kwani picha hiyo umeitoa wapi mkuu?
Basi sawa ngoja niunge foleni kusubiri majibu ila ungeuliza hukohuko watsap nadhani ungepewa majibu kabisa tena haraka zaidi.Kwenye WhatsApp mkuu
Inaitwa 'Species'
Ni Splice mkuu.. Nilikosea, ingapokuwa species ipo pia na plot zao zinafananaKweli ngoja nijaribu
Jaribu kwenye Teatv.Mkuu nashukuru sana hivi naweza pata full movie?
unatumia PC au simu mkuu.Mkuu nashukuru sana hivi naweza pata full movie?
SimuU unatumia PC au simu mkuu.
Jaribu playboxSimu
Inapatikana wapi play storeJaribu playbox
Playstore haipo,Inapatikana wapi play store
Ok nimekupata uTorrent nayo inamaliza nafsi kwenye simu yangu anyway nitafanya hivyo mkuuPlaystore haipo,
Ingia Google tafuta playbox apk file kisha install
Kisha chukua utorrent ipo play store Kwa ajili ya kushushia movie
Hivi si inabidi uwe na bando la kutosha,tupeane maujanja bando zipi ni cheap kudownload movies au we unafanyaje mkuu?Playstore haipo,
Ingia Google tafuta playbox apk file kisha install
Kisha chukua utorrent ipo play store Kwa ajili ya kushushia movie