Holiday Greetings, Tuma Salamu.

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,164
2,000
Tuma salamu kwa mwana/wana jf wote ambao michango na hoja zao zimekuwa zimekugusa kwa namna moja au nyingine.

Mi ntaanza;
1. Salamu kwa wanajf wa jukwaa la michezo hasa mashabiki wa Man Utd na timu nyingine. Kupitia wao, weekend yangu inakuwa murua kabisa.
2. Salamu kwa wana jf ambao kwa muda mrefu wamepotea hapa jf.
3. Salamu kwa familia za wale wanaowezesha jf kuwa hewani muda wote. Hasa kwa Maxence Melo aliepitia misukosuko siku chache zilizopita.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom