Holiday Greetings, Tuma salaam

Ha ha ha! Siko mbali baba paroko, wifi yake wa karibu Kim nana shahidi.
^^

Tena mwaka 2015 hauishi...lazima tuchukue jumlaaa....tuombe tu uzima lol....

Me mchango wangu vigele gele.....ndo nshawahi hivo....
 
Last edited by a moderator:
Natuma salamu kwa mujomba wangu akiwa bugando mwanza

natuma salaam kwa bibi yangu akiwa daresaalam ubungo maziwa

Ujumbe wangu nawaambia xmas njema

hahaha
 
Baba paroko Eiyer nachukua nafasi hii kujikaribisha parokiani kwa misa ya sikukuu. Khantwe jina lako huwa linafanya nicheke maana kikwetu linamaanisha mtu mwenye kichwa kidogo hahaa! Nawatakieni sikukuu yenye heri za kutosha na kupitiliza
Karibu sana Chujio ....

Hebu fanya hima tuwasiliane aisee!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Natuma salaam kwako wewe na utafiti

Ujumbe wangu msininyime pilau la xmass hata kama dogo!!!


afu wewe leo niko full chaji

Jiandae!!!!

Kwa niaba ya utafiti nasema karibu pilau lipo njoo na vifaa na viungo plus nyama

afu jana nilikupa onyo eeeh ole wako
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya utafiti nasema karibu pilau lipo njoo na vifaa na viungo plus nyama

afu jana nilikupa onyo eeeh ole wako

fyooooooo!!!!! pambaaaafuuuu!!!!!
mgeni njoo mwenyeji apone ?
siji bora niende kwa mke mwenza Honey Faith

Salamu zangu kwako mke mwee!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…