Holiday Greetings, Tuma salaam

Nashukuru kwa wishes mkuu. nami Nikutakie wewe, watakaosoma post hii, waJF kwa ujumula na waTanzania wenzangu kwa ujumla Merry xmass & happy new years. Mungu atujaaliye sote afya njema na upendo wa dhati kama wa Tanzania kwa mustakabali wa taifa hili kwetu sote na kwa vizazi vyetu vijavyo.


 
Kama kweli hakuna mwingine come out and say this.

Your the only one Rogie.Huyo kiwatengu anataka kunigombanisha na wewe tu hana lolote.Relax hny you known there is no one like you.Love u sana my hubby Rogie

Bazaz wote please stay away from me jamani mie mke wa mtu atiii na wapambe wote wakianziwa na kiwatengu
 
Last edited by a moderator:
Thanks kwa wish BAK.Msimu ujao nahamia arsenal atiiii
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Karibu sana nyumbani, kutakuwa na sherehe kubwa ya kukukaribisha rasmi itakayohudhuriwa na wanachama, wapenzi na mashabiki wote wa Gunners hapa jamvini.

Thanks kwa wish BAK.Msimu ujao nahamia arsenal atiiii
 

Mmmh shouger kumbe ndo huwa unakuwa mdogo namna hii 😛😛😛
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha ha.... hata wewe mkuu utafiti ni bazazi?
check this alert...
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana nyumbani, kutakuwa na sherehe kubwa ya kukukaribisha rasmi itakayohudhuriwa na wanachama, wapenzi na mashabiki wote wa Gunners hapa jamvini.

Ok asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…