Hoja za wanaoona lockdown haifai ni zipi? Tuelimishane

Mkuu lockdown sisi siyo wa kwanza. Hali tofauti za kiuchumi za watu huzingatiwa. Inafahamika:

1. Wapo wenye kuhitaji msaada kabisa (in totality).
2. Wapo wenye kuhitaji msaada kiasi (partial).
3. Wapo wanaojitosheleza.
4. Wapo wenye ziada na hata tayari kusaidia wengine.

Serikali pia ipo.

Ni kweli kuwa haitakuwa kipindi cha starehe. Kitakuwa kipindi kigumu cha muda mfupi ambacho hata hivyo hakuna atakaye kufa kwa njaa au kukosa kabisa mahitaji muhimu katika kipindi hicho.

Mkuu kwa vile unaona pia kuwa si kuwa lockdown haifai, huoni pia kuwa kama ikibidi (kwa nyakati zingine) katika kipindi hicho kushindia uji ni heri zaidi kuliko kuja kusambaratishwa na Corona bila jitihada za kutosha?
Tatizo ni data, je tunatakwimu za kuwatambua makundi ayo ya watu ? Tatizo la wabongo ata wenye uwezo wa kati wataenda kupanga foleni kwenye chakula cha misaada...yani leo hii ukitangaza umeme bure kesho tu majiko ya umeme yataadimika.
Maamuzi magumu yanaitajika, kwa hali inavyokwenda lockdown is inevitable, tunaweza kuanza na Dar ambapo ugonjwa unaenea kwa kasi ili mikoa mingine ijikite kwenye uzalishaji.
Lockdown kwa Dar itasaidia ata upimaji wa watu kwa hiyari majumbani.
 
Kitambulisho au namba ya nida itasaidia na wale ambao hawana waandaliwe utaaratibu kupitia ofisi za mitaa yao...

Angalizo:
Kabla ya kuzuia watu kutoka majumbani serikali itoe taarifa mapema mwenye kusafiri asafiri na mwenye kuweka chakula aweke mapema...
 
Kabla ya kutufungia watuandalie na misaada ya chakula kabisa.

Mkuu hili suala linahitaji busara hasa toka kwa wananchi. Halipaswi kutumika kama fursa kwa namna yoyote tokea upande wowote.

Kila mtu anajijua na anaijua hali yake vilivyo. Watu wakielimishwa vilivyo wamekuwa wadau wakubwa wa kuifanikisha lockdown kwa wenzetu.

Kwingine watu wameelimishwa sana na wameelewa kuwa hili ni suala la pamoja. Hata hapa dharura iliyopo ikieleweka kutakuwa na ushirikiano wa kutosha.

Misaada iwepo pale tu panapohitajika. Au sivyo mkuu?
 
Unazungumzia nchi yenye population ya 12 milioni Tanzania tuko takriban milioni 55

Mkuu kuwa wengi ni fursa zaidi. Wingi wetu unatuwezesha ku lockdown dar, arusha, Kilimanjaro, Mwanza na Zanzibar hali sehemu zingine zikichapa kazi kusaidia huko.

Mkuu hili pia limeelezewa sana. We are better off tukiwa wengi kuliko walio wachache. Hii ni moja ya manufaa ya muungano wetu wa Tanganyika na Zanzibar.

India wameweka watu zaidi billion 1 lockdown na wanasonga. Ni hivyo hivyo Lagos, Abuja, na Ogoni Nigeria ambako kina idadi kubwa tu ya watu.

Mkuu wingi ni fursa. Tuitumie vyema.
 
Mabibi na mabwana naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Tumekabiliwa na ugonjwa ambao unatishia maisha yetu kama taifa. Mengi yameelezwa yakiwamo ufafanuzi wa nini maana ya lockdown na kwa nini ni muhimu katika kupambana na Corona. Imeelezwa pia, kwa nini hakuna kitu kama lockdown ya mtu mmoja mmoja.

Mifano imetolewa kuonyesha lockdown haina maana ya mtu kufungiwa chumbani au nyumbani, bali watu wote katika eneo husika kusalia majumbani. Shughuli zilizo muhimu tu ndiyo pekee huruhusiwa kuendelea.

Imeelezwa kwa mifano, tahadhari huchukuliwa kuona kuwa hakuna atakaye athirika kufikia hatua kufa kwa njaa au kukosa kabisa mahitaji muhimu kwa wakati wote wa lockdown. Hata hivyo ni kweli kuwa mtu hata kula au kupata kile ambacho 100% angependa kula au kupata katika kipindi hicho cha mapambano.

Njia hii imethibitika kuwa madhubuti kabisa katika kuivunja minyororo ya maambukizi ya Corona ambayo ni lazima ivunjwe ili kuudhibiti ugonjwa huu.

Bila ya minyororo hii ya maambukizi kuvunjwa, ugonjwa huu utaendelea kuenea kwa kasi. Watu watazidi kufa. Hakutakuwa na natumaini ya lini mashule yatafunguliwa wala ya lini tutarejea kwenye shughuli zetu zote za kawaida.

Kwisha kuweka utangulizi huu, ingependeza kufahamu wanaopinga kutumia njia hii ya lockdown kutanzua janga la ugonjwa huu unaotukabili, hoja zao hasa ni zipi na pengine wanao mbadala upi? Ni muhimu kama jamii tukawa na njia mbalimbali mezani tukijiridhisha kuwa ni ipi tunayoifuata na kwa matumaini yapi.

Ukiangalia kinachotokea Ecuador sasa ni majuto. Hivi wanajilaumu kwanini hawakuchukua hatua kali mapema.

Serikali inaomba msamaha kwa kuchelewa mno kuchukua hatua wakati mitaa tayari imejaa maiti za ugonjwa wa Corona:

Pamoja tutaushinda ugonjwa huu.

Humbly nawasilisha.
Ngoja msemaji wa CCM aje na point zake mzee mgaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BBC na shilawadu hakuna tofauti!mbona hawatangazi kuhusu England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿?

Sent using IPhone X
 
Upo sahihi, baadhi ya nchi wameshindwa sababu watu hawana chakula na hawana akiba ya fedha...
Mwisho Ni raia kupambana na vyombo vya Dola.

Nchi nyingi zilizojaribu kukwepa lockdown imekuwa zaidi ni kwa sababu za kiuchumi.

Ikumbukwe kulikuwa hakuna haja ya kuweka nchi nzima kwenye total lockdown kama hatua hizi zingechukuliwa mapema.

Mfano tunapoendelea kuchelewa itakuwa si Dar, Zanzibar, arusha, Kilimanjaro na Mwanza. Itakuwa zaidi ya hapo na mahitaji ya kila kitu (chakula, pesa, muda, nk) yatakuwa makubwa zaidi.

Ni ukweli usiopingika kuwa kisebu sebu cha uchumi kimetufikishia huu ugonjwa huu nchini. Kisebu sebu hicho hicho cha uchumi kinasababisha ugonjwa huu hatari kusambaa.

Kwa hali ya sasa uchumi ni baadaye uzima kwanza.

Au vipi mkuu?
 
Nchi nyingi zilizojaribu kukwepa lockdown imekuwa zaidi ni kwa sababu za kiuchumi.

Ikumbukwe kulikuwa hakuna haja ya kuweka nchi nzima kwenye total lockdown kama hatua hizi zingechukuliwa mapema.

Mfano tunapoendelea kuchelewa itakuwa si Dar, Zanzibar, arusha, Kilimanjaro na Mwanza. Itakuwa zaidi ya hapo na mahitaji ya kila kitu (chakula, pesa, muda, nk) yatakuwa makubwa zaidi.

Ni ukweli usiopingika kuwa kisebu sebu cha uchumi kimetufikishia huu ugonjwa huu nchini. Kisebu sebu hicho hicho cha uchumi kinasababisha huu ugonjwa huu hatari kusambaa.

Kwa hali ya sasa uchumi ni baadaye uzima kwanza.

Au vipi mkuu?

Sasa Kama tulichelewa kuzuia ugonjwa usiingie nchini... Na Hilo la kuzuia ugonjwa usitoke mkoa mmoja kwenda mwingine nalo tutachelewa...

Cha kufanya kabla ya hiyo lockdown wazuie safari za mkoa mmoja kwenda mwingine kuzuia mwingiiano na kusambaa kwa ugonjwa..
 
BBC na shilawadu hakuna tofauti!mbona hawatangazi kuhusu England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿?

Sent using IPhone X

Mkuu kufananisha BBC na shilawadu itakuwa kutojitendea haki. Labda tungelinganisha TBC na shilawadu.

Mkuu kama reference yako ni kwa hiyo clip ya BBC Swahili service target audience ni nchi za maziwa mkuu ambako kiswahili ni lugha yetu.

BBC wana world service pia local services kwa ajili yao.

Mkuu katika hizo service channels ipi unayoiona shilawadu?
 
Hoja sio kwamba lockdown haifai, bali ni kwamba lockdown ni jambo lisilotekelezeka kwa urahisi kwa nchi maskini ambako watu wake wanategemea kutafuta mlo wa kila siku. Mtu hana akiba hata mia, hana bima ya aina yoyote na hata hajui kesho atakula mini halafu wewe unajaribu kumfungia ndani. Ni ngumu.
Solution ni nini hapo?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja sio kwamba lockdown haifai, bali ni kwamba lockdown ni jambo lisilotekelezeka kwa urahisi kwa nchi maskini ambako watu wake wanategemea kutafuta mlo wa kila siku. Mtu hana akiba hata mia, hana bima ya aina yoyote na hata hajui kesho atakula mini halafu wewe unajaribu kumfungia ndani. Ni ngumu.
Mbinu mbadala ni ipi sasa ?
 
Kitambulisho au namba ya nida itasaidia na wale ambao hawana waandaliwe utaaratibu kupitia ofisi za mitaa yao...

Angalizo:
Kabla ya kuzuia watu kutoka majumbani serikali itoe taarifa mapema mwenye kusafiri asafiri na mwenye kuweka chakula aweke mapema...

Mkuu huko kwa wenzetu walikoanza na karibu wana maliza wametumia utaratibu kama unaopendekeza. Uzuri ni kuwa tunaweza kutumia uzoefu wa wenzetu.
 
Swali wewe uneshajiweka lockdown?.
Mbona swali dogo tu.
Mkuu uliweza kuiona paragraph hii kwenye mada?:

"....... Mengi yameelezwa yakiwamo ufafanuzi wa nini maana ya lockdown na kwa nini ni muhimu katika kupambana na Corona. Imeelezwa pia, kwa nini hakuna kitu kama lockdown ya mtu mmoja mmoja."

Angalia vizuri mkuu vinginevyo yatakuwa tena yale ya kudandia treni kwa mbele.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
kwa mfano ukiambiwa kesho ni lock down..
Una akiba ya kiasi gani ya chakula nyumbani kwako?
Mkuu nchi kama Rwanda si nchi ya magharibi.

Tunazo raslimali za kutosha tunaweza kujisimamia wenyewe kwa chakula kwenye hili gonjwa.

Wasiwasi wetu ni njaa mkuu?

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Inawezekana kama nchi tumekosa watu wenye busara wanaoweza kushauri vizuri kwa mamlaka ya juu,viongozi wa dini nao pia wamekuwa mazezeta,hawawezi kuona hatari zaidi ya kushangilia kuruhusu ibada wakati wanajua fika ni hatari kubwa sana,MAAFA tunajitakia wenyewe kwa ujuha wetu kuruhusu mabasi ya dar na mikoani kuendelea kuja na kutoka dsm mahali ambapo ni kitovu cha ugonjwa.

Ni muhimu kuomba MUNGU,Ila MUNGU alitupa akili ya kufikiria.Tz ilikuwa rahisi sana kuublock huu ugonjwa tungekuwa na viongozi wenye utashi wa kunusa hatari,tulianza kufunga shule wakati hakikuwa chanzo cha ugonjwa,ilitakiwa tuanze kupambana na chanzo,ila tulidhani tuko mbali na kwenye sayari nyingine.
 
Back
Top Bottom