Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

Is United Kingdom a country or is England a country?
England is a country, but so is Wales, and Scotland. Ireland is a divided country, there is Northern Ireland - part of the United Kingdom, and the greater part which is the Republic of Ireland and that is nothing to do with the UK - beyond a very close proximity and friend - It is the UK’s only land border with a foreign country.

Politically: The United Kingdom (of Great Britain and Northern Ireland) is a Union of the four Home Countries (England, Scotland, Wales and Northern Ireland) and is the national entity that stands in the world and United Nations and is known as the UK or GB.
It is an arrangement that is similar to that of the United States of America which is the Union of the 50 States and is the National entity.

Geographically: Great Britain is the larger island that contains England, Wales and Scotland. The British Isles is that above, but includes the separate smaller island to the left which is Ireland and that contains The Republic of Ireland and the Country of Northern Island (A member country of the UK).
The international vehicle registration mark is GB (Not UK) and the internation civil aviation mark is G - .

The national language is English but in Wales it is English and Welsh, Wales is also known as Cymru.
Scotland is - I understand - gaining recognition for Gaelic to be official and is also known as Alba. The same applies to N Ireland, although I am unaware of any alternative name for N Ireland.

Three countries (England, Scotland and N Ireland) are represented on the Union flag because Wales was considered in antiquity to be only a Principality. That gives rise to the fact that Wales has its own flag because it is now a country - within the Union (UK).

It is complicated and the confusion arises for foreigners and some citizens alike, by the fact that the central government is in London (England) although the process of devolution is spreading more of the law making powers to the other countries for self-government (within the Union) One could regard it as a loose parallel to US State law and Federal law.
I’m sure any errors or omissions will be corrected by the community post-haste.

I accept that it is confusing for foreigners. but the best way to avoid any faux pas moves is to refer to the country as the UK and the people as British - although the Irish prefer to be called Irish. Only refer to the population as English etc. if it is known which they are as - with the exception of the English - everyone else takes offence. (No one can take real offence at being called British - except the Irish).

I thought we were rather unique in our national identity crises until I met some natives of the Netherlands who went ballistic at being called Dutch. The assured us that the Dutch only form a part of the Netherlands. Sorry folks, My bad. But I understand the point. I wonder what the response of US citizens would be if we referred to them all as Marylanders as that is what it was* (seeing as that’s where the Federal government appears to be located) - especially if they hailed from California or Hawaii - or indeed Washington!

I’m now sure that there must be others around the world who are upset or insulted by the common perception of them by foreigners, I hope they would take advantage of enlightening us here of their own facts and misconceptions.
………………………………………………………………………………………………..
Note: I have revised my original term of Virginians to Marylanders, having been corrected by a native. We are not alone in wishing to correct erroneous beliefs, I trust we can all learn something from this.
I have also changed the Republic of Eire to the correct Republic of Ireland after being called out by a native.

Beyond that, I have no time for those who will insist on finding fault for political division where I intended no reference to political differences, no matter how you feel. So for that reason I am disabling further comments to prevent you all from starting a war.

C&P
 
Wanabodi

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na

Paskali
Uraia wa mtu siyo lazima uwe Utaifa wa mtu! Propaganda za elimu ya uraia kamwe haziwezi kubadilisha Utaifa wa mtu! Tanganyika ni Taifa na Zanzibar ni Taifa hivyo Utaifa wa Mtanganyika au Mzanzibari hauwezi kufutwa kwa makubaliano baina ya Nyerere na Karume. Kinachoweza kufanyika ni kushirikiana tu.

Elimu inayotakiwa ni kuwaeleza watu kuhusu asili ya Utaifa wao na si kuwaficha ili kubuni Utaifa hewa wa Tanzania. Utanzania ni ushirika na siyo Utaifa.

Wahindi na Waarabu ni raia lakini Utaifa wao uko pale pale, wapo Waoman, Wapakistani Wayemen, Wahindi nk. Uraia unanunulika lakini Utaifa haununuliki.

Kwa hiyo ukweli utabaki kuwa sisi ni Watanganyika na wao ni Wazanzibari. Marehemu Rais Mwinyi na Rais Samia ni Wazanzibari lakini Marehemu Rais Nyerere, Marehemu Rais Mkapa, Rais Kikwete na Marehemu Rais Magufuli ni Watanganyika.

Ujinga ni huo ulionao wewe wa kuwaficha watoto wetu ukweli na kuwajaza propaganda za uwongo. Kamwe hauwezi kufanikiwa!
 
Hicho kizazi Cha kuwapa miungano yenye utata ndio kinaishia hivyo. Nakuhakikishia huu muungano hawezi kufika miaka 20 toka Sasa. Muungano ambao sifa yake kubwa eti ni muungano wa kipekee duniani! Hapo hakuna muungano Bali utapeli wa mchana kweupe.
Ni muungano ''adimu na adhimu' kwa mujibu wa Pascal Mayalla. Maneno hayo hayana definition unatakiwa kuyajua tu. Bado namuuliza mleta mada kuhusu '' Federation ya Tanzania na Zanzibar'' hii imekaaje?

Pili, Tanganyika ilibadili jina kuwa Tanzania bara kwa mujibu wake, na Zanzibar ikawa Tanzania Visiwani lakini kwa uadhimu na uadimu ikabaki Zanzibar! Hapa nani ameelewa?

Umesema miaka 20! sidhani kama miaka 3 ipo! hali ya Muungano ni mbaya sana , wanajifanya hawaoni lakini wajiulize ilikuwaje Senegambia na kwingine.
 
Hoja za uzanzibari hazijawahi kuchekewa. Jumbe, Seif na wa Uamsho walipata misukosuko kwa suala hili.
Pascal anasema hoja za Ubaguzi za Uzanzibar zimeanza hivi karibuni kutoka kwa Upinzani!

By the way, Pascal Mayalla kabla ya kuandika jambo ni busara uka declare interest kwamba wewe ni mwanachama mtiifu wa CCM, Please zingatia
 
Wanabodi

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel Ten TV, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio Jumatano saa 9:30 alasiri.

Hoja ya leo ni hoja za Utanganyika na Uzanzibari ambazo ni hoja muflis zinazosababishwa watu wanaitwa vitimbakwiri kujivunia uraia ambao haupo kutokana na ujinga tuu wa ukosefu wa elimu ya uraia kuhusu uraia wa Tanzania. Kwenye
Karibuni.

Paskali
Itoshe tu kusema kuwa kama pascal alikuja kupima upepo, basi amekutana na kimbunga.
Wanabodi

Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na J
Itoshe tu kusema kuwa ikiwa ndugu Pascal alikuja kupima upepo wa suala la muungano, basi amekutana na kimbunga.

Ujinga ni kuhisi kuwa wewe unajua sana kuliko wengine.

Kwa makala yako hii umejua wajinga ni kina nani.
 
Itoshe tu kusema kuwa kama pascal alikuja kupima upepo, basi amekutana na kimbunga.
Mkuu Pantosha , panatosha...
Itoshe tu kusema kuwa ikiwa ndugu Pascal alikuja kupima upepo wa suala la muungano, basi amekutana na kimbunga.
Pantosha , panatosha
Ujinga ni kuhisi kuwa wewe unajua sana kuliko wengine.
Naunga mkono hoja, mtu kudhani unajua kila kitu kuliko wengine wote, hii inaitwa u much know, sio kitu kizuzuri, ila kama ni kweli kuna vitu unavijua ambavyo wengine hawavijui, it's not bad to share what you have and what you know ili kuwaelimisha wengine nao wajue.
Kwa makala yako hii umejua wajinga ni kina nani.
True true.
P
 
Kwakuwa
Umezungumza kama mwanaccm itakubidi ujibiwe kama mwanaccm mpuuzi kuzingatia ni wakili na mwanasheria

Kuhusu ,elimu ya uraia juu yasheria,haki na wajibu hapa ukosahihi lakini itakugharimu kuonyesha pia mkataba na si makubaliano uliyosema

Mengine yote yaliyobakia, naona unatafuta makundi mbalimbali yakuja kukuzika ukiwa umekufa chamana cjaona.....umeshindwa hata kwenda kumuhoji jaji warioba akwambie kwann alitaka serikali tatu
 
Ni muungano ''adimu na adhimu' kwa mujibu wa Pascal Mayalla. Maneno hayo hayana definition unatakiwa kuyajua tu.
Kumbe nimeandika makala kuhusu Muungano adimu na adhimu bila definition ya adimu na adhimu...!.
Karibu
Wanabodi

Uadimu wa Muungano
Miungano ya nchi zote duniani ni miungano ya aina mbili kuu,

1. Muungano wa Union, ambapo nchi mbili zinaungana na kuunda nchi moja. Zile nchi zote mbili zilizoungana , zote zinakufa na kuunda nchi moja mpya. Hivyo ndivyo ulivyo muungano wetu kimataifa, ni muungano wa Unioni, ile nchi ya Tanganyika imekufa, ile nchi ya Zanzibar imekufa, imezaliwa nchi moja mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye urais mmoja tuu, uraia wa Tanzania. Hakuna tena uraia wa Tanganyika, wala uraia wa Zanzibar, kuna uraia mmoja wa Tanzania. Tanganyika haipo nafasi yake imechukuliwa na Tanzania Bara, na Zanzibar japo ipo, ila sio nchi ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye utawala wake wa ndani, lakini hakuna uraia wa Zanzibar, uraia ni mmoja tuu wa Tanzania.

2. Muungano wa Federation, ni nchi mbili au zaidi, zinaungano kuwa nchi moja, lakini zile nchi zote mbili zinaendelea kuwa utawala wake wa ndani, na serikali zao, chini ya utawala mkuu wan chi ya federal state, kama Marekani. Vivyo hivyo muungano wetu kwa ndani ya muungano ni muungano wa federation yenye nchi mbili, Tanzania na Zanzibar, yenye marais wawili, Rais wa JMT “mwenye R kubwa, na rais wa Zanzibar mwenye r ndogo, zenye serikali mbili, serikali ya JMT na serikali ya SMZ, mabunge mawili, Bunge la JMT na BLW, na zenye mahakama mbili, Mahakama ya JMT na Mahakama ya Zanzibar, ila kwenye uraia, bado ni uraia mmoja tuu wa JMT, ila kwa Zanziar, wana ukaazi, ule ukaazi sio uraia ni utambulisho tuu wa wakaazi wa Zanzibar lakini wote ni Watanzania.

Hivyo muungano wa Tanzania ni muungano adimu pekee duniani ambao kwa upande mmoja ni muungano wa union na upande wa pili ni muungano wa federation, hakuna muungano wa aina hii popote duniani.

Uadhimu wa Muungano.
Muungano wetu licha ya kuwa ni muungano adimu, pia ni muungano adhimu, wenye dhima ya kuungana milele!. Miungano yote duniani unaundwa kwa mikataba ya kisheria ya muungano. Mikataba hiyo inakuwa na kipengele cha jinsi ya kuivunja miungano hiyo. Kwenye zile Articles of Union za Muungano wetu, hakuna kipengele cha jinsi ya kuuvunja, muungano, hivyo zile Hati za Muungano sio mkataba wa muungano, ni makubaliano ya muungano, (not a contract, but an agreement) yenye dhima ya muungano wa milele, na ndio maana tunasema “muungano tutaulinda kwa gharama yoyote”.

Paskali
Bado namuuliza mleta mada kuhusu '' Federation ya Tanzania na Zanzibar'' hii imekaaje?
karibu
Pili, Tanganyika ilibadili jina kuwa Tanzania bara kwa mujibu wake, na Zanzibar ikawa Tanzania Visiwani lakini kwa uadhimu na uadimu ikabaki Zanzibar! Hapa nani ameelewa?
Hiki ndicho ninachokifanya kuwaelimisha watu humu, wakiwemo hawa vitimbakwiri wa humu jukwaani
hali ya Muungano ni mbaya sana , wanajifanya hawaoni lakini wajiulize ilikuwaje Senegambia na kwingine.
Muungano wa Tanzania ni Tanzania, tutaulinda kwa gharama yoyote.
P
 
Naunga mkono hoja, hata vitimbakwiri wa sasa, wamshukuru sana Rais Samia kuruhusu freedom of speech and expression kusema lolote na ukabaki salama, tena Rais Samia, ndie ameruhusu "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza, vinginevyo...

P
Bwana Mayala, nimeandika hivi kufuatia mchangiaji mmoja kudai hoja ya uzanzibari ni ya hivi karibuni. Maoni yangu ni kwamba watu wanaohoji muundo wa muungano ni haki yao kufanya hivyo. Itakikuwa ni kiburi kwa mimi kuwaita vitimbakwiri.
 
Pascal anasema hoja za Ubaguzi za Uzanzibar zimeanza hivi karibuni kutoka kwa Upinzani!
Duh...!.
Wanabodi

Uadimu wa Muungano
Miungano ya nchi zote duniani ni miungano ya aina mbili kuu,

1. Muungano wa Union, ambapo nchi mbili zinaungana na kuunda nchi moja. Zile nchi zote mbili zilizoungana , zote zinakufa na kuunda nchi moja mpya. Hivyo ndivyo ulivyo muungano wetu kimataifa, ni muungano wa Unioni, ile nchi ya Tanganyika imekufa, ile nchi ya Zanzibar imekufa, imezaliwa nchi moja mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye urais mmoja tuu, uraia wa Tanzania. Hakuna tena uraia wa Tanganyika, wala uraia wa Zanzibar, kuna uraia mmoja wa Tanzania. Tanganyika haipo nafasi yake imechukuliwa na Tanzania Bara, na Zanzibar japo ipo, ila sio nchi ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye utawala wake wa ndani, lakini hakuna uraia wa Zanzibar, uraia ni mmoja tuu wa Tanzania.

2. Muungano wa Federation, ni nchi mbili au zaidi, zinaungano kuwa nchi moja, lakini zile nchi zote mbili zinaendelea kuwa utawala wake wa ndani, na serikali zao, chini ya utawala mkuu wan chi ya federal state, kama Marekani. Vivyo hivyo muungano wetu kwa ndani ya muungano ni muungano wa federation yenye nchi mbili, Tanzania na Zanzibar, yenye marais wawili, Rais wa JMT “mwenye R kubwa, na rais wa Zanzibar mwenye r ndogo, zenye serikali mbili, serikali ya JMT na serikali ya SMZ, mabunge mawili, Bunge la JMT na BLW, na zenye mahakama mbili, Mahakama ya JMT na Mahakama ya Zanzibar, ila kwenye uraia, bado ni uraia mmoja tuu wa JMT, ila kwa Zanziar, wana ukaazi, ule ukaazi sio uraia ni utambulisho tuu wa wakaazi wa Zanzibar lakini wote ni Watanzania.

Hivyo muungano wa Tanzania ni muungano adimu pekee duniani ambao kwa upande mmoja ni muungano wa union na upande wa pili ni muungano wa federation, hakuna muungano wa aina hii popote duniani.

Uadhimu wa Muungano.
Muungano wetu licha ya kuwa ni muungano adimu, pia ni muungano adhimu, wenye dhima ya kuungana milele!. Miungano yote duniani unaundwa kwa mikataba ya kisheria ya muungano. Mikataba hiyo inakuwa na kipengele cha jinsi ya kuivunja miungano hiyo. Kwenye zile Articles of Union za Muungano wetu, hakuna kipengele cha jinsi ya kuuvunja, muungano, hivyo zile Hati za Muungano sio mkataba wa muungano, ni makubaliano ya muungano, (not a contract, but an agreement) yenye dhima ya muungano wa milele, na ndio maana tunasema “muungano tutaulinda kwa gharama yoyote”.

Paskali

Wanabodi
.
Wiki ijayo, nitaendelea na kuwaletea hizi chokochoko za kuuchokoa muungano na kuanza kunyoosheasha vidole vya ubaguzi wa “Utanganyika na Uzanzibari” zilianzia wapi, dawa yake ni nini na tiba ya kudumu ya kuitibu sumu hii na kuiangamiza kabisa.

Paskali
By the way, Pascal Mayalla kabla ya kuandika jambo ni busara uka declare interest kwamba wewe ni mwanachama mtiifu wa CCM, Please zingatia
Nimejiunga CCM 1988, hivyo tangu najiunga jf, nimejiunga nikiwa CCM, u CCM wangu has got nothing to do na mawazo yangu na michango yangu humu, tena kuna kipindi niliomba kugombea Kawe, hoja zangu nikaziweka wazi in public
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
P
 
Bwana Mayala, nimeandika hivi kufuatia mchangiaji mmoja kudai hoja ya uzanzibari ni ya hivi karibuni. Maoni yangu ni kwamba watu wanaohoji muundo wa muungano ni haki yao kufanya hivyo. Itakikuwa ni kiburi kwa mimi kuwaita vitimbakwiri.
Vitimbakwiri ni wale viongozi wanao bad mouth huu Muungano wetu adimu na adhimu
P
 
kwan warioba na Lisu wanajua sheria zipi au gani zaidi ya zilizopo tena wazi kabisa hapa Tanzania, ndugu muungwana ?🐒

ama kuna sheria za ziada tofauti na zilizopo kwenye katiba na zinazotumika kwenye sekta na mihimili ya nchi ambazo ni wew, Lisu na warioba pekee ndio mnazijua?🐒

by the way,
who is warioba or lisu? si ni waTanzania kama wengine tu....

what is so special to them, kupigwa risasa au kua waziri Mkuu? 🐒
Uwe unasoma unachoandika kabla ya kupost.
 
Duh...!.

Nimejiunga CCM 1988, hivyo tangu najiunga jf, nimejiunga nikiwa CCM, u CCM wangu has got nothing to do na mawazo yangu na michango yangu humu, tena kuna kipindi niliomba kugombea Kawe, hoja zangu nikaziweka wazi in public
View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
P

No offense but unapokuwa mwanachama wa ccm your thinking is somehow dictated by personal favors you can obtain after defending nonsensical policies and practices by the power that be.
 
Back
Top Bottom