Hoja za Mpina zina mashiko

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
521
984
Mpina anapotaka kutoa hoja zake/michango Bungeni huwa anajipanga sana na anautoa kwa ufasaha na kwa mtiririko ambao hata msilizaji utaupenda. Juzi alipochangia hoja kwenye Wizara ya Viwanda akisema kuwa kama tumesamehe kodi kwenye eneo fulani basi ni budi mwaka unaofuata ukaja na na majibu faida iliopatikana au hasara kutokana na msamaha huo.

Anaongeza tusikurupuke kusamehe samehe kodi tuwe waangalifu kwenye eneo hili. Huyu jamaa huwa anajipanga. Namlinganisha na Prof. Muhongo ambaye pia anajipanga sana kwenye michango yake. Wahe. Wabunge muigeni mfano Mpina. Wengi wenu hamkubaliane naye lakini sisi wananchi tunamkubali sana. One of the best Member of the Tanzanian Parliament. Hon. Mpina congratulations to you.
 
yaani tuige kupima ukubwa samaki kwa rula kweli?, tena samaki walio kaangwa na rost matata sana? :spandauB:
 
Back
Top Bottom