kwa hiyo ilitoka makao makuu ya chadema au,acheni kibri kura zenu hazitoshi kuiangusha serikali bungeni,hata kama mngependa hamuwezi fanikiwa bila msaada wa anagalau cuf,yani kwenye mipango yenu yeyote mtakayoiandaa dhidi ya govt kuomba msaada cuf hakukwepeki kwani peke yenu hamna meno,hamkupewa na wananchi wapiga kura