Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Hukuelewa hoja ya Mkara-tuNimesoma sioni hoja yoyote zaidi ya ujazo wa maneno meengiiii ya upofu na yanayoshindwa kusimamavki madhubuti katika hoja yako. Ushauri hoja hujibiwa kwa hoja...nape katoa hoja kama mtu was kusini na mwana CCM anaeelewa maana ya ilani ya chama chake walioiuza kwa wananchi....