leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,584
- 3,185
Baada ya hapo nchi itapata faida gani?
Tunajua CCM imejengwa kwenye misingi ya unafiki,watu kama Nape ni maadui wa wana CCM wanafiki kama wewe na ndio maana mmeifubaza nchi kwa zaidi ya miaka 50, na kwa jinsi mlivyo vilema wa akili bado hamjajifunza chochote toka ANC ya afrika kusini .