Hoja ya kumfuta Nape Nnauye uanachama CCM

Katika wabunge WA CCM jasiri n Nape,nape haogopi na ajaanza Leo wao CCM wanamjua,kumbuka kipindi cha mawaziri mizigo,bifu lake na Lowasa wakati bado yupo CCM .
 
Hiyo conclusion yako imenifanya nisome mada yako kwa mara ya pili, lakini bado nimeshindwa kukufahamu!
 
Katika wabunge WA CCM jasiri n Nape,nape haogopi na ajaanza Leo wao CCM wanamjua,kumbuka kipindi cha mawaziri mizigo,bifu lake na Lowasa wakati bado yupo CCM .
Ujasiri ni kitu kizuri, Lakini kwa bahati mbaya dunia nzima kwenye siasa Loyalty comes first.
 
CCM hawapendezwi kabisa na kukosolewa

TANGU LINI CCM NA MAGUFULI WAMEGEUKA MALAIKA??

Jamani kila mtu akiikosoa CCM anaandamwa na kuonekana mbaya. Toka lini Magufuli amekuwa malaika hata asikosee? Nape ana haki ya kutoa maoni yake kama mtanzania mwingine yeyote. Hebu CCM waache ushamba, unafiki na too much kujipendekeza kwa JPM.
Bunch of full baked hypocrites!!!!
 
Kumbuka huyu jamaa likafanyika unalolilenga bado hakomoleki kwani waliomweka hapo na wengine wasiokuwa wa upande huo wanafuatilia huo mchezo. Kijana tukienda naye kijinga atatusumbua zaidi ya yule Mzee wa Swideni aliyezawadiwa juzi ubalozi
 
Mkuu, Mimi sioni kosa la Mh. Nape katika hoja aliyoitoa bungeni kuhusiana na uchumi wa gas katika mikoa ya kusini na kama ilivyotafsriwa vizuri katika ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015.

Nchi kugundua hazina kubwa ya gas kama ilivyotokea hapa kwetu Tanzania ni baraka kubwa na ni utajiri mkubwa kwa nchi sawa na ugunduzi wa mafuta. Kwani gas ni nishati inayoweza kuzalisha vitu vingi mfano plastics, mbolea, LPG, na inaweza pia kutumika kama nishati kwa kuendeshea magari, mitambo, uzalishaji wa umeme, nk.

Inashangaza kuona viongozi wetu badala ya kujikita katika kutumia hii neema na baraka tuliyoigundua tunapelekwa katika miradi mingine mipya kama stiglers gorge ambayo kwa hakika ni cost intensive na pia siyo viable in long term kwani ni ya kutegemea mvua.

Nadhani viongozi wetu bado wana nafasi ya kuendelea kulitafakari suala hili kwa makini zaidi kwa maslahi mapana ya nchi yetu na vizazi vijavyo.
 
Hebu acheni tukosoane bwana hivi nyinyi ni watu wa aina gani hamtaki kukosolewa?
 
CCM hawapendezwi kabisa na kukosolewa

Thats right, hawapendi kukosolewa.

Na sio kwamba hakuna hoja za kistaarabu za kumjibu Nape.

To start with, Kinyerezi 2 aliyozindua Rais wiki iliyopita ni mradi wa gesi. Na pia Nape hakutaja bungeni ni kitu gani measurable ama kilichowekewa benchmarks ama timeframes za utekelezaji ambazo labda muda umepita havijaja au havijakamilika katika mradi wa gesi. Ambacho kiliahidiwa.

C.C.M. wangeanza na hoja kama hizo badala yake wanategemea ajibiwe na pigheaded Lusinde Kibajaji na siasa zake za moto wa kuchomelea vyuma.
 
Kwani kukosoa ni kosa? Unless useme anazusha mambo ya uongo katika ukosoaji wake
 
Mkuu, Mimi sioni kosa la Mh. Nape katika hoja aliyoitoa bungeni kuhusiana na uchumi wa gas katika mikoa ya kusini na kama ilivyotafsriwa vizuri katika ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015.

Nchi kugundua hazina kubwa ya gas kama ilivyotokea hapa kwetu Tanzania ni baraka kubwa na ni utajiri mkubwa kwa nchi sawa na ugunduzi wa mafuta. Kwani gas ni nishati inayoweza kuzalisha vitu vingi mfano plastics, mbolea, LPG, na inaweza pia kutumika kama nishati kwa kuendeshea magari, mitambo, uzalishaji wa umeme, nk.

Inashangaza kuona viongozi wetu badala ya kujikita katika kutumia hii neema na baraka tuliyoigundua tunapelekwa katika miradi mingine mipya kama stiglers gorge ambayo kwa hakika ni cost intensive na pia siyo viable in long term kwani ni ya kutegemea mvua.

Nadhani viongozi wetu bado wana nafasi ya kuendelea kulitafakari suala hili kwa makini zaidi kwa maslahi mapana ya nchi yetu na vizazi vijavyo.
Kwanza serikali ilituamisha gesi ndio utajiri mkubwa tulioupata.
Sasa leo sio tena yaani inaoneka inafanya kazi kwa uvivu kwani mtu mvivu huwa hamalizagi kazi ashika anaacha anashika kingine aacha mwisho hakuna hata moja atakayo imaliza.
Nope yuko sahihi asimamishwe uanachama ndo utajua umuhimu wa wake anao mtaji mkubwa tu ndani ya chama na nje ya chama
 
Thats right, hawapendi kukosolewa.

Na sio kwamba hakuna hoja za kistaarabu za kumjibu Nape.

To start with, Kinyerezi 2 aliyozindua Rais wiki iliyopita ni mradi wa gesi. Na pia Nape hakutaja bungeni ni kitu gani measurable ama kilichowekewa benchmarks ama timeframes za utekelezaji ambazo labda muda umepita havijaja au havijakamilika katika mradi wa gesi. Ambacho kiliahidiwa.

C.C.M. wangeanza na hoja kama hizo badala yake wanategemea ajibiwe na pigheaded Lusinde Kibajaji na siasa zake za moto wa kuchomelea vyuma.
Mku mtu kama Kibaji ukimsikiliza ni dhambi kwani ole wao wakao wenye mizaha
 
Afrika mtu anapokua Rais anajiona kwamba ana akili nyingi kuzidi anao waongoza
 
CCM wanapenda siku zote wasifiwe hata kama wanafanya mambo ya ajabu ambayo hata kichaa hawezi kuyafanya.
 
Back
Top Bottom