Hoja ya Gwajima nchi kukosa maono kwa sababu ya kila Rais kuja na lake ni uongo mkubwa

Nichangie kidogo kuhusu mfumo tulionao. Endapo tuna mfumo wa kisiasa na kiutawala kwenye vitabu lakini hatuutumii kwa uaminifu, ni vigumu kujua mapungufu yake.

Mifano ya hujuma za makusudi ipo mingi sana. Tukianza na mfumo wa kisiasa. Sote tunjua abuses zilizowahi kutokea tangu tupate uhuru. Mwl. Nyerere ali-abuse mfumo uliokuwepo mpaka akaiweka nchi kiganjani. Alitumia upenyo wa uelewa finyu wa wananchi kuteka nyara mamlaka yote ya kisiasa na kiutawala mpaka akajiona Mungu mtu.

Baada ya kuanzishwa vyama vingi, watawala walitumia mfumo huu huu kuunda vikundi feki ili vijiite vyama vya upinzani kama geresha. Lengo letu tuonekane tuna demokrasia na tuna vyama lakini kumbe mioyo yetu tunajiambia kuwa tunataka chama kimoja.

Chaguzi zinazofanyika pia zinafanywa kama geresha tu, ionekane tumechaguana. Lakini vyote vinafanyika kwa hadaa tu. Tunapoona kuna mtu au chama kingine kinataka kupata ushindi, tunaingiwa na hofu, kiasi cha kuingiza wanajeshi mtaani wakaendeshe mauaji na kuiba kura.

Kwa ufupi tu, kizazi cha viongozi wengi wa Afrika, yabidi kipinduliwe kwa nguvu na wengine wauliwe (assassinated) ili kutoa mwanya wa kuanzisha mifumo mipya au kuimarisha utii kwa mifumo iliyopo. Tusijidanganye kuwa tukibadili mifumo tu inatosha. Tubadili pia utii kwenye mifumo iliyopo.

Mtu asiyetii mifumo, na kwa bahati mbaya ana mamlaka juu ya vyombo vya kisheria na kijeshi, iwe ni halali kuuliwa na raia wazalendo kupisha wenye nia ya dhati ya kutii mifumo iliyopo.
 
Ni vyema Askofu Gwajima na wote walioguswa na hoja yake leo bungeni kupitia mchango wake kwamba tatizo kubwa letu nchi za Africa ni ukosefu wa dira na mipango ya muda mrefuuu wafahamu hili ambalo Gwajima amekuwa akirudia kulisema sio ukweli bali ni uongo mkubwa, na ni Professorial Rubbish.

Hizo nchi Gwajima anazoona zimeendelea sana hazikuendelea kwa sababu ya kuweka mipango ya miaka 5,10, 20 au 50. Tukichukua mfano wa US, hawa hana hata mpango wa miaka 5 kama sisi. Wao nchi yao ina muendelezo kwa sababu maamuzi makubwa yanaamuliwa katika ngazi za mabunge ya Taifa na majimbo, mahakama na taasisi nyingine nyingine nyingi. Rais anakuwa na nafasi finyu sana ya kufanya maamuzi makubwa kama haunguwi mkono na hivyo vyombo.

Nikirejea maneno ya Aliyekuwa Rais wa Marekani Baraka Obama alipozuru Ghana mwaka 2009 alisema "Africa haihitaji viongozi majabari bali inahitaji Taasisi imara"

Tatizo kubwa la Africa ni Taasisi za nchi kuwa dhaifu.Ukiondoa Africa Kusini na nchi nyingine kwa chache ,kwingine kote Africa Marais wana nguvu na mamlaka kubwa sana ya kuweza kuamua uelekeo wowote nchi zao.
Hili ni tatizo kubwa kwa sababu ukosefu huu wa "checks and balances" unasababisha wengi wao kuyatumia madaraka yao vibaya na kulazimisha ndoto na maono yao badala ya wananchi walio wengi kupitia vyombo vyao vya uwakilishi na taasisi.

Pia mfumo huu hauchochei uvumbuzi na ubunifu kwa sababu washauri wote na viongozi wa chini wanatenda na kumuambia kiongozi mkuu kile ambacho angependa kusikia badala ya kile ambacho anagepaswa kusikia na hapo ndipo tunapokwama.

Hata tuwe na dira na mipango mirefuuuu ya maendeleo ya miaka 100 au 200 ijayo maendeleo nchini hapa na Africa kwa ujumla hayatakuja kwa kasi kama mfumo wetu wa utawala utabaki wa kuongozwa na viongozi jabiri zaidi kuliko taasisi imara zenye kuchekiana.

#Gwajima Apuuzwe.
Nchi hii ipo kama ilivyo Leo kwa sababu ya mapunguani kama wewe. Rubbish.
 
Hakuna mahali nimezungumzia federalism kama nguzu muhimu ya maendeleo. Uzi wangu umejikita katika uimara wa TAASISI.
India bado imekuwa na changamoto ya "kuabudu" viongozi, taasisi zake sio thabiti na huru sana kwani zinaathiriwa na siasa za vyama kitaifa na ngazi ya majimbo ambavyo vimehodhiwa na familia au castes fulani.

Mexico ukiondoa tatizo la dawa za kulevya ni nchi nzuri yenye uchumi mkubwa na imepiga maendeleo kuzizidi nchi nyingi kama sio zote barani Africa.

Dictatorship ya China sio ya mtu mmoja ni ya kitaasisi, ya Chama cha Kikomunisti(CCP). Maamuzi mengi yaliyofanyika ya kuufungua uchumi wa China na kufanya mageuzi makubwa mwaka 1980 yalikuwa na msukumo wa kichama. Chama cha Kikomunisti cha China huwa kinaweka tu miongozo ya ujumla katika ngazi ya kitaifa halafu kinaachia maamuzi ya mipango mingine mahususi katika ngazi za wilaya hadi vijiji/mitaa. Miaka ya Karibuni ya Xi ndio kumeibuka cult of personality ya kiongozi mkuu.

Nchi iliyoendelea from the "Scratch" ikiwa na mfumo wa demokrasia ni USA.
USA tangu imepata uhuru wake mpaka leo imekuwa ni taifa la kidemokrasia.
Wewe kweli kichwa panzi! Kasome vizuri historia ya Marekani! Hata hivyo Marekani haina demokrasia kama yetu!
 
Onyesha mashiko ya hiyo hoja, leta mfano wa nchi moja inayobadilisha marais wake au vyama mara kwa mara inayofanya hicho anachosema Gwajima.
Yaan akili yako kizibo, inamjibu Gwajima, akili kubwa !!

Hoja ya Gwajima Ina mashiko 100%.
 
Kwenye maisha usipende kuchukulia au kufuatisha mifano ya "outliers"
S

Singapore wameongozwa na chama kimoja toka uhuru ila wako mbali. Tati ni watu wetu, tatizo ni sisi.
 
Ni vyema Askofu Gwajima na wote walioguswa na hoja yake leo bungeni kupitia mchango wake kwamba tatizo kubwa letu nchi za Africa ni ukosefu wa dira na mipango ya muda mrefuuu wafahamu hili ambalo Gwajima amekuwa akirudia kulisema sio ukweli bali ni uongo mkubwa, na ni Professorial Rubbish.

Hizo nchi Gwajima anazoona zimeendelea sana hazikuendelea kwa sababu ya kuweka mipango ya miaka 5,10, 20 au 50. Tukichukua mfano wa US, hawa hana hata mpango wa miaka 5 kama sisi. Wao nchi yao ina muendelezo kwa sababu maamuzi makubwa yanaamuliwa katika ngazi za mabunge ya Taifa na majimbo, mahakama na taasisi nyingine nyingine nyingi. Rais anakuwa na nafasi finyu sana ya kufanya maamuzi makubwa kama haunguwi mkono na hivyo vyombo.

Nikirejea maneno ya Aliyekuwa Rais wa Marekani Baraka Obama alipozuru Ghana mwaka 2009 alisema "Africa haihitaji viongozi majabari bali inahitaji Taasisi imara"

Tatizo kubwa la Africa ni Taasisi za nchi kuwa dhaifu.Ukiondoa Africa Kusini na nchi nyingine kwa chache ,kwingine kote Africa Marais wana nguvu na mamlaka kubwa sana ya kuweza kuamua uelekeo wowote nchi zao.
Hili ni tatizo kubwa kwa sababu ukosefu huu wa "checks and balances" unasababisha wengi wao kuyatumia madaraka yao vibaya na kulazimisha ndoto na maono yao badala ya wananchi walio wengi kupitia vyombo vyao vya uwakilishi na taasisi.

Pia mfumo huu hauchochei uvumbuzi na ubunifu kwa sababu washauri wote na viongozi wa chini wanatenda na kumuambia kiongozi mkuu kile ambacho angependa kusikia badala ya kile ambacho anagepaswa kusikia na hapo ndipo tunapokwama.

Hata tuwe na dira na mipango mirefuuuu ya maendeleo ya miaka 100 au 200 ijayo maendeleo nchini hapa na Africa kwa ujumla hayatakuja kwa kasi kama mfumo wetu wa utawala utabaki wa kuongozwa na viongozi jabiri zaidi kuliko taasisi imara zenye kuchekiana.

#Gwajima Apuuzwe.
Kwenye hili wa kupuuzwa ni wewe. Gwajima yupo sahihi.. Ebu angalia kipaumbele cha
1. Nyerere kilikuwa ujamaa
2. Mwinyi ilikuwa lila kitu ruksa
3. Mkapa ilikuwa ubinafsishaji
etc
 
Sio kulinganisha weusi walipo kwingine duniani na hapa kwetu Africa. Weusi waliopo Haiti na sehemu nyingine nje ya Africa walipelekwa huko huko kama watumwa na wanapambana na changamoto nyingi zaidi ya zile tulizo nazo hapa.

Africa tunaweza kuwa na matatizo mengi ila ila la kupanga mipango ya muda mrefu sio mojawapo. Hicho ni kijembe na manung'uniko ya Gwajima kwa watawala asiowakubali na ambao hapendezwi na mtindo wao wa kuongoza nchi.
Hoja zako ni nzuri sana na umeelezea vizuri, lakini pia hoja za Gwajima sio za kupuuza ata kidogo yupo sahihi pia maana swali alilojiuliza kuhusu waafrika na wenye asili ya Africa maendeleo yetu kusuasua na mm nilishajiuliza pia, kwangu mimi nahisi kuondoa mifumo sijui maono binafsi nahisi kuna tatizo la msingi kubwa zaidi kwetu weusi, probably uwezi wetu wa kufikiri sio sawa jumlisha ubinafsi maanza haiwezekani kila sehemu dunia hii penye majority ya watu weusi kuna umasikini compared na weupe
 
Ni vyema Askofu Gwajima na wote walioguswa na hoja yake leo bungeni kupitia mchango wake kwamba tatizo kubwa letu nchi za Africa ni ukosefu wa dira na mipango ya muda mrefuuu wafahamu hili ambalo Gwajima amekuwa akirudia kulisema sio ukweli bali ni uongo mkubwa, na ni Professorial Rubbish.

Hizo nchi Gwajima anazoona zimeendelea sana hazikuendelea kwa sababu ya kuweka mipango ya miaka 5,10, 20 au 50. Tukichukua mfano wa US, hawa hana hata mpango wa miaka 5 kama sisi. Wao nchi yao ina muendelezo kwa sababu maamuzi makubwa yanaamuliwa katika ngazi za mabunge ya Taifa na majimbo, mahakama na taasisi nyingine nyingine nyingi. Rais anakuwa na nafasi finyu sana ya kufanya maamuzi makubwa kama haunguwi mkono na hivyo vyombo.

Nikirejea maneno ya Aliyekuwa Rais wa Marekani Baraka Obama alipozuru Ghana mwaka 2009 alisema "Africa haihitaji viongozi majabari bali inahitaji Taasisi imara"

Tatizo kubwa la Africa ni Taasisi za nchi kuwa dhaifu.Ukiondoa Africa Kusini na nchi nyingine kwa chache ,kwingine kote Africa Marais wana nguvu na mamlaka kubwa sana ya kuweza kuamua uelekeo wowote nchi zao.
Hili ni tatizo kubwa kwa sababu ukosefu huu wa "checks and balances" unasababisha wengi wao kuyatumia madaraka yao vibaya na kulazimisha ndoto na maono yao badala ya wananchi walio wengi kupitia vyombo vyao vya uwakilishi na taasisi.

Pia mfumo huu hauchochei uvumbuzi na ubunifu kwa sababu washauri wote na viongozi wa chini wanatenda na kumuambia kiongozi mkuu kile ambacho angependa kusikia badala ya kile ambacho anagepaswa kusikia na hapo ndipo tunapokwama.

Hata tuwe na dira na mipango mirefuuuu ya maendeleo ya miaka 100 au 200 ijayo maendeleo nchini hapa na Africa kwa ujumla hayatakuja kwa kasi kama mfumo wetu wa utawala utabaki wa kuongozwa na viongozi jabiri zaidi kuliko taasisi imara zenye kuchekiana.

#Gwajima Apuuzwe.
Askofu anapokubali kuchukua Ubunge wa wizi anabaki kuwa Mwizi wa kawaida tu.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Nyerere aliamua nchi iingie katika Ujamaa kama mtu mmoja, hayakuwa maamuzi yaliyotokana wabunge au ushauri wa kitaalamu, pia tulirudi kwenye ubepari bila bunge kuwa kuwa na usemi mkubwa. Ilifanyika hivyo pia katika kuvifuta vyama vingi na kuvirejesha baadaye. Huo ndio udhaifu wa kitaasisi,mifumo na mihimili ninaouzungumzia.

Ruksa na ubinafsishaji zote ni sera za soko huria. Hazina shida ila zilitekelezwa vibaya nchini kwa sababu ya udhaifu wa taasisi kama bunge, wizara ya uchumi , BoT n.k
Kwenye hili wa kupuuzwa ni wewe. Gwajima yupo sahihi.. Ebu angalia kipaumbele cha
1. Nyerere kilikuwa ujamaa
2. Mwinyi ilikuwa lila kitu ruksa
3. Mkapa ilikuwa ubinafsishaji
etc
 
Mifumo inakuwa abused kwa sababu ni dhaifu, taasisi zinazopaswa kuisimamia ni dhaifu, na pia kuna ukosefu "checks and balances".

Gwajima na wenzake mara zote bungeni huwa wanaanza kujenga hoja zao kwa kumshukuru Mh. Rais na serikali yake. Maspika wa bunge wanafanya kazi kubwa kusawazisha hoja za wabunge, kuipa serikali unafuu, kutoa signal wabunge wachangie kwa muelekeo wapi n.k wakati wanatakiwa kufanya moderation ya mjadala na kusimamia kanuni za bunge tu. Ni vigumu kuisimamia na kuiwajibisha serikali kwa mtindo huo.
Nichangie kidogo kuhusu mfumo tulionao. Endapo tuna mfumo wa kisiasa na kiutawala kwenye vitabu lakini hatuutumii kwa uaminifu, ni vigumu kujua mapungufu yake.

Mifano ya hujuma za makusudi ipo mingi sana. Tukianza na mfumo wa kisiasa. Sote tunjua abuses zilizowahi kutokea tangu tupate uhuru. Mwl. Nyerere ali-abuse mfumo uliokuwepo mpaka akaiweka nchi kiganjani. Alitumia upenyo wa uelewa finyu wa wananchi kuteka nyara mamlaka yote ya kisiasa na kiutawala mpaka akajiona Mungu mtu.

Baada ya kuanzishwa vyama vingi, watawala walitumia mfumo huu huu kuunda vikundi feki ili vijiite vyama vya upinzani kama geresha. Lengo letu tuonekane tuna demokrasia na tuna vyama lakini kumbe mioyo yetu tunajiambia kuwa tunataka chama kimoja.

Chaguzi zinazofanyika pia zinafanywa kama geresha tu, ionekane tumechaguana. Lakini vyote vinafanyika kwa hadaa tu. Tunapoona kuna mtu au chama kingine kinataka kupata ushindi, tunaingiwa na hofu, kiasi cha kuingiza wanajeshi mtaani wakaendeshe mauaji na kuiba kura.

Kwa ufupi tu, kizazi cha viongozi wengi wa Afrika, yabidi kipinduliwe kwa nguvu na wengine wauliwe (assassinated) ili kutoa mwanya wa kuanzisha mifumo mipya au kuimarisha utii kwa mifumo iliyopo. Tusijidanganye kuwa tukibadili mifumo tu inatosha. Tubadili pia utii kwenye mifumo iliyopo.

Mtu asiyetii mifumo, na kwa bahati mbaya ana mamlaka juu ya vyombo vya kisheria na kijeshi, iwe ni halali kuuliwa na raia wazalendo kupisha wenye nia ya dhati ya kutii mifumo iliyopo.
 
Huu mfumo siyo mbaya ila watu ndio hawajui kuutumia, shida ya Afrika siyo mfumo kwani Nigeria wana huo mfumo wa USA ulioungelea copy& paste lkn ndo masikini wa kutupwa, hao Magavana wa States ndo corrupt kuliko hata hapa Bongo, huu mfumo wetu umetumika kwingine na umewasaidia mfano Singapore wana mfumo kama wetu hata Ufaransa wana powerful president, huu mfumo ulitumiwa na nchi ya Uingereza na uliwasaidia pia, na ndio waliouleta hapa, Mauritius ilitawaliwa na Uingereza pia lkn wametuzidi mbali sana.
Japan pia wana mfumo karibia sawa na wa kwetu na umewaendeleza.

Shida ni watu wenyewe na utamaduni wetu na siyo aina ya mfumo, maendeleo ni utamaduni wa watu, mtakopi mifumo yote lkn hakuna kitakachobadilila …
Sasa mkuu ukisema nigeria ni maskini wa kutupa, je sisis Tanzania tutajiiteje kumbuka Nigeria ndo nchi kubwa kiuchumi Africa per GDP... Kiufupi unapotaja mataifa makubwa matano kiuchumi Africa na ma endelea huwezi iacha Nigeria....
 
Ni vyema Askofu Gwajima na wote walioguswa na hoja yake leo bungeni kupitia mchango wake kwamba tatizo kubwa letu nchi za Africa ni ukosefu wa dira na mipango ya muda mrefuuu wafahamu hili ambalo Gwajima amekuwa akirudia kulisema sio ukweli bali ni uongo mkubwa, na ni Professorial Rubbish.

Hizo nchi Gwajima anazoona zimeendelea sana hazikuendelea kwa sababu ya kuweka mipango ya miaka 5,10, 20 au 50. Tukichukua mfano wa US, hawa hana hata mpango wa miaka 5 kama sisi. Wao nchi yao ina muendelezo kwa sababu maamuzi makubwa yanaamuliwa katika ngazi za mabunge ya Taifa na majimbo, mahakama na taasisi nyingine nyingine nyingi. Rais anakuwa na nafasi finyu sana ya kufanya maamuzi makubwa kama haunguwi mkono na hivyo vyombo.

Nikirejea maneno ya Aliyekuwa Rais wa Marekani Baraka Obama alipozuru Ghana mwaka 2009 alisema "Africa haihitaji viongozi majabari bali inahitaji Taasisi imara"

Tatizo kubwa la Africa ni Taasisi za nchi kuwa dhaifu.Ukiondoa Africa Kusini na nchi nyingine kwa chache ,kwingine kote Africa Marais wana nguvu na mamlaka kubwa sana ya kuweza kuamua uelekeo wowote nchi zao.
Hili ni tatizo kubwa kwa sababu ukosefu huu wa "checks and balances" unasababisha wengi wao kuyatumia madaraka yao vibaya na kulazimisha ndoto na maono yao badala ya wananchi walio wengi kupitia vyombo vyao vya uwakilishi na taasisi.

Pia mfumo huu hauchochei uvumbuzi na ubunifu kwa sababu washauri wote na viongozi wa chini wanatenda na kumuambia kiongozi mkuu kile ambacho angependa kusikia badala ya kile ambacho anagepaswa kusikia na hapo ndipo tunapokwama.

Hata tuwe na dira na mipango mirefuuuu ya maendeleo ya miaka 100 au 200 ijayo maendeleo nchini hapa na Africa kwa ujumla hayatakuja kwa kasi kama mfumo wetu wa utawala utabaki wa kuongozwa na viongozi jabiri zaidi kuliko taasisi imara zenye kuchekiana.

#Gwajima Apuuzwe.
Swala ni watu wanaoshika madaraka unaweka ukawa na taasisi imara bado kusiwe na maendeleo, hizo taasisi zinashikiliwa na watu pia.... China ni nchi ambayo raisi anamamlaka makubwa Sana lakini ona walipo, nenda urusi na mataifa kibao lakini mbona yamepiga hatua
 
Nadhani usahihi wa jambo hili ni kuwa combination ya hoja ya Ngwajima na ulichokieleza wewe ndio solution kwani unapokuwa na mipango ya kitaifa ya muda mrefu ambayo utekelezaji wake unaratibiwa ,kunalindwa na kusimamiwa na taasisi imara hapo ndipo unapopata matokeo chanya regardless ya nani yuko juu kama kiongozi wa nchi.
Ni vyema Askofu Gwajima na wote walioguswa na hoja yake leo bungeni kupitia mchango wake kwamba tatizo kubwa letu nchi za Africa ni ukosefu wa dira na mipango ya muda mrefuuu wafahamu hili ambalo Gwajima amekuwa akirudia kulisema sio ukweli bali ni uongo mkubwa, na ni Professorial Rubbish.

Hizo nchi Gwajima anazoona zimeendelea sana hazikuendelea kwa sababu ya kuweka mipango ya miaka 5,10, 20 au 50. Tukichukua mfano wa US, hawa hana hata mpango wa miaka 5 kama sisi. Wao nchi yao ina muendelezo kwa sababu maamuzi makubwa yanaamuliwa katika ngazi za mabunge ya Taifa na majimbo, mahakama na taasisi nyingine nyingine nyingi. Rais anakuwa na nafasi finyu sana ya kufanya maamuzi makubwa kama haunguwi mkono na hivyo vyombo.

Nikirejea maneno ya Aliyekuwa Rais wa Marekani Baraka Obama alipozuru Ghana mwaka 2009 alisema "Africa haihitaji viongozi majabari bali inahitaji Taasisi imara"

Tatizo kubwa la Africa ni Taasisi za nchi kuwa dhaifu.Ukiondoa Africa Kusini na nchi nyingine kwa chache ,kwingine kote Africa Marais wana nguvu na mamlaka kubwa sana ya kuweza kuamua uelekeo wowote nchi zao.
Hili ni tatizo kubwa kwa sababu ukosefu huu wa "checks and balances" unasababisha wengi wao kuyatumia madaraka yao vibaya na kulazimisha ndoto na maono yao badala ya wananchi walio wengi kupitia vyombo vyao vya uwakilishi na taasisi.

Pia mfumo huu hauchochei uvumbuzi na ubunifu kwa sababu washauri wote na viongozi wa chini wanatenda na kumuambia kiongozi mkuu kile ambacho angependa kusikia badala ya kile ambacho anagepaswa kusikia na hapo ndipo tunapokwama.

Hata tuwe na dira na mipango mirefuuuu ya maendeleo ya miaka 100 au 200 ijayo maendeleo nchini hapa na Africa kwa ujumla hayatakuja kwa kasi kama mfumo wetu wa utawala utabaki wa kuongozwa na viongozi jabiri zaidi kuliko taasisi imara zenye kuchekiana.

#Gwajima Apuuzwe.
 
Maamuzi makubwa na mipango ya China huwa inafanywa kichama. Ni nadra Rais wa China kufanya miradi na mipango bila kupata ridhaa ya chama cha CCP na ushauri wa wataalamu nguli.
Swala ni watu wanaoshika madaraka unaweka ukawa na taasisi imara bado kusiwe na maendeleo, hizo taasisi zinashikiliwa na watu pia.... China ni nchi ambayo raisi anamamlaka makubwa Sana lakini ona walipo, nenda urusi na mataifa kibao lakini mbona yamepiga hatua
 
Nyerere aliamua nchi iingie katika Ujamaa kama mtu mmoja, hayakuwa maamuzi yaliyotokana wabunge au ushauri wa kitaalamu, pia tulirudi kwenye ubepari bila bunge kuwa kuwa na usemi mkubwa. Ilifanyika hivyo pia katika kuvifuta vyama vingi na kuvirejesha baadaye. Huo ndio udhaifu wa kitaasisi,mifumo na mihimili ninaouzungumzia.

Ruksa na ubinafsishaji zote ni sera za soko huria. Hazina shida ila zilitekelezwa vibaya nchini kwa sababu ya udhaifu wa taasisi kama bunge, wizara ya uchumi , BoT n.k
Kwa haya maelezo, huona kuwa unakubaliana na hoja ya Gwajima?
 
Kama hautaki Nigeria nakupa India, Mexico zote hizo ni federalism kama USA lkn bado ni masikini.

Nipe mfano mmoja wa nchi ambayo imejengwa from scratch na demokrasia hii ya leo na ikawa tajiri, isitoshe labda nikuulize kwa nini China imeendelea kuliko India wakati wana Population karibia sawa? India democracy vs China one party dictatorship?
Akili, sio udikteta...maana naweza kukutajia nchi kibao zimeongozwa kidikteta na ni masikini wakubwa
 
Kwenye hili wa kupuuzwa ni wewe. Gwajima yupo sahihi.. Ebu angalia kipaumbele cha
1. Nyerere kilikuwa ujamaa
2. Mwinyi ilikuwa lila kitu ruksa
3. Mkapa ilikuwa ubinafsishaji
etc
Nyerere ndio aliharibu uchumi wa hii nchi na Sera zake za kijinga zilizojengea watu culture ya uvivu na kufanyiwa kila kitu na serikali, kuua sekta binafsi na Vita yake na Idd Amini
 
Tatizo la siasa za mitandao ni kundi fulani kulewa mno madaraka halafu wakajiona kama vile hakutatokea siku moja wakaparaganyika. Wanaanza kufanya mambo ya kijinga wakijua watadumu mpaka kifo kiwakute kumbe ndio wanajiongopea mchana kweupe.

Askofu Gwajima ni wa lile kundi maarufu la hayati JPM, ni kama vile kaambiwa aongee neno fulani baada ya Mpina kushushuliwa na Musukuma siku chache zilizopita.

Ni kama wanasema bado wapo hivyo wanataka kuonyesha uwepo wao kama wafuasi wa JPM na sera zake. Lakini JK akiwa kiongozi wa kundi la SSH ni bingwa wa mikakati ya kisiasa.
Lakini jk kiongozi wa kundi la ssh ni bingwa wa mikakati ya kisiasa*
1.jk ni kiongozi wa ssh
2.amefanikisha mkakati upi wa kisiasa?
3
 
Back
Top Bottom