Hoja Saba za Zitto Zuberi Kabwe kwa yanayoendelea nchini

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
3,784
2,000
Kupitia ukurasa wake wa Twitter anaandika Zitto.

1.Rais na Serikali yake wanajua wazi kuwa Mbowe Si gaidi,na hilo watanzania wote wanalifahamu kuendelea kumshikilia kwa mashtaka ya kubumba kunaenda kufuta matumaini ya dunia kwa Raisi Samia kuwa Tanzania ilianza kurudi ktk misingi ya Demokrasia na Utawala wa haki"

2. "Kitendo cha Raisi Samia kurithi serikali kandamizi kutoka kwa mtangulizi wake, ni wazi tusitegemee mabadiliko yoyote chanya.Watu walewale waliosababisha maumivu makali kwa Watanzania kwa miaka sita ya hayati, bado ndio wanaokalia ofisi za umma.Inasikitisha sana"

3. "Ni jambo la kuskitsha sana pale jamii inapokubali UONEVU kuwa tabia na mtindo wa kawaida wa maisha. Tungekuwa na jamii inayojitambua, uporaji wa fedha za Wananch unaofanywa na serkal kupitia tozo za miamala usingedumu hata kwa nusu saa.Ndio maana wapigania hak weng wamekata tamaa"

4."Siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi(persuasive politics). Ugumu tunaoupata TZ ni namna ya kufanya siasa bila KUHASIMIANA au KUGAWA watu. CHUKI CHUKI CHUKI. Mwenye mawazo tofauti sio ADUI. Anawaza tofauti na wewe tu. HATUKUI? HATUTAFAKARI?"

5. "Ni kama Cinema ya vichekesho kwamba watu walewale waliopinga Chanjo kwa nguvu zote pamoja na uwepo wa Corona, eti miezi michache baada ya Magufuli kufariki sasa wako mstari wa mbele kuhamasisha chanjo.Kimsingi watu hawa hawana uhalali huo hata kidogo.

6. "Kama taifa lingekuwa na watu wanaojitambua, wale wote waliokuwa wanapingana na njia za kisayansi ktk kupambana na Corona walipaswa kukaa pemben(kujiuzulu)baada ya Rais Mpya kuja na mwelekeo mpya.Wananchi wana hak ya msing kuwa na mashaka juu ya chanjo kutokama na iman mliowajaza.

7.Kama taifa lingekuwa na watu wanaojitambua, wale wote waliokuwa wanapingana na njia za kisayansi ktk kupambana na Corona walipaswa kukaa
pemben(kujiuzulu)baada ya Rais Mpya kuja na mwelekeo mpya.Wananchi wana hak ya msing kuwa na mashaka juu ya chanjo kutokama na iman mliowajaza.

NB: Kuhusu ugaidi wa mbowe tuachie mahakama itende haki , kama ikibainika ni gaidi kweli basi Sheria ichukue mkondo wake.
Watanzania acheni kudharau Vyombo vyetu ambavyo vipo kwa mujibu wa sheria na majukumu yake yapo kisheria.
Mahakama ndio chombo pekee chenye jukumu la kutoa haki ya mtuhumiwa sio sisi wananchi.
sasa kwa nn tuna toa hukumu kuwa Mbowe sio Gaidi wakati bado hata kesi yake haijasikilozwa?!
je huku ndio kuheshimu utawala wa sheria kweli?! au ni dharau?!
Mahakama ndio chombo pekee kwa sasa kitakacho amua kama Mbowe na wenzake ni Magaidi au sio.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
17,274

Kwani Stroke na Magonjwa mtambuka wamejibu nini?
 
Unaumwa wewe
 
Id za kulipwa hizi😅😅
 
Kifoi

JF-Expert Member
May 12, 2007
1,212
2,000
Kama kweli Zito ameandika haya, basi elimu yake haijamsaidia kitu. Raisi anawezaje kuzuia vyombo vya usalama na mahakama visifanye kazi yake!
toka lini vyombo vya usalama vikafanya kazi yake bilayakuangaliya maslahi ya CCM.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom