HOJA MBADALA: Tuhamasishe CCM imsimamishe Membe 2015?


membe ni kama nyumbu anaweza kimbia hatari halafu akarudi tena kwa mwembwe kama vile hatari imekwisha.Na kaenda hadi kumnusa pua simba aliyeshiba baa ya kumla nyumbu mwenize muda mfupi.Membe hata diplomacy yake haina msaada wowote katk ku negoatite deal.Ndio maana EL kaweza mpiga bao sana katk kujenga mitandao na si mtandao.Hata kuhusu hela Membe bado hela haijamzoea,pamoja na kwamba kafanya ukuwadi kwa ghaddafi miaka yote na kupokea hela nyingi bado hajaweza zitumia vyema sana. na bado hawajeweza jifunza vizuri hatari ya wenzie kwake kisiasa km walivyo nyumbu.Pale arumeru hakuweza kumondoa chaguo la EL hata pale alipotumia wizara yake kumweka boss wa AICC,hata walipokamata watuwa EL bado mtu wa EL alipita CDM ndio walikwena smash kila kitu.

Kuanzia siasa za kimataifa hajaweza ona mahusiano ya kidini , na yakijamaa yaliyokuwa yakitutoa toka nchi zisizofunagman ana upande wowote hadi hadi nchi inayoburuzwa na nchi zozote zinzopinga magharibi.Kw aujumla alikuwa na narrow undestanding ya kutofungamana upande wowote.Hana tofauti na black anayelia kubaguliwa kwa kaisi cha yeye kuwa mbaguzi kuliko anavyobaguliwa.
 
DO you think Ni lazima nijue idadi ya kura ili kuthibitisha support yangu?Mbona sikumbuki hata za kikwete ingawa aniliskiliza kwa makini sana alipowashinda mwandosya na salim pale dodoma huku nikijilaumu sana kwa sifa laizochaguliwa nazo.
Basi japo nipe kikao kilichompitisha.
 
Basi japo nipe kikao kilichompitisha.

Ingawa juu kabisa niliweka maneno "kama.....kihalali...." ila ngoja nikujibu Sasa kama hakuna kikao kilichompitisha ni vipi watu wote kwa pamoja wakakubaliana naye kuwa mgombea?
 
Namkubali sana membe,issue ni chama chake cha magamba! Lengo letu kama watanzania ni kubadilisha mfumo wa utawala uliopo, ccm hawawezi kutufikisha kwenye mabadiliko ya kweli!
 
Ingawa juu kabisa niliweka maneno "kama.....kihalali...." ila ngoja nikujibu Sasa kama hakuna kikao kilichompitisha ni vipi watu wote kwa pamoja wakakubaliana naye kuwa mgombea?
Dah! mkuu samahasni kama nakukwaza, watu wote kina nani?
Najua mimi sikumpitisha.
 
Dah! mkuu samahasni kama nakukwaza, watu wote kina nani?
Najua mimi sikumpitisha.
Kwanini huku protest?....hivi dr slaa alijtangaza mwenyewe au alitangazwa na msemaji wa chama?Ni wewe menyewe hukumpitisha au na akina mbowe na wengine?Utatuthibitishiaje kuwa hukuwepo ktk kikao?Na ulikuwa wapi kam wenzako wanafanya kikao wewe kam mjumbe haukuwepo?
 
Mimi si mjumbe wa CDM na kamwe sitakuwa mjumbe wa CDM na kamwe sitakuwa mwanachama wa CDM wala mshabiki.
Hata kama wanachama wote wa CCM wataingia CDM na wale wa CDM wataingia CCM, bado watanikuta nimebana kona tawi la CCM nauza mafuta ya dili.

Narudia swali mkuu, naona labda hujanielewa. Kikao gani kilimpitisha Dr Slaa kuwa mgombea? Na alipata kura ngapi? dhidi ya nani? Na fomu zilitangazwa kuchukuliwa lini?

Nia yangu nataka nijue kama wanahubiri demokrasia au wanaitekeleza demokrasia?
 

Naona umeona huwezi kwenda mbele ukaamua rudia swali tulilolioondoka huku ukikataa kabisa jibu maswali yangu ya msingi ambayo yangesaidia mazungumzo yaende fairly.Ni vizuri tuu kwani nami maswali yangu nitayarudisha tena ikibidi.Well, wakati unakana sana kwa nguvu zote kuwa wewe huusiki na CDM ningependa kujua kikao unakitambuaje(kwa jina,kwa tarehe,kwa serial no. au?).

Nia yangu ni kujua ni vipi unajiamini kuwa hawakupitia mchakato kaa haukuwepo katik mchakato wa chama.

Kobello mbona umehama thread kabla hujamaliza majadiliano?
 

tafuta wanamagamba wenzio uwaeleze huo ***** wako.sie tunataka mageuzi ya kweli.heri lowasa kuliko muuza sura namba 2 baada ya jk.
 

kwa jins mambo yanavyoenda HOBELAHOBELA unadhan kuna haja ya kuwa na rais????wewe unaona nafas ya hii taasisi hapa nchini kwa sasa ina umuhim gani????nakubal katiba inatamka tuwe na rais je rais aliyeko madarakana na yanayoendelea tanzania,kuna sababu ya kujivunia kuwa tuna rais???
 

Katiba inasema hivyo n kivitendo nchi haiwezi end bila mkuu mmoja nayetoa na kupitisha amri.Nafasi ya mtendaji mkuu wa nchi kama si mkuu wa nchi ni lazima .Rais/Mkuu wa nchi si kwa ajili ya kujivunia bali wa kuongoza nchi.
 
Nionavyo mimi,swali hili la mwanakijij limewaingiza wengi KINGI,maana wadau wengi wanaanza kuropoka sasa,'HERI LOWASSA'
kuna heri gani????tunapoukataa wizi tuukatae jumla,,,,,,,unaskia fahari kuwa na BABA KIBAKA????HOW COME?
LOWASSA.MEMBE WOTE HWAFAI,NA HAKUNA ANAYEFAA PALE CCM,MAANA HATA KIKWETE ALIPOINGIA WATU WALIDHAN ANAFAA,,,,,,,
 
Katiba inasema hivyo n kivitendo nchi haiwezi end bila mkuu mmoja nayetoa na kupitisha amri.Nafasi ya mtendaji mkuu wa nchi kama si mkuu wa nchi ni lazima .Rais/Mkuu wa nchi si kwa ajili ya kujivunia bali wa kuongoza nchi.

exactly bt kwa sasa sidhan kama inatumika kuongoza nchi,na hapa ndipo napoona hakna haja
 

KWanini unapata shida ona kuwa Membe na Lowasa wote hawafai?Kwa ujumla wamelelewa ktk mfumo mbaya ndio maana wamefika hapo wakiwa hawafai.

Kikwete ahkuingizwa kwa vile alikuwa kaifaa bali alipewa sifa ambazo haziusiani na uongozi kutoka makundi tofauti na hivyo kupata kura za umaarufu na si za uwezo wake.
 
exactly bt kwa sasa sidhan kama inatumika kuongoza nchi,na hapa ndipo napoona hakna haja

Ndio maana tuna shida na CCM.hafuati utawala wa sheria.Hakuna mahali duniani mtu kafundishwa kukataa sheria kwa vile hazifuatwi.Ni vipi sasa patakuwa na utulivu kama hakuna kipimo na mwongozo wa mahusiano ya binadamu na mwenzie,binadamu ana mazingira yake?
 
tafuta wanamagamba wenzio uwaeleze huo ***** wako.sie tunataka mageuzi ya kweli.heri lowasa kuliko muuza sura namba 2 baada ya jk.

mjj,kama alikua na maana nyingine au hii aloibandika,ajue kuwa amekosea aprochi
 

mdau,,,umeniamsha na kicheko,,,,,nimeipenda sana hii aprochi
 
katika mwezi mmoja umeanzisha shredi 3 tofauti kuunga, na kumpinga Membe sasa uko upande upi ?
 
NI vizuri watu wakasoma actually nimeandika nini... maana wengine wanachangia wakidhania kuwa nimeandika nini.
Kila anayejua kusoma na kuandika, anaweza kusoma chochote kilichoandikwa, na anaweza kuandika chochote kinachosemeka!.

Kuna watu wanaandika maandishi tuu ili yasomeke, na kuna watu wanaandika mawazo yao ili msomaji ajue unawaza nini, na sio umeandika nini (the motive behind)!.

Ili kuweza kusoma mawazo ya mwandishi, hatua ya kwanza ni kwa msomaji kusoma hayo maandishi kwa kutumia mawazo na sio kusoma tuu maneno (reading in between the lines"!.

Uwezo wa wengi wetu humu jf, ni wa kusoma tuu maandishi ya mwandishi na sio mawazo ya mwandishi!.
P.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…