Kuna hili moja kubwa limeniingia kichwani sasa hivi.. SWALA la MUUNGANO..Ukiangalia sana kati ya viongozi wengi wa CCM na walioko serrikalini Membe ndiye anayeonekana kuja kuweza kumudu kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho. Ukimlinganisha na wagombea wengine (hasa Lowassa aliyejiuzulu kwa kashfa) ni Membe tu ambaye anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali na japo - kama nilivyosema wiki kadhaa nyuma - hajajiandaa kuwa Rais ni wazi miaka hii miwili iliyobakia inaweza kumsaidia kujitengenezea na kuwa a true "presidential candidate"
CCM ikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tena kiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM.
Ni kweli?
Mtazamo wangu juu ya Mh. Membe kama chaguo la ccm kwa nafasi ya Urais-2015 nilishautoa hapa toka 27th December 2011 13:56:
Hivi pesa ya libya hata kama kweli hicho kitu kipo iliathiri vipi maisha ya mwananchi wa kawaida kama kupanda kwa gharama za umeme kwa kujitakia?Mkuu Mwanakijiji,Subiri kashfa ya pesa za Libya ndio utawajua vizuri wanasiasa wetu wana sura gani ni mapema mno kumjadili huyu nyoka wa mdimu.Ni bora mchawi Lowasa tumkabidhi mwana.
Pesa ya Libya ililenga kumnufaisha mwananchi mwenye kipato cha chini kupitia ajira kwa pesa hiyo kutumika kama mtaji,sasa fikiria hayo mabilioni yangeelekezwa katika uwekezaji wa kiwanda cha cement Lindi leo watu wangapi wangefaidika kiuchumi na kijamii.Ujenzi wa kiwanda cha cement ungetimiza ndoto ya mfuko wa cenment tsh 5,000/=,ebu fikiria hiyo pesa haikuwa mkopo hivyo isingekuwa mzigo wa madeni kwa taifa,gharama za ujenzi zingepungua(leo kupanga nyumba ni janga),sekta ya viwanda ingekua,uwezo wa mwananchi kujikimu ungeongezeka na vyanzo vya kodi kuimarika.Membe ni mbabaishaji alilenga kuchukua pesa ya Libya kwa manufaa yake ndio maana alikuwa anashupalia haitambui NTC ili awaibie walibya.Alisukumwa na nini mpaka aende katika kipindi cha dakika 45 mara tatu kuelezea sakata lile lakini leo mzozo wa mpaka na Malawi hana muda huo.Atupishe 2015 tuchague kiongozi wetu hatutaki tena kupoteza muda kwa viongozi wanaobebwa na vyombo vya habari na makuwadi wao wa siasa.Hivi pesa ya libya hata kama kweli hicho kitu kipo iliathiri vipi maisha ya mwananchi wa kawaida kama kupanda kwa gharama za umeme kwa kujitakia?
Ukiangalia sana kati ya viongozi wengi wa CCM na walioko serrikalini Membe ndiye anayeonekana kuja kuweza kumudu kuwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama hicho. Ukimlinganisha na wagombea wengine (hasa Lowassa aliyejiuzulu kwa kashfa) ni Membe tu ambaye anaonekana kulindwa na mlolongo mkubwa wa kashfa mbalimbali na japo - kama nilivyosema wiki kadhaa nyuma - hajajiandaa kuwa Rais ni wazi miaka hii miwili iliyobakia inaweza kumsaidia kujitengenezea na kuwa a true "presidential candidate"
CCM ikimsimamisha Membe kama mgombea wake inaweza kuwa na nafasi ya kushinda tena kiti cha Urais; wakimsimamisha mtu mwingine yeyote itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM.
Ni kweli?
Hayo makundi Mzee Mwanakijiji kayaona kwa chadema peke yake na ndiyo sababu kubwa anayosema kwamba hawataweza kushinda uchaguzi ama hawatakiwi kushinda uchaguzi(not ready to lead),sikujuwa sababu ya yote hayo ni Membe.sasa ndugu zangu, unajuaa tatizo la CCM ni makundi ambayo mpaka sasa hivi yanaendelea katafuna chama kwani unaposema tuhamasishe membe apite urais 2015,
NI HAYO TU KWA LEO