Naongezea - Kiongozi mzuri siyo tu hupimwa kwa kauli na matendo yake pekee bali kwa dhamira yake. Mtu anaweza kunena na kutenda mazuri, ya kufurahisha watu lakini nia yake isiwe nzuri, akawa anasema mnayotaka msikie na kutenda jambo analojua mtalifurahia lakini nyuma yake kukawa na hila, akayafanya hayo ili tu afikie anapotaka kupafikia. Baada ya Zito kuleta utata katika uongozi wake, hatujasikia japo mara moja akijutia yale aliyoyafanya kiasi cha kutusadikisha kuwa nia na dhamira yake ni njema japo kwa nyakati tofauti tofauti amekuwa akinena na kutenda yale ambayo wengi tunapenda kuyasikia kutoka kwa kiongozi wa upinzani mwenye nia njema LAKINI hiyo pekee yake haitoshi. Tendo moja jema halitoshi tumwamini katika kila jambo kiasi cha kufikiriwa kupewa nafasi ya uongozi mkuu wa CHADEMA.Baums, naendelea kushukuru tena kwa mchango wako wa muhimu.
Unawasaidia wasiojua kutafuna na kumeza angalau kwa kuwatafunia. Ahsante tena
Mtanganyika,
..lakini sasa hivi CDM wanaye Dr.Slaa ambaye hana jukumu lolote lile zaidi ya kujenga chama.
..hivi hamuoni kwamba hili chapuo mnalompigia Zitto, huku mkimkandia Mbowe, is a distraction kwa CDM kwa wakati huu?
..kwa nini msijenge CDM kwa kutumia uongozi uliopo sasa hivi, na masuala ya kumu-elevate Zitto yakasubiri mpaka wakati wa uchaguzi mkuu wa Chadema?
..nasema hivyo kwasababu CDM bado ni changa na haina uwezo wa kuhimili haya makampeni yasiyoisha ya Zitto kuwa mwenyekiti wa CDM.
..Zitto pia is not helping himself na misimamo yake inayokwenda kinyume na base ya CDM. how can you have a CDM chairman who supports Dowans, anayemsifia Andrew Chenge kwa kumpelekea miundo mbinu Kigoma, anayedai ufujaji wa nyumba ya gavana is OK, anayedai Dr.Rashid is the best Tanesco DG ever, anayetetea EAC corporation hata pale ambapo maslahi ya wa-Tanzania hayajalindwa, anayejigamba kwamba mentors wake wa kisiasa na makada waandamizi wa CCM???
..HOW??!! unless mnataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia.
Jamani, am probably missing a point here.....Katika communities zote nilizowahi kuishi (shuleni, jeshini, uraiani, etc) mtu yeyote ambaye ni leadership material unakuta members wa community wanamtambua haraka na unakuta anaanza kupewa dhamana moja baada ya nyingine - more often than not bila ya mhusika kupenda kupewa dhamana hiyo(zo).Community ya Zitto (kisiasa) ni Chadema. Je ina maana Chadema wameshindwa kuzitambua leadership qualities za huyu kijana? Au hawa wenzetu Chadema ni mazezeta kivile kiasi hawawezi kupambanua mbichi na mbivu??Nadhani mtoa mada kama anamuona huyu kijana ni mzuri kiasi hicho, ni vema angeji-align zaidi na "private candidate crusaders" ili huyu anayempigia debe labda apate forum inayoweza kumkubali kama kiongozi. Try that one for size!Kwa mtizamo wa sisi outsiders, inaonekana dhahiri kuwa Zitto bado hajakubalika na majority ya wana-Chadema na hivyo sidhani kama ni sahihi kwa outsider yeyote ku-impose leadership kwenye chama cha wenziwe!
Mbabe nakushukuru kwa mchango wako. Naomba nirudie kwako, kuwa ukitulia na kusoma kwa umakini zaidi utagundua pamoja na kwamba post yangu haina maswali mengi lakini hai-rule out moja kwa moja yeye kuwa.
Walioisoma kwa utulivu na kugundua kitu wamefahamu lengo langu ni kuwasaidia watu kusaidia wenzao kuona nini kinafikiriwa kwa mapana dhidi ya muenendo wa Zitto na chama chake.
Watu wamekuwa wakimpuuzia, kumuita crap na mengineyo lakini hawamtendei haki kwa kuweka wazi ni kwa nini wanawaza hivyo?
Post hii (japo tata na inakera) lakini imetoa fursa za kusaidia kujua ni kwanini watu wanasema crap au hastahili kukabidhiwa chama. Haya unayoyaweka ni angalizo muhimu sana.
Hii itasaidia sio tu CHADEMA na wana-CHADEMA wake bali hata na ndugu yangu Zitto kujua kwenye mbongo za watu kuna kitu gani.
Sasa kama hata outsiders mmepoteza imani, hili ni jambo jingine lakini ili kumtendea haki Zitto lazima afahamu ni kwa nini watu wamepoteza imani nae.
O.T: Vibaba unamaliza kuhemea lini? au miaka mingine mi-5?? tehehetehe
<br />
<br />NewDawntz mbona u dikteta? Kwanini unalazimisha wachangiaji wawe na mawazo sawa na yako? Unajua maana ya forums wewe? Kama wewe unaamini kuwa mawazmo yako ni sahihi kwa nini uandike thread na kuanza kumpinga kila mtu
Kuna "whiners" na "winners". If you want to be accepted as a leader, avoid being seen as the former!Jukumu la kumfanya Zitto akubalike liko mikononi mwake mwenyewe - mimi na wewe hatuhitajiki kufanya research juu ya hili. Besides, sifa ya kiongozi ni ku-possess pursuasive ability kiasi kwamba watu wako wanakukubali na kuamini unachokipigania. Halafu, hakuna mahali niliposema nimepoteza imani na Zitto - ili kitu kipotee si ni lazima uwe nacho kwanza??
Selous, kama umemsikiliza vema Zitto, anaweka wazi kuwa CHADEMA kuna udini na ukabila....nadhani utakuwa umemsoma vema anapozungumza hivi.
Mkuu Selous, mtu anapofikiri watu wote wanafikiri kama yeye anapaswa kusaidiwa kujua kuna fikra mbadala
Mbabe nakushukuru kwa mchango wako. Naomba nirudie kwako, kuwa ukitulia na kusoma kwa umakini zaidi utagundua pamoja na kwamba post yangu haina maswali mengi lakini hai-rule out moja kwa moja yeye kuwa.
Walioisoma kwa utulivu na kugundua kitu wamefahamu lengo langu ni kuwasaidia watu kusaidia wenzao kuona nini kinafikiriwa kwa mapana dhidi ya muenendo wa Zitto na chama chake.
Watu wamekuwa wakimpuuzia, kumuita crap na mengineyo lakini hawamtendei haki kwa kuweka wazi ni kwa nini wanawaza hivyo?
Post hii (japo tata na inakera) lakini imetoa fursa za kusaidia kujua ni kwanini watu wanasema crap au hastahili kukabidhiwa chama. Haya unayoyaweka ni angalizo muhimu sana.
Hii itasaidia sio tu CHADEMA na wana-CHADEMA wake bali hata na ndugu yangu Zitto kujua kwenye mbongo za watu kuna kitu gani.
Sasa kama hata outsiders mmepoteza imani, hili ni jambo jingine lakini ili kumtendea haki Zitto lazima afahamu ni kwa nini watu wamepoteza imani nae.
O.T: Vibaba unamaliza kuhemea lini? au miaka mingine mi-5?? tehehetehe
NewDT
Kweli mfumo utakiwa ubadilike lakini sio kinadharia kama unavyotaka. Niliwahi kumwambia Mwanakijiji kuwa yupo kinadhiria zaidi kama ilivyo kwa kiasi fulani Zitto. Kiasi fulani kinachomwangusha sio unadhairia ila nijikufanya siasa za kuona much know while kuna vitu vingine ninamsumbua. I can not imagine kama angekuwa na nguvu kwa Dr. Slaa ingekuwaje.
SAlhaj ANS
Jamani hivi ueneykiti una siri gani mbona watu mnaililia hivyo?
Nawasilisha....
jamani huyu zitto si ndio yule yule rafiki wa mkwere, na pia wale jamaa wa usalama wa taifa akina zoka wana urafiki na mtu huyu mpaka kupigiana simu zaidi ya mara 9 kwa siku? anagalieni jamani msije jilaum badae. huyo zito huyo, mtazameni sana si mtu wa kumuamini haraka kwani amekuwa akibadilika mara kwa mara kama kinyonga.
Mtanganyika,
..lakini sasa hivi CDM wanaye Dr.Slaa ambaye hana jukumu lolote lile zaidi ya kujenga chama.
..hivi hamuoni kwamba hili chapuo mnalompigia Zitto, huku mkimkandia Mbowe, is a distraction kwa CDM kwa wakati huu?
..kwa nini msijenge CDM kwa kutumia uongozi uliopo sasa hivi, na masuala ya kumu-elevate Zitto yakasubiri mpaka wakati wa uchaguzi mkuu wa Chadema?
..nasema hivyo kwasababu CDM bado ni changa na haina uwezo wa kuhimili haya makampeni yasiyoisha ya Zitto kuwa mwenyekiti wa CDM.
..HOW??!! unless mnataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia.
Kuna "whiners" na "winners". If you want to be accepted as a leader, avoid being seen as the former!Jukumu la kumfanya Zitto akubalike liko mikononi mwake mwenyewe - mimi na wewe hatuhitajiki kufanya research juu ya hili. Besides, sifa ya kiongozi ni ku-possess pursuasive ability kiasi kwamba watu wako wanakukubali na kuamini unachokipigania. Halafu, hakuna mahali niliposema nimepoteza imani na Zitto - ili kitu kipotee si ni lazima uwe nacho kwanza??
Kama kweli ameona chadema kuna udini, ukabila. kwani kuna sababu gani ya yeye kung'ang'ania? mbona vyama vipo vingi na yeye si ni mtu maarufu? namshauri asipoteze muda, take your time man