M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
Zito yupon kinadharia?? I doubt! just revist this world and use it properly.
Kwa sababu mwenyekiti wa sasa ni mfanyabiashara na yuko kibiashara , kama hujui hilo pole we!
Uliingizwa choo kisicho chako, mmemsema Zito humu, mmemfukuza chamani, mmetoa maneno ya kashfa, yaani mmekuwa haters in such a way mnapoona yupo palepale hatikisiki na kwanza anaonekana kung'aara na kujitoa mhangan kuliko mwingine yeyote mnaaibika na kukaa kimya?? why, you made judgemental too early we all did, is high time ukaondokana na mawazo hayo hasi ambayo ukiandika tu post kama hiyo unasomeka kuwa uko katika wale asilimia 70
Believe me unless you not in Chadema, leo hii ukiitishwa uchaguzi mkuu kati ya Mbowe na Zitto, Zitto anashinda! hili ni hakika na kweli, achana na siasa za JF za kumponda Zito wapiga kura ndani ya chama wako na wanawaza kwingine kabisa
woooote wanaoishiwa hoja husema kama wewe, kuwa kama kuna udini na ukabila ondokeni! you are not helping CDM you are confirming the matter at hand
Bravo mtoa maada, umekuwa mpole, umejenga hoja, hujakasirika hata ulipotukanwa, nilivyoangalia umejiunga lini, nikafurahi, you are absolutely amazing, you have bright future and your posts will be educative and challenging
kama ulivyosema tatizo letu ni kuogopa KUFIKIRI, kutaka publicity na kufuata mkumbo exactly kama CCM na viongozi wake, halafu tunamlaumu Kikwete, however some people hawajui hali halisi ya siasa, comment zao ni nzuri kuwa sehemu ya makumbusho kwa vizazi vijavyo.
Ndugu, unaonekana kuwa unaijua vizuri Chadema kuliko sisi wengine, so let's say kwamba tunakubaliana na unachokisema.
Impression ninayoipata hapa ni kuwa ndani ya Chadema huyu Zitto ni mtu mwenye kipaji cha pekee, genius sana, possesses unparalled vision na kwamba he cant be faulted. Interesting.
Pia naona umegusia suala la kuwashindanisha kwa kura Zitto vs Mbowe ndani ya chama chenu. Nikakuta najiuliza mwenyewe....je (statistically speaking) vipi ile kura ya wabunge ya kukosa imani na Zitto haiwezi kuchukuliwa kama kipimo (sample) cha kulinganisha nguvu ya Zitto vs Mbowe ndani ya Chadema?
Pia, ile infamous walkout pale bungeni - Zitto alikuwa upande wa minority (~20%). Je si kipimo kingine cha kuonyesha Zitto doesn't stand for the party's popular vision and the reason why he's being shunned??
Mimi sina uhakika, nisaidie!