Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NewDawnTz, Dec 28, 2010.

 1. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ameonesha ujasiri mkubwa. Anajua matatizo ndani ya chama chake yanayoweza kupelekea chama chake kikapoteza hata kiti kimoja ilichonacho Kigoma.

  Amejitokeza wazi kwenye vyombo vya habari na umma kuzungumzia mapungufu ya chama chake, tofauti na viongozi wenzake ndnai ya chama. HUU ni MTAJI tosha wa kuleta reforms ambazo wengi (akiwamo Rev Kishoka na Mwanakijiji) wamekuwa wakipendekeza zifanyike ndani ya chama.


  Naamini wakina Rev Kishoka (kama nilivo mimi) ni waamini wazuri wa mabadiliko ya kimfumo (wa uchumi, siasa, kiutawala/uongozi na kijamii) kwenye nchi yetu nje ya CCM. Hivyo mapendekezo haya ni katika kuhakikisha chama kilichojizolea nguvu ya kuleta mabadiliko kinajipanga vema kuweza kufanya hivyo na kuweka vema public image (kupuuzia ufa ni kujenga ukuta)


  Kwa nini mtaji huu wa Zitto kufahamu mapungufu ndani ya CHADEMA na kuonesha ujasiri wa kuweza kuyashughulikia usiwe MTAJI wa muhimu kufanya reform ndani ya CHADEMA maana huwezi fanya reform kwa matatizo usiyoyajua wala kuyakiri kuwa unayajua


  Kwa mantiki hii, Je ambao tunapenda kuona nchi hii ikiwa nje ya makucha ya CCM na tunaamini CHADEMA ni mbadala sahihi, hatuoni kuwa sasa ni wakati sahihi wa Mh. Zitto Zuberi Kabwe kupewa jahazi la CHADEMA (awe mwenyekiti wa chama)?


  Naamini atafaa na nawaomba wadau wote tumuunge mkono na kuwaomba viongozi wa CHADEMA kumpa nafasi hii Zitto aweke chama vema kama ambavyo ametanabaisha kuwa kuna mambo ya kuwekwa sawa ndani ya CHADEMA. Narudia tena, ukipuuzia ufa utajenga ukuta. GHARAMA hiyo
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mmmmh,nilidhani unaongea point za maana,ila signature yako imeharibu kila kitu!
  tupa kule
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Speaker, usipuuze, am serious unajua. We need Reform and Zitto amesema anamudu hizi reform zinapigiwa kelele. Huoni hili ni la muhimu?

  Nipinge kwa hoja ili usiwe kama MS.

  Viongozi wetu wanahitaji wajue tunavyowaza ili wasijipige kumbo na upepo
   
 4. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  no comment
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,272
  Trophy Points: 280


  Kama wewe ni mpenda mabadiliko mbona vyama viko karibu 20 kwani haujaviona hivyo vyama? kawaulize ccm wenzako ni lini zilitolewa fomu za kugombea uenyekiti wa ccm taifa? au waulize ccm wenzako safu nzima ya uongozi wa kitaifa ilishawahi kuchaguliwa kidemokrasia? kweli sasa sasa nimeamini msemo wa Rev Masaniro ni sahihi, kwamba ukiona mwanamume ana makalio makubwa basi ujue kichwani ni empty.
  ndio maana tunaihitaji katiba mpya ili katika hiyo katiba mpya tuingize na haki za mashoga kupigwa pipe, maana humu kuna watu bila kutaja neno zitto basi sehemu zao za siri za nyuma huwa zinanyevuanyevua.
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Crap!!!!
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unatumika?
   
 8. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Matola, kwani ukizungumza kistaarabu kuna mtu atashindwa kuelewa hoja yako?

  Huu ni mtazamo tu na naamini nina akili timamu kuliko wewe.

  mimi nimetoa mtazamo wangu, nawe ulipaswa kutoa mtazamo wako. Ndivyo watu wenye akili timamu tunavyofanya
   
 9. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Upo sahihi kwa angalizo lako hili, hakuna haja ya JAZBA/MALUMBANO.
   
 10. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu Sulpha, sijatumwa wala situmikii mtu. Mimi ni msomi huru na mtu mwenye mawazo huru. Kuibua hoja ni kuchokonoa hoja.

  Nimetoa mawazo na imani yangu kutokana na mwenendo wa Zitto ndani ya CHADEMA. Nadhani mitazamo sahihi ni jambo la msingi kuliko kushuku.

  HAYA NI MAWAZO HURU NA UNARUHUSIWA KUWAZA HURU PIA HATA KAMA NI KINYUME NA MAWAZO HURU YA ALIETOA WAZO HURU
   
 11. c

  charityboy Senior Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sulphadoxine ana jazba sana na siasa haziwezi. HOJA nzito zimetolewa. CHADEMA haiwezi kuendelea bila ya ZITO.
   
 12. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ninachoona hapa mimi ni UTUPU wa hoja. Nilitarajia useme kivipi Zito ni bora, au mwenyekiti wa sasa anamatatizo gani na vitu kama hivyo. Wewe CCM NINI?
   
 13. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Bora kufa kuliko kumwona Zitto as head of CHADEMA.
   
 14. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sio kweli kwamba siasa haziwezi, nadhani alikuwa hajaelewa vema hoja yangu. Naamini sasa amenielewa vema na nadhani atakuwa na mchango mzuri.

  Usimhukumu maana the way post yangu imekaa ina mpa uhalali wa kudhani nimetumwa kutumikia mawazo ya mtu fulani, NO THANK, am standing alone here
   
 15. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kaka mimi sio CCM na haitakaa niwe CCM., Familia yangu yote kuanzia mke hadi watoto ni wana-CHADEMA waaminifu kabisa na juzi tu mke wangu kadai kadi ya chama.

  Ila ninachozungumza hapa ni kwamba, Zitto anaonekana kujua zaidi matatizo ya CHADEMA kuliko viongozi wenzake. And what am holding here ni principle ya kuwa, ili UAMUE KUOGA NI LAZIMA UJUE KUWA NI MCHAFU. Na ZITTO ndie kinara wa kujitokeza kudai CHADEMA chafu.


  Sasa kwa kuwa anajua ni chafu na anajua dawa ni kuoga, huoni inafaa akabidhiwe sabuni, maji na bafu ili asafishe?
   
 16. L

  LAT JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  wewe DSM umesharudi toka mafunzoni...... Al zawahiri hajambo
   
 17. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hivi huo uchafu uliokusukuma ni upi?
   
 18. l

  lugelele Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <p>
  </p>
  <p>&nbsp;</p>wewe ni mbumbumbu kabisa
   
 19. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Selous, kama umemsikiliza vema Zitto, anaweka wazi kuwa CHADEMA kuna udini na ukabila....nadhani utakuwa umemsoma vema anapozungumza hivi.

  Mkuu Selous, mtu anapofikiri watu wote wanafikiri kama yeye anapaswa kusaidiwa kujua kuna fikra mbadala
   
 20. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kaka NewDawnTz katika hoja yako umeuliza kama ni wakati sasa wa kumpa ZK jahazi la CDM ukiamini kuwa ndicho chama mbadala wa CCM.

  Hata kama tukisema ZK awe mwenyeketi kwa sasa atakuwaje na uchaguzi wa ndani CDM bado, je unapendekeza mapinduzi yafanyike au lengo ni kuaandaa mtandao wa kumweka ZK madarakani??
  Ni mafanikio gani ambayo tunaweza kuyahusisha na cheo chake cha sasa kiasi kwamba tudhani anaweza kutenda makubwa akiwa M/Kiti?
  Ni yapi mapungufu ya kiuongozi kwa mwenyekiti wa sasa ambayo tuna uhakika ZK hatayarudia??

  Nisadie kujua hayo ndipo nione kama niunge mkono hoja yako. Asante mkuu
   
Loading...