Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

sawa zito awe mwenyekiti sawa kabisa kwani si yeye anaweza kufanya maamuzi mazito kuna baraza la wadhamini kwani ndani ya ccm mbona mwenyekiti anashindwa kuongoza anaongozwa na akina lr......................
 
jamani huyu zitto si ndio yule yule rafiki wa mkwere, na pia wale jamaa wa usalama wa taifa akina zoka wana urafiki na mtu huyu mpaka kupigiana simu zaidi ya mara 9 kwa siku? anagalieni jamani msije jilaum badae. huyo zito huyo, mtazameni sana si mtu wa kumuamini haraka kwani amekuwa akibadilika mara kwa mara kama kinyonga.
 
Baums, naendelea kushukuru tena kwa mchango wako wa muhimu.

Unawasaidia wasiojua kutafuna na kumeza angalau kwa kuwatafunia. Ahsante tena
Naongezea - Kiongozi mzuri siyo tu hupimwa kwa kauli na matendo yake pekee bali kwa dhamira yake. Mtu anaweza kunena na kutenda mazuri, ya kufurahisha watu lakini nia yake isiwe nzuri, akawa anasema mnayotaka msikie na kutenda jambo analojua mtalifurahia lakini nyuma yake kukawa na hila, akayafanya hayo ili tu afikie anapotaka kupafikia. Baada ya Zito kuleta utata katika uongozi wake, hatujasikia japo mara moja akijutia yale aliyoyafanya kiasi cha kutusadikisha kuwa nia na dhamira yake ni njema japo kwa nyakati tofauti tofauti amekuwa akinena na kutenda yale ambayo wengi tunapenda kuyasikia kutoka kwa kiongozi wa upinzani mwenye nia njema LAKINI hiyo pekee yake haitoshi. Tendo moja jema halitoshi tumwamini katika kila jambo kiasi cha kufikiriwa kupewa nafasi ya uongozi mkuu wa CHADEMA.
 
Nadhani wengi tunashindwa kuelewa, Zitto sio kwamba CDM hawana imani nae, bali poor democratic system inside CDM has caused a significant damage to Zitto popularity. CDM wamejenga what i call Bush democratic system (BDS) which is "you're either with us or you're with them" nothing between. Tunaona hata hapa JF kwamba ukijaribu kuhoji political system ndani ya CDM utaitwa CCM, Mdini, umetumwa and many more. But all those names calling are just cheap politics.

Kama CDM inataka kushinda lazima uongozi wake wa juu ubadilike, they need to eliminate those elite and bureaucratic leaders at the top. Zitto need to GO, so do MBOWE. Let Dr Slaa take over uwenyekiti, and Kitila need to be in strategic side. CDM need visionary leader who understand what Tanzania need to grow faster with economy which percolate faster. Other than that Tanzania will continue to be shamba la bibi.
 
Mtanganyika,

..lakini sasa hivi CDM wanaye Dr.Slaa ambaye hana jukumu lolote lile zaidi ya kujenga chama.

..hivi hamuoni kwamba hili chapuo mnalompigia Zitto, huku mkimkandia Mbowe, is a distraction kwa CDM kwa wakati huu?

..kwa nini msijenge CDM kwa kutumia uongozi uliopo sasa hivi, na masuala ya kumu-elevate Zitto yakasubiri mpaka wakati wa uchaguzi mkuu wa Chadema?

..nasema hivyo kwasababu CDM bado ni changa na haina uwezo wa kuhimili haya makampeni yasiyoisha ya Zitto kuwa mwenyekiti wa CDM.

..Zitto pia is not helping himself na misimamo yake inayokwenda kinyume na base ya CDM. how can you have a CDM chairman who supports Dowans, anayemsifia Andrew Chenge kwa kumpelekea miundo mbinu Kigoma, anayedai ufujaji wa nyumba ya gavana is OK, anayedai Dr.Rashid is the best Tanesco DG ever, anayetetea EAC corporation hata pale ambapo maslahi ya wa-Tanzania hayajalindwa, anayejigamba kwamba mentors wake wa kisiasa na makada waandamizi wa CCM???

..HOW??!! unless mnataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia.
 
Kama kweli Zitto kasema kuna ukabila na udini ndani ya CHADEMA ninayo maswali mawili. a/ akiwa mwenyekiti huo ukabila na udini utaisha? na b/ kuna kitu gani sasa ambacho kinamzuia kupambana na ukabila na udini ndani ya CHADEMA akiwa naibu wa katibu mkuu?
 
NewDawnTz - Use the other ID of urs ........

Kaka mimi ni mtu mtiifu kuliko unavyoweza kudhani. ID niliyonayo JF ni hii tu labda unisaidie nyingine ambazo wewe unazo na unapenda kunipa.

Nasikitika unajadili ID yangu badala ya kutoa mtazamo wako juu ya hoja yangu
 
Mtanganyika,

..lakini sasa hivi CDM wanaye Dr.Slaa ambaye hana jukumu lolote lile zaidi ya kujenga chama.

..hivi hamuoni kwamba hili chapuo mnalompigia Zitto, huku mkimkandia Mbowe, is a distraction kwa CDM kwa wakati huu?

..kwa nini msijenge CDM kwa kutumia uongozi uliopo sasa hivi, na masuala ya kumu-elevate Zitto yakasubiri mpaka wakati wa uchaguzi mkuu wa Chadema?

..nasema hivyo kwasababu CDM bado ni changa na haina uwezo wa kuhimili haya makampeni yasiyoisha ya Zitto kuwa mwenyekiti wa CDM.

..Zitto pia is not helping himself na misimamo yake inayokwenda kinyume na base ya CDM. how can you have a CDM chairman who supports Dowans, anayemsifia Andrew Chenge kwa kumpelekea miundo mbinu Kigoma, anayedai ufujaji wa nyumba ya gavana is OK, anayedai Dr.Rashid is the best Tanesco DG ever, anayetetea EAC corporation hata pale ambapo maslahi ya wa-Tanzania hayajalindwa, anayejigamba kwamba mentors wake wa kisiasa na makada waandamizi wa CCM???

..HOW??!! unless mnataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia.

Joka Kuu ahsante kwa mawazo yako yenye kufikirisha.

Watu wengi JF wanapenda "straigth forward" issues. Zile za kuwafanya wawaze zaidi wanavikimbia.

Hoja kama hizi ndizo nilizokuwa nazitafuta ili kwamba watu waone what other think.

Tatizo thread nyingi za Zitto zinakuja na watu wanatukana ama kupuuzia bila kujiuliza core issues na matokeo yake watu hawaelewi wanayoyaandika.

Angalau hapa watu wanapata maswali ya kujiuliza na majibu ya kujijibu

Ahsante kwa mchango wako
 
Iron Lady ahsante kwa mchango wako mzuri.

I like people who can think beyond the veil. That is what it takes to be a great thinker bwana.

Watu hawajiulizi, mbona PhD na u-fame wake wote hajawahi kuzungumzia kuwa kichwa cha CHADEMA?

Angalau tunapata maangalizo ya muhimu ya kutusaidia kuanza mwanzo wa kufunga hoja zisizo na msingi za Mheshimiwa Zitto
 
Jamani, am probably missing a point here.....Katika communities zote nilizowahi kuishi (shuleni, jeshini, uraiani, etc) mtu yeyote ambaye ni leadership material unakuta members wa community wanamtambua haraka na unakuta anaanza kupewa dhamana moja baada ya nyingine - more often than not bila ya mhusika kupenda kupewa dhamana hiyo(zo).Community ya Zitto (kisiasa) ni Chadema. Je ina maana Chadema wameshindwa kuzitambua leadership qualities za huyu kijana? Au hawa wenzetu Chadema ni mazezeta kivile kiasi hawawezi kupambanua mbichi na mbivu??Nadhani mtoa mada kama anamuona huyu kijana ni mzuri kiasi hicho, ni vema angeji-align zaidi na "private candidate crusaders" ili huyu anayempigia debe labda apate forum inayoweza kumkubali kama kiongozi. Try that one for size!Kwa mtizamo wa sisi outsiders, inaonekana dhahiri kuwa Zitto bado hajakubalika na majority ya wana-Chadema na hivyo sidhani kama ni sahihi kwa outsider yeyote ku-impose leadership kwenye chama cha wenziwe!
 
Mbabe nakushukuru kwa mchango wako. Naomba nirudie kwako, kuwa ukitulia na kusoma kwa umakini zaidi utagundua pamoja na kwamba post yangu haina maswali mengi lakini hai-rule out moja kwa moja yeye kuwa.

Walioisoma kwa utulivu na kugundua kitu wamefahamu lengo langu ni kuwasaidia watu kusaidia wenzao kuona nini kinafikiriwa kwa mapana dhidi ya muenendo wa Zitto na chama chake.

Watu wamekuwa wakimpuuzia, kumuita crap na mengineyo lakini hawamtendei haki kwa kuweka wazi ni kwa nini wanawaza hivyo?

Post hii (japo tata na inakera) lakini imetoa fursa za kusaidia kujua ni kwanini watu wanasema crap au hastahili kukabidhiwa chama. Haya unayoyaweka ni angalizo muhimu sana.

Hii itasaidia sio tu CHADEMA na wana-CHADEMA wake bali hata na ndugu yangu Zitto kujua kwenye mbongo za watu kuna kitu gani.

Sasa kama hata outsiders mmepoteza imani, hili ni jambo jingine lakini ili kumtendea haki Zitto lazima afahamu ni kwa nini watu wamepoteza imani nae.

O.T: Vibaba unamaliza kuhemea lini? au miaka mingine mi-5?? tehehetehe
 
Kuna "whiners" na "winners". If you want to be accepted as a leader, avoid being seen as the former!Jukumu la kumfanya Zitto akubalike liko mikononi mwake mwenyewe - mimi na wewe hatuhitajiki kufanya research juu ya hili. Besides, sifa ya kiongozi ni ku-possess pursuasive ability kiasi kwamba watu wako wanakukubali na kuamini unachokipigania. Halafu, hakuna mahali niliposema nimepoteza imani na Zitto - ili kitu kipotee si ni lazima uwe nacho kwanza??
 
<br />
<br />NewDawntz mbona u dikteta? Kwanini unalazimisha wachangiaji wawe na mawazo sawa na yako? Unajua maana ya forums wewe? Kama wewe unaamini kuwa mawazmo yako ni sahihi kwa nini uandike thread na kuanza kumpinga kila mtu

Nickname nifatilie vizuri utagundua, SIJAMPINGA MTU yoyte. Thread hii sio ya malumbano, ni ya mawazo huru na fikirishi. Hata hiyo post uliyo-quote utaona sijampinga ila nimeungana nae kwa kuweka wazi kuwa POST ZENYE KUMSAIDIA MTU NI KWA NINI HAYUKO MAWAZONUI MWAO ZINAFAA ZAIDI KULIKO ZA MAJIBU MAFUPI KAMA VILE CRAP e.t.c
 
Kuna "whiners" na "winners". If you want to be accepted as a leader, avoid being seen as the former!Jukumu la kumfanya Zitto akubalike liko mikononi mwake mwenyewe - mimi na wewe hatuhitajiki kufanya research juu ya hili. Besides, sifa ya kiongozi ni ku-possess pursuasive ability kiasi kwamba watu wako wanakukubali na kuamini unachokipigania. Halafu, hakuna mahali niliposema nimepoteza imani na Zitto - ili kitu kipotee si ni lazima uwe nacho kwanza??

Nakukubalia kabisa mkuu. Post hii imesaidia sio mimi na wewe tu bali na wengine uingia vichwani mwa watu na kujua kuwa a cry you think will end you a winner will finally make people count it as a 'whine of a horse'
 
Selous, kama umemsikiliza vema Zitto, anaweka wazi kuwa CHADEMA kuna udini na ukabila....nadhani utakuwa umemsoma vema anapozungumza hivi.

Mkuu Selous, mtu anapofikiri watu wote wanafikiri kama yeye anapaswa kusaidiwa kujua kuna fikra mbadala

Kama kweli ameona chadema kuna udini, ukabila. kwani kuna sababu gani ya yeye kung'ang'ania? mbona vyama vipo vingi na yeye si ni mtu maarufu? namshauri asipoteze muda, take your time man
 
ZITTO SIKILIZA
Inawezekana kabisa ukawa sahihi, sasa what you should do, toa taarifa za matatizo yaliyo ndani ya chama "kwa mtazamo wako" kwa vyombo usika ndani ya chama, kwa communique sahihi, usilalamike utaharibu ujumbe, nahisi hauelewani vizuri ama haukoconfortable na either Presdaa Silaa au Mwenyekiti "tena kabla sijaandika mengi, naomba uheshimu na ujinyenyekeze mbele ya viongozi wako hawa, ukiwasumbua sana utawafanya washindwe kuendeleza kazi nzuri wanayofanya sasa"

Kwa hiyo, peleka hoja zako kwa watu independent ndani ya chama, mpelekee mzee mtei sijui, ama mwalimu wako profesa baregu, waeleze, taratibu, jenga hoja zako vizuri watakuelewa, ni lazima ujue CHAMA CHAKO NI KAMA MBONI YA JICHO KWA WATANZANIA, CHADEMA NI MTOTO PEKEE KWA MAMA MPWEKE, na wewe Zitto ni mmoja kati ya watu jasiri waliokifikisha chama hiki apo kilipo, usiwe tayari kukifikisha chama hiki katika hali tete, kikakosa mwelekeo, viongozi wake wakaoneka hovyo hovyo,take care of this beautiful thing CHADEMA.sikiza SITTO, if anything go wrong, anything go wrong with CHADEMA, especially now,hata kama hautakuwa chanzo, the poor people of this country will cry mentioning your name.

Wewe ni role model kwa vijana wengi sana, hata kama ukiacha siasa sasa, wataendelea kukukumbuka wewe kama mwanasiasa wa mfano wa kuigwa.sikiza ZITTO, angalia usijeishia kama KIKWETE, wakati cheki bobu huyu anaingia IKULU mwanaka 2005, watanzania walimpenda saaaaaaana, wakati ule watu waliogopa hata kusema 'Kikwete angekuwa mweusi kidooogo ndo angekuwa handsome wa ukweli" HE was perfect, He was like a god aisee, check sasa, iwe wewe ZITTO

Sasa la msingi ni kwamba, wakati wa kampeni na uchaguzi wa vingozi ndani ya chama hazijafika, nakushauri usubiri wakati huo ndo uanze kupenyeza hoja za kutaka kufanya mabadiliko ndani ya chama
chenu, wakati huo masikio yetu yatakuwa yamejiandaa kusikiza mambo hayo, kwa sasa kwa bahati mbaya tumekuwa na mambo mengi kidogo ila hili sio moja wao.

Sasa tunashughulikia KATIBA, karibu
 
Mbabe nakushukuru kwa mchango wako. Naomba nirudie kwako, kuwa ukitulia na kusoma kwa umakini zaidi utagundua pamoja na kwamba post yangu haina maswali mengi lakini hai-rule out moja kwa moja yeye kuwa.

Walioisoma kwa utulivu na kugundua kitu wamefahamu lengo langu ni kuwasaidia watu kusaidia wenzao kuona nini kinafikiriwa kwa mapana dhidi ya muenendo wa Zitto na chama chake.

Watu wamekuwa wakimpuuzia, kumuita crap na mengineyo lakini hawamtendei haki kwa kuweka wazi ni kwa nini wanawaza hivyo?

Post hii (japo tata na inakera) lakini imetoa fursa za kusaidia kujua ni kwanini watu wanasema crap au hastahili kukabidhiwa chama. Haya unayoyaweka ni angalizo muhimu sana.

Hii itasaidia sio tu CHADEMA na wana-CHADEMA wake bali hata na ndugu yangu Zitto kujua kwenye mbongo za watu kuna kitu gani.

Sasa kama hata outsiders mmepoteza imani, hili ni jambo jingine lakini ili kumtendea haki Zitto lazima afahamu ni kwa nini watu wamepoteza imani nae.

O.T: Vibaba unamaliza kuhemea lini? au miaka mingine mi-5?? tehehetehe

NewDawntz mbona u dikteta? Kwanini unalazimisha wachangiaji wawe na mawazo sawa na yako? . Kama wewe unaamini kuwa mawazo yako ni sahihi kwa nini uandike thread na kuanza kumpinga kila mtu anayekuwa kinyume na mawazo yako.Hivi unajua maana ya forums wewe? .Kama wewe mawazo yako ni sahihi kwa nini upoteze muda kuandika kitu ambacho utampinga kila mtu atakayekuwa kinyume chake?

Hivi mtu kusaidia chama chake lazima awe Mwenyekiti? Hivi unafikiri kuwa Mwenyekiti wa chama ni kama kuwa dereva wa daladala? Ni uongozi upi mbaya mnaouona kwa Mbowe? Chama kutoka kuwa na wabunge 11 mpaka wabunge 46 na madiwani wa kutosha mnaona Mbowe hajafanya kitu?

Ngoja nikuambie kuwa Uenyekiti wa chama sio kama udereva wa daladala,bali naweza kuufananisha na urubani wa ndege.Mwenyekiti wa chama sio mwamuzi wa kila kitu katika chama,CDM sio ya mtu mmoja,CDM ni chama chenye muundo wa kitaasisi.Katika CDM kuna Mkutano mkuu,Baraza kuu,Kamati kuu nk.Maamuzi ya chama yanatokana na mikutano ya hizo oganazesheni za chama na sio maamuzi ya mtu mmoja na hata Zitto akiwa Mwenyekiti hatatoa maamuzi yake(kama anavyofikiria) bali maamuzi yatakuwa ya kichama.

Mnavyosema kuwa CDM hawatambui kama Zitto ana kipaji,mbona CDM wanatambua hilo na wanaongoza kwa demokrasia nchini.Kwa kutambua kuwa Zitto ana kipaji na ndio maana akapewa nafasi kubwa ya Unaibu katibu mkuu wa chama katika umri mdogo(miaka 34) alionao.Hebu mniambie katika CCM ni nani amekuwa katibu au Naibu katibu mkuu wa chama kitaifa katika umri huo? hebu tuwaulize umri wa kina makamba na msekwa.

Hivi huyo Zitto kama naibu katibu mkuu kwa nini hakuhudhuria ufunguzi wa kampeni wa Mgombea uraisi wa CDM pale Jangwani? kwa nini Zitto hakushirikiana na viongozi wa CDM Kigoma kuhakikisha CDM inashinda viti vya ubunge? kwa nini alaumu sasa ili wenzake waonekane wabaya na yeye aonekane bora? mbona wenzake walihakikisha wanalinyakuwa jimbo la Rombo na wakalipata? kwa nini yeye ashindwe Kigoma kama yu bora?.Hebu tujiulize kuwa kikwete amechukua miaka mingapi kuanzia ukatibu wa CCM mtwara hadi uenyekiti wa CCM taifa?.

Ukweli ni kwamba kati ya wenyeviti wote wa vyama vya upinzani basi Mbowe graph yake imepanda na amedhihirisha kuwa kweli ana nia dhabiti ya kuipeleka CDM mbali zaidi.Sidhani kama kwa sasa Zitto anatakiwa awe Mwenyekiti.Narudia kusema kuwa CDM si chama cha mtu mmoja ni chama kinachoongozwa kichama zaidi ni kama ndege(aircraft) lazima kuwepo na marubani,wahudumu wa ndege,engineers,waongoza ndege nk.Mimi nafikiri Zitto anahitaji uzoefu sana mpaka aje kuwa Mwenyekiti
 
NewDT

Kweli mfumo utakiwa ubadilike lakini sio kinadharia kama unavyotaka. Niliwahi kumwambia Mwanakijiji kuwa yupo kinadhiria zaidi kama ilivyo kwa kiasi fulani Zitto. Kiasi fulani kinachomwangusha sio unadhairia ila nijikufanya siasa za kuona much know while kuna vitu vingine ninamsumbua. I can not imagine kama angekuwa na nguvu kwa Dr. Slaa ingekuwaje.

SAlhaj ANS

Zito yupon kinadharia?? I doubt! just revist this world and use it properly.

Jamani hivi ueneykiti una siri gani mbona watu mnaililia hivyo?

Nawasilisha....

Kwa sababu mwenyekiti wa sasa ni mfanyabiashara na yuko kibiashara , kama hujui hilo pole we!

jamani huyu zitto si ndio yule yule rafiki wa mkwere, na pia wale jamaa wa usalama wa taifa akina zoka wana urafiki na mtu huyu mpaka kupigiana simu zaidi ya mara 9 kwa siku? anagalieni jamani msije jilaum badae. huyo zito huyo, mtazameni sana si mtu wa kumuamini haraka kwani amekuwa akibadilika mara kwa mara kama kinyonga.

Uliingizwa choo kisicho chako, mmemsema Zito humu, mmemfukuza chamani, mmetoa maneno ya kashfa, yaani mmekuwa haters in such a way mnapoona yupo palepale hatikisiki na kwanza anaonekana kung'aara na kujitoa mhangan kuliko mwingine yeyote mnaaibika na kukaa kimya?? why, you made judgemental too early we all did, is high time ukaondokana na mawazo hayo hasi ambayo ukiandika tu post kama hiyo unasomeka kuwa uko katika wale asilimia 70

Mtanganyika,

..lakini sasa hivi CDM wanaye Dr.Slaa ambaye hana jukumu lolote lile zaidi ya kujenga chama.

..hivi hamuoni kwamba hili chapuo mnalompigia Zitto, huku mkimkandia Mbowe, is a distraction kwa CDM kwa wakati huu?

..kwa nini msijenge CDM kwa kutumia uongozi uliopo sasa hivi, na masuala ya kumu-elevate Zitto yakasubiri mpaka wakati wa uchaguzi mkuu wa Chadema?

..nasema hivyo kwasababu CDM bado ni changa na haina uwezo wa kuhimili haya makampeni yasiyoisha ya Zitto kuwa mwenyekiti wa CDM.

..HOW??!! unless mnataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia.

Kuna "whiners" na "winners". If you want to be accepted as a leader, avoid being seen as the former!Jukumu la kumfanya Zitto akubalike liko mikononi mwake mwenyewe - mimi na wewe hatuhitajiki kufanya research juu ya hili. Besides, sifa ya kiongozi ni ku-possess pursuasive ability kiasi kwamba watu wako wanakukubali na kuamini unachokipigania. Halafu, hakuna mahali niliposema nimepoteza imani na Zitto - ili kitu kipotee si ni lazima uwe nacho kwanza??

Believe me unless you not in Chadema, leo hii ukiitishwa uchaguzi mkuu kati ya Mbowe na Zitto, Zitto anashinda! hili ni hakika na kweli, achana na siasa za JF za kumponda Zito wapiga kura ndani ya chama wako na wanawaza kwingine kabisa

Kama kweli ameona chadema kuna udini, ukabila. kwani kuna sababu gani ya yeye kung'ang'ania? mbona vyama vipo vingi na yeye si ni mtu maarufu? namshauri asipoteze muda, take your time man

woooote wanaoishiwa hoja husema kama wewe, kuwa kama kuna udini na ukabila ondokeni! you are not helping CDM you are confirming the matter at hand

Bravo mtoa maada, umekuwa mpole, umejenga hoja, hujakasirika hata ulipotukanwa, nilivyoangalia umejiunga lini, nikafurahi, you are absolutely amazing, you have bright future and your posts will be educative and challenging

kama ulivyosema tatizo letu ni kuogopa KUFIKIRI, kutaka publicity na kufuata mkumbo exactly kama CCM na viongozi wake, halafu tunamlaumu Kikwete, however some people hawajui hali halisi ya siasa, comment zao ni nzuri kuwa sehemu ya makumbusho kwa vizazi vijavyo.
 
watoa hoja mkiwa mnajibu hoja jiwekeni kuwa kama CCM ndiyo wanajibu hivyo huwa jibu linachukuliwaje, double standards huwa inaaibisha watu, na usisahau ukipenda chongo..
 
Hivi uchaguzi wa mwenyekiti wa chadema kikatiba unatakiwa kufanyika lini? (kumbuka zangu zinanipa kama vile tuna mwenyekiti halali hadi 2013 au siyo?

Topic hii imewahi sana kwani kwa sasa cdm hawatafuti viongozi wako waliochaguliwa kwa mujibu wa katiba au siyo?

Democratic and transparent process (election process) will determine mwenyekiti wa chama au siyo?

Napata wasiwasi kwamba kuna ka-process kama ccm nje ya utaratibu huko cdm ndio maana zitto na supporters wake wameanza mapema ku-lobby au siyo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom