hoja binafsi wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hoja binafsi wana JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by chimpa100, May 9, 2012.

 1. chimpa100

  chimpa100 Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama mdau nawasilisha yafauatayo;;kama tunavyoelewa jf ni uwanja wa majadiliano,habari na hoja mbalimbali asa tofauti na inavyotarajiwa baadhi ya wana jf wanatumia vibaya kianzio cha hoja asa wale wanoanza na neno "news alerts" afu ukisoma habari unakuta ni tetesi kwa hili tujirekebisheni wadau
   
Loading...