Hoja 8 za wanaolalamika Wanyama kupewa mtaa ubungo

Hoja 8 za wanaolalamika Wanyama kupewa mtaa ubungo

Ni Tanzania ambapo masuala ambayo hayana impact chanya katika maisha yao yanachukua nafasi kuu kwenye mijadala wakati masuala yenye kuwagusa kimaisha hayachukui nafasi.

Tanzania kuna vituko!
Wakuu wa vituko: Bashite na uncle
 
Sasa wewe usiotaka jina la mtaa liitwe wanyama, unataka liitwe jina la baba yako? Baba yako mwenyewe kaleta jitu jinga lisilo kuwa na faida kama wewe mburula! Kwani mtaa ukipewa jina la wanyama unapata hasara gani? Au majina yote ya wanasiasa yaliyotumika kuipa jina mitaa hapa Tanzania yamekuingizia faida gani?
 
Nimeona uvivu kusoma, ila hilo jina la mtaa lilikuwa linawapa wananchi hata wa mtaa huo au eneo hilo faida gani haswa?

Mnaoyajua mtufunze wengine!!!
Nina shaka inaweza kuwa hujapona vizuri ule mtindio wa ubongo kumradhi lakini mkuu kipindi Mwai kibaki anapewa heshima ya barabara ya old bagamoyo kuwa Mwai Kibaki ulikuwa unajua faida au leo ndo unataka kujua faida acha ulofa.
 
Eeeeeeeh

Jipige vibao vya usoni ha ha ha aaaaa

Documents za jina hilo ziko wapi, huyo meya ni janga tu hajui kazi yake.
 
Yesu na maria ooooo

Jamwani nini hiki umekiandika woyooooooooo

Mbavu zangu mimi, kabisaaaaaa unajiuona wewee upo juuu...eeeeh kituko cha karne.
Yaani sijawahi ona faida yako humu huna hata upeo kuchanganua hata jambo dogo linakupa shida bora ubaki huru umuhudumie hawara yako unawatia Fedheha ccm wenzio au we ni mmoja wa familia ya Mwijage anayesema ukiwa na vyerehani viinne hicho ni kiwanda [emoji102]
 
Vijana wa CCM wanazungumzia VIWANDA na KAZI...
Vijana wa CHADEMA wanazungumzia Majina ya Mitaa,Rambirambi,Kuruhusu mimba darasa la nne etc...

hapo nadhani unaweza kupata mwanga katikati ya giza la ulichoandika...
Hapa kazi gani umezungumzia [emoji83]
 
Yaani sijawahi ona faida yako humu huna hata upeo kuchanganua hata jambo dogo linakupa shida bora ubaki huru umuhudumie hawara yako unawatia Fedheha ccm wenzio au we ni mmoja wa familia ya Mwijage anayesema ukiwa na vyerehani viinne hicho ni kiwanda [emoji102]

Ha ha haaaa humu ni JF hasira za nini, nochanganue unanilipa embu jishangae duh

Nitaandika chochote kinachonifurahisha mimi, hupendi usisome na unajua huwezo kutokumsoma Cocochanel... ha ha ha haaa
 
Hivi DC anafahamu juu ya kubadilishwa kwa jina la mtaa?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi mipaka ya mitaa ya karibu?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi huduma za jamii?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi legal contracts kati ya mtaa na watu mbalimbali?

Yani huyu meya kafikiri kwa kutunia tumbo tu

umefikiria kwa upeo wa juu mno

hawa wengine unawaonea huruma tu
 
Tatizo kubwa ni kuwa utaratibu haukufuatwa!

Utaratibu uliopaswa kufuatwa
1) Jina hupendekezwa na Kamati ya Mtaa husika ( sio Mayor)

2) Mapendekezo kupelekwa Kwny Vikao vya Kata ( WDC)

3) Mapendekezo ya WDC hupelekwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa
Mkurugenzi hupeleka Pendekezo kwny Kamati ya Fedha na UongoZi
Then Jina Pendekezwa hupelekwa kwny Baraza la Madiwani
Halafu huepelekwa DCC na RCC

Halafu Jina Pendekezwa hupelekwa Ofisi ya Rais ( Tamisemi)

Tamisemi hupeleka Jina kwa Mchapaji Mkuu wa Serikal
Mwishowe Jina hutangazwa kwny Tangazo rasmi la Serikli GN.

Jee Mayor wa Ubungo alifuata huu utaratibu?
Hili nalo watakuja kutokwa Maji + Sabuni
 
Ha ha haaaa humu ni JF hasira za nini, nochanganue unanilipa embu jishangae duh

Nitaandika chochote kinachonifurahisha mimi, hupendi usisome na unajua huwezo kutokumsoma Cocochanel... ha ha ha haaa

Wewe akili zako zimejaa ushuzi kama za bashite na le mtumboz
 
Yaaan we jamaa bhaana sijui umeshndwa nin kuandika bila kutaja vyama...

Utakufa maskini wa fikra km hautobadilika.

Epuka saana ushabiki wa vitu visivyokuwa straight.
Eg.
Dini.
Siasa.
Ugomvi.
Talk active.
Dharau.

Uwezo wako ni mdogo wa kufikiri.
Fuata iyo kanuni uishi vizuri daima.
 
Akamuandike kwenye hati ya kiwanja chake...... kwa maslah yakw... ule mtaa sio wa meya ni wa wananchi sio anakurupuka tu km anabandika picha ukutani
 
Ha ha haaaa humu ni JF hasira za nini, nochanganue unanilipa embu jishangae duh

Nitaandika chochote kinachonifurahisha mimi, hupendi usisome na unajua huwezo kutokumsoma Cocochanel... ha ha ha haaa
Duh[emoji23][emoji83][emoji48]
 
Vijana wa CCM wanazungumzia VIWANDA na KAZI...
Vijana wa CHADEMA wanazungumzia Majina ya Mitaa,Rambirambi,Kuruhusu mimba darasa la nne etc...

hapo nadhani unaweza kupata mwanga katikati ya giza la ulichoandika...

Huwezi kulinganisha failure Wa ucccm na vijana Wa chadema ,

Ccm wengi ni lazy and idiots
 
Hivi DC anafahamu juu ya kubadilishwa kwa jina la mtaa?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi mipaka ya mitaa ya karibu?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi huduma za jamii?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi legal contracts kati ya mtaa na watu mbalimbali?

Yani huyu meya kafikiri kwa kutunia tumbo tu
Mbona ile barua inaonekana aliyetia saini ni mtendaji na mwenyekiti wa serikali ya mtaa ambao ni ccm?
 
Vijana wa CCM wanazungumzia VIWANDA na KAZI...
Vijana wa CHADEMA wanazungumzia Majina ya Mitaa,Rambirambi,Kuruhusu mimba darasa la nne etc...

hapo nadhani unaweza kupata mwanga katikati ya giza la ulichoandika...
Mkuu soma watia saini kwenye hiyo barua alafu niambie yupi ni chadema hapo
IMG-20170624-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom