Hoja 8 za wanaolalamika Wanyama kupewa mtaa ubungo

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
SWALI: Kwanini Victor Wanyama amepewa mtaa na si Mbwana Samata?

JIBU: Kumpa Victor Wanyama jina la mtaa hakuzuii Mbwana Samata kupewa. Kuna mitaa mingi haina majina, Samata anaweza kupewa mmoja.

SWALI: Kwanini Mayor Bonny hakumpa kwanza Samata jina la mtaa kabla ya Wanyama?

JIBU: Si lazima Bonny afanye yote. Mameya wengine wanaweza kufanya pia. Zaidi ya 70% ya halmashauri zipo chini ya CCM. Mameya wa CCM wana nafasi kubwa zaidi ya kufanya kuliko mameya wa UKAWA ambao ni chini ya 30%.

SWALI: Samata ameanza kupeperusha bendera kimataifa tangu 2010 kwanini msingeanza naye?

JIBU: 2010 halmashauri zote za Dar Es Salaam zilikuwa chini ya CCM, walaumuni mameya waliokuwepo kwa kushindwa kuliona hilo.

SWALI: Wanyama ameifanyia nini Tanzania?

JIBU: Tanzania kuna mtaa wa Azikiwe,
Je, Hayati Nnandi Azikiwe aliifanyia nini Tanzania? Au Kwame Nkurumah? Au Sam Nujoma, wote hawa waliifanyia mini Tanzania?

Kenya kuna mtaa unaitwa Sokoine,
Je, Sokoine aliifanyia nini Kenya? Uingereza kuna mtaa wa Mwl.Nyerere,
Je, Nyerere aliifanyia nini Uingereza?

SWALI: Samata ni mtanzania wa kwanza kucheza Soka la Ulaya mbona hamjamuona?

JIBU: Tutengeneze mfumo wa kuwaenzi mashujaa wetu wote sio Samata tu. Filbert Bayi ni mtanzania wa kwanza kupata medali ya dhahabu katika riadha kwenye olympic, mbona hajawahi kuenziwa?
Mbona hakupewa mtaa na halmashauri zote zilikua chini ya CCM?

Saada Bint Said ni mtanzania wa kwanza kuimba nyimbo za ukombozi barani Afrika kupitia taarab na anafananishwa na Miriam Makeba wa Afrika Kusini, mbona hakumbukwi na hakupewa japo mtaa?
Tena wakati huo CCM ilikua inaongoza halmashauri zote, manispaa zote na majiji yote. Kwanini hamjawahi kuwaenzi mashujaa hawa?

Leo mnajifanya kuumizwa na Wanyama kupewa mtaa? Seriously?....
Kama uchungu huo ungekuwa wa kweli mngekuwa mshawapa mashujaa wetu kina Filbert Bayi, Marijani Rajabu etc majina ya mitaa ndani ya nchi hii mnayojiitia watawala.

Jiulize Meya wa Temeke (CCM) ameshindwa nini kuupa mtaa wowote kwenye manispaa yake jina la Samata au Bi.Kidude? Meya wa Mwanza (CCM) ameshindwa nini? Au mnataka vyote afanye Meya wa Ubungo?

SWALI: Wanyama kupewa mtaa ina maana yoyote kwetu kiuchumi na kidiplomasia?

JIBU: Hamjui hilo?...
Kiuchumi tutegemee ongezeko la watalii maana Tanzania imejitangaza.
Kumbuka wapo watu wengi mashuhuri wamekuja nchini kimyakimya.

Haikutusaidia sana kujitangaza. Lakini wanyama amekuja waziwazi na dunia inajua yupo kwetu. Ameshiriki social activities nyingi. So return yake si haba.

Pia Kidiplomasia tumeonesha kwa vitendo mtangamano wa jumuiya ya EAC. Kumbuka mwenyekiti wa EAC kwa sasa ni Rais JPM.

SWALI: Nini kifanyike??

JIBU: Kwanza, acheni uzwazwa!
Pili alichofanya Meya wa Ubungo kiwe chachu ya kuwaenzi mashujaa wetu wengine. Mameya wengine watoe mitaa yao waipe majina ya watanzania.

Kumlaumu mtu kufanya jambo ambalo hata wewe unaweza kufanya huo ni uzwazwa? Kama Bonny kampa mtaa Wanyama, mwambieni Meya wa Temeke (CCM) akamate fursa "chapchap" atangaze mtaa mmoja kuupa jina la Samata au Filbert Bayi au Bi.Kidude au "Bashite Zero Brain".
Acheni kulialia, chukueni hatua. Hata nyie mnaweza.

SWALI: Wanyama ni wingi wa mnyama?

JIBU: Hapana, Wanyama ni kifupi cha "TID Mnyamaaaa". Mazwazwa nyie.

Malisa GJ
 
MASWALI YA KIPUUZI YA VIJANA WA CCM NA MAJIBU MAKINI YA VIJANA WA UPINZANI.

Ha ha aha aha nimependa jibu la mwisho
 
Ni Tanzania ambapo masuala ambayo hayana impact chanya katika maisha yao yanachukua nafasi kuu kwenye mijadala wakati masuala yenye kuwagusa kimaisha hayachukui nafasi.

Tanzania kuna vituko!

Wakati viongozi wao wanatumia muda mwingi kuhusu eti majina ya mitaa, wananchi wa maeneo hayo hawana hata daraja la kuvukia kwenda kwenye mtaa mwingine mpaka watoto wao wanasombwa na maji.

Matatizo ya nchi yetu ni makubwa zaidi ya tunavyodhani!
 
Ni Tanzania ambapo masuala ambayo hayana impact chanya katika maisha yao yanachukua nafasi kuu kwenye mijadala wakati masuala yenye kuwagusa kimaisha hayachukui nafasi.

Tanzania kuna vituko!
jiulize nani anayaanzisha na kwanini asijibiwe kama anapotoka?
 
Nimeona uvivu kusoma, ila hilo jina la mtaa lilikuwa linawapa wananchi hata wa mtaa huo au eneo hilo faida gani haswa?

Mnaoyajua mtufunze wengine!!!
Mbona mtaa wenu unaitwa nyati? Kuna wanaofanana na nyati hapa dar? Mbona hatulalamiki.....au wakati mnatunga haya majina mlikuwa mmemkunywa pombe. Nyie ccm sijui mna nini kwenye huo ubongo.
 
Ikitokea mtaa wetu ukatunukiwa jina la bashite zero brain, nitahama mara moja bila kupoteza muda afadhali ata Makinikia street nisingelihama.
 
Mbona mtaa wenu unaitwa nyati? Kuna wanaofanana na nyati hapa dar? Mbona hatulalamiki.....au wakati mnatunga haya majina mlikuwa mmemkunywa pombe. Nyie ccm sijui mna nini kwenye huo ubongo.

Yesu na maria ooooo

Jamwani nini hiki umekiandika woyooooooooo

Mbavu zangu mimi, kabisaaaaaa unajiuona wewee upo juuu...eeeeh kituko cha karne.
 
ZOEZI hilo alilolifanya Meya naliita "SERIOUSNESS IN SIMPLEST MATTERS" - "Umakini katika mambo mepesi sana".

hii inajumuisha na maswali na majibu hapo juu...

Kwa kuwa wewe ni poyoyo zuzu ulimwengu upo huku

Hata English uliyo iandika ipo kilumumba Lumumba
 
Nimeona uvivu kusoma, ila hilo jina la mtaa lilikuwa linawapa wananchi hata wa mtaa huo au eneo hilo faida gani haswa?

Mnaoyajua mtufunze wengine!!!

Kama ilivyo kwa majina yote ya viongozi yanayotumika katika mitaa mbalimbali yasivyo na faida kwa wakazi wa mitaa husika,ndivyo ambavyo jina la Wanyama lisivyoweza kuwa na faida yoyote kwa huo mtaa.Tunaowatunza kwa kodi zetu huku majina yao tukiyatumia sehemu mbalimbali nchini,ndiyo walioingia mikataba inayozalisha takataka ziitwazo "makinikia" tunazozigombea leo,nini faida yao?
 
Ni Tanzania ambapo masuala ambayo hayana impact chanya katika maisha yao yanachukua nafasi kuu kwenye mijadala wakati masuala yenye kuwagusa kimaisha hayachukui nafasi.

Tanzania kuna vituko!

Tatizo mnawaamini wajinga mnawapa uongozi
 
Kimsingi ccm na vijana wao niwatu walioshindwa kiakili,kimwili,kimawazo hawako sawa,sijawahi kutegemea matokeo mazuri kutoka kwa wtu walioshindwa
Vijana wa CCM wanazungumzia VIWANDA na KAZI...
Vijana wa CHADEMA wanazungumzia Majina ya Mitaa,Rambirambi,Kuruhusu mimba darasa la nne etc...

hapo nadhani unaweza kupata mwanga katikati ya giza la ulichoandika...
 
Nimeona uvivu kusoma, ila hilo jina la mtaa lilikuwa linawapa wananchi hata wa mtaa huo au eneo hilo faida gani haswa?

Mnaoyajua mtufunze wengine!!!

Kwani wewe yule azikiwe amekupa nini ??

We kila siku nakwambiaga unawaza kwa kutumia masaburi yako
 
Nimeona uvivu kusoma, ila hilo jina la mtaa lilikuwa linawapa wananchi hata wa mtaa huo au eneo hilo faida gani haswa?

Mnaoyajua mtufunze wengine!!!

Mtaa uliyopo ofisi ya mazwazwa unaitwa Lumumba

Huyo Lumumba kaeasaidia nini
 
Hivi DC anafahamu juu ya kubadilishwa kwa jina la mtaa?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi mipaka ya mitaa ya karibu?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi huduma za jamii?

Je mabadiliko hayo yanaathiri vipi legal contracts kati ya mtaa na watu mbalimbali?

Yani huyu meya kafikiri kwa kutunia tumbo tu
 
Back
Top Bottom