Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 547
- 646
Mambo yote yafanyike kama yanavyopangwa nia iwe kukomoa au kutenda haki. Lakini ikumbukwe kuwa Kuna mwisho na ni vizuri mwisho ukawa mzuri.
Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani?
Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.
Zaidi ya yote kumbukeni kwamba kuna uwezekano wa kutokea counter attack hapo baadae. Utakua upande gani?
Ni bora utende haki; mwisho una karibia sana.