kuna watu hiyo hofu wanaitengeneza kwa maslahi yao binafsi. walianza na kusema kuwa serikali inawapendelea waislam, baadaye wakazusha kuwa kuna waislam wametoka somalia kuwadhuru wakristo siku ya pasaka. hawa watu wajinga mno
kinga ni bora kuliko tiba watu walipopuuzia tuliona mauaj yaliyotokea zanz na kuuawa kwa mchungaj mwanza.kama wewe unaona ni ujinga watu kulinda maisha yao hongera nadhan wewe upo upande salama.ila sasa watu wanapaswa kuwa makin dhid ya watu wanaomwabudu shetan wanaodhan kuua binadam wengne ni njia ya wao kwenda kwa Muumba wao.kitu ambacho kina make sense kabisa.maana wauaji ni watu wa shetan siku zote bila kujal wanajitambulisha kwa din gan.mkristo hata akikuta mtu anamtukana Yesu hapasw kumuua Yesu hatetew na binadam.sijajua kwa waislamu kukoje.ila anayeua ni muumin wa din ya shetan.imeandikwa usiue.