Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,764
- 908
ZZK, ni mwanasiasa makini na mwenye ushawishi mkubwa huo ndiyo ukweli.
hujui tu act wazalendo wana wenyeviti wa mitaa na wajumbe nchi nzima jumla 256mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ana mambo muhimu ya kufanya hasa kuelekea uchaguzi mkuu - yaani uwe na wasiwasi na chama ambacho hakina hata kiongozi mmoja wa mtaa nchi nzima!! Maajabu.
Mwacheni kijana ahangaike akichoka atakaa kama walivyokwisha kaa wengine!! Siasa za nchi hii si za kuingilia kichwa kichwa - angepata ushauri toka kwa kina lamwai and the like!!
Ndugu acha ubaguzi sisi wote ni wamungu na kwa mungu tutarudi
Mbowe halali sikuhizi yani pale ufipani hata mbege hazinyweki,babu slaa hali inazidi kuwa mbaya kaenda kutibiwa usa wenyewe wanadai eti kaenda kikazi nani hajui kama huyu babu afya inazidi kuzorota kila siku
Slaa amenukuliwa USA na kusema kuwa Mbowe ni mmoja wao wa viongozi walioficha mabillion Uswisi. Mwaka huu kila mtu na chake CDM.
haha..washuhudie Overtake ya overtake CDM wanapiga yote.From: Mwigulu Nchemba Date: Saurday April , 2015 at 1:10 PM To: Zitto Kabwe Subject:Re: KUONGEZA NGUVU Hon PM, Apson sijongea naye. Naona hata humu ndani mambo si mazuri. Vijana wangu wameniletea taarifa kwamba Vuvuzela (mropokaji) anajaribu kila njia ikiwa ni pamoja na kuwashawishi viongozi ili mzee akatwe kwenye hatua ya kwanza kabisa, maana pale juu kila mtu yuko upande wetu. Tengeneza mazingira, ila naona kila dalili ikitokea tu, itakuwa vizuri kwako ukimpisha. Maana itakuwa ni tofauti na madai ya wengi kwamba wewe ni mpenda madaraka sasa watashangaa kuona unamwachia. Itakuwa pia vyema ukianza kuzungumzia hii kwenye majukwaa ili kuwatayarisha wananchi kisaikolojia ila kwa sasa hivi naona mipango yetu yote iko sawa. Huyo mambo is a dying horse. EL is a big engine! They know na hakuna wanachoweza kufanya at this point. Juliana will call you she has a message. Ila nikutakie kila la heri kwenye mapambano leo. Lameck From: Zitto Kabwe zittokabwe@gmail.com Date: Sat, 11 Apr 2015 14:42:03 +0300 To: Mwigulu Nchemba shimbi85@gmail.com Subject: Re: KUONGEZA NGUVU Comrade, Makamuzi yanaendelea, nadhani mmeona mambo ya makambako. Hao washenzi wa ufipa mwaka huu wataisoma namba, na ndoto yao ya kuichukua nchi tunaiua. Sasa kuna mapungufu. The amount we have is very insufficient. Naombeni tusaidiane hapa, nadhani ili tukamilishe shughuli by June tunahitaji 700m pamoja na additional manpower kwenye social media. Mapokezi na muamko ni mkubwa sana toka kwa wananchi CDM is dying. Tafadhali jadili hii issue na prof pia tujaribu kuongeza vijana kwenye social media maana tusipojibu mapigi hii issue ya usaliti itasambaa na kuaminika. Kwenye majukwaa tutawakaanga kabisa na kuhusu bwana mkubwa, inabidi tuanze rasmi kutengeneza mazingira stahiki, ili Mangula na wenzake wakijaribu kumzuia, upande wetu ni rahisi kumkaribisha Cheers, ZZK From: Zitto Kabwe zittokabwe@gmail.com Date: Sat, 11 Apr 2015 5:47 AM (GMT-5:00) To: Mwigulu Nchemba shimbi85@gmail.com Subject: Re: KUONGEZA NGUVU Comrade, Kwema? Umewasiliana na Apson? Naomba ongea naye. Budget ya matangazo iongezwe. Muhimu sana na posho za vijana kwenye planning. Nimepata habari rasmi kwamba Nyoka wa Mdimu anasaidiana na CDM, na Vuvuzela ndiye anayepenyeza taarifa kwa Riz1. Hizi ni pamoja na biashara nyingi za mzee. Wanamtumia kijana anayeitwa Luckson kupeleka taarifa ufipa, lengo ni kumchafua his Excellency wakiwa na malengo kwamba asifike hata kwenye NEC. In politics anything unanswered can be a big damage. Counter haraka sana. Mbona mnainyamazia Bahari Beach Hotel? Apson inabidi aongezewe nguvu. Mimi niko kwenye hii ziara, and may not be in Dar for couple of days. Prof yupo. ZZK
Mbowe ni fisadi namba moja nchi hii kila mtu anajua
Poleni CDM hiyo ni NGO na siyo chama, iweje leo muasisi wa chama anakuwa na pensheni ndani ya mapato ya chama???
vipi umechanganyikiwa na hizo email za hao jamaa...?What a shame,what a complicated route for self destruction.mimi sijui....
Na nani?Lowasa au CCM?Mbona CCM hawajwahi muamini kwa kiasi hata hicho cha CDM?ZITO angekuwa MCHAGA angeaminiwa.
Asalaam aleikhum wanajukwaa
Kwa takribani kipndi kama cha mwezi mzima uliopita kumeibuka msuguano mkubwa sana hasa kwenye mitandao ya kijamii kati ya wafuasi wa CHADEMA dhidi ya wafuasi wa chama cha ACT.
Msuguano huo hasa unahusisha wale wafuasi wa CHADEMA kurusha tuhuma nzito dhidi ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu Zitto kwa kumuita -------, Anatumiwa na CCM kuuwa upinzani, Anaandaliwa mikutano yake na CCM na shutuma nyinginezo nyingi nyingi tu sina haja ya kuzirudia hapa.
Lakini kwa upande wa huyo aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA yeye alishapigia mstari kule alikokuwepo na ameanza safari yake mpya katika chama kipya na ambacho amakiasisi yeye mwenyewe wakati akiwa bado na kesi dhidi ya CHADEMA na hatukuwai kumsikia ama haijathibitishwa ya kwamba huko ACT alipohamia amekuwa akiwatuhumu ama kuwashambulia viongozi wa chama chake cha zamani lakini pia chama chake cha zamani.
Sasa nirudi katika hoja ya kwanini Mbowe, Slaa na baadhi ya wanachama wa chadema walio watiifu kwa Mbowe na wale wafuata mkumbo wanahofu dhidi ya ZITTO?
Ni ukweli usiopingika Mbowe na Zitto ndio waliotumia muda mwingi kukijenga chama hicho na kuwaaminisha Watanzania kwamba muarubaini wa matatizo yao umepatikana na katika pilika za kukujenga chama hicho ndugu Zitto aliwavutia vijana wengi sana kuipenda siasa hasa ikizingatiwa kipindi kile hakukuwa na vijana waliokuwa wanavutiwa na siasa.
Kwa mantiki hiyo ndani ya CHADEMA kuna viongozi wengi ambao wamekuwa wakinungunika muda mrefu sana kutokana na aina ya uongozi wa mabavu ambao mwenyekiti na katibu wake pamoja na wale vipenzi vyao wanaoutumia.
Na wamekuwa hawana sehemu ya kusema kwa kuwa wako ndani ya chama lakini wametengwa na ni wanamageuzi wa ukweli kabisa nikiwa na maana hawawezi kuhamia chama tawala kwa hiyo wamekuwa kwa muda mrefu wakivumilia vurugu zote na mabavu ya Mwenyekiti na genge lake.
Sasa hofu inakuja zaidi kwa Mwenyekiti na genge lake kwa kuwa wale Makamanda sasa wanamahali pakuelekea na hasa baada ya kuona mwanzo wa ziara za ACT na hali yakuwa Makamanda hao wanaushawishi mkubwa sana katika jamii inayowazunguka.
Wasalaam
Ukweli hakuna mwingine zaidi ya hizo email wanazobadilishana.Zitto anafanya kazi na vipande vya CCM dhidi ya kipande kingine.Soon anawabomoa..shenzi type.Na watamshtukia biashara inakuwa ngumu kwakwe pande zote ,sasa atakuwa na vita moja ccm,ingine na wapinzani,ingine na nafsi yake.umenena ukwel kk aswaa km vile ulikuwepo moyon mwangu
From: Mwigulu Nchemba <shimbi85@gmail.com>
Date: Saurday April , 2015 at 1:10 PM
To: Zitto Kabwe <zittokabwe@gmail.com>
Subject:Re: KUONGEZA NGUVU
Hon PM,
Apson sijongea naye. Naona hata humu ndani mambo si mazuri. Vijana wangu wameniletea taarifa kwamba Vuvuzela (mropokaji) anajaribu kila njia ikiwa ni pamoja na kuwashawishi viongozi ili mzee akatwe kwenye hatua ya kwanza kabisa, maana pale juu kila mtu yuko upande wetu. Tengeneza mazingira, ila naona kila dalili ikitokea tu, itakuwa vizuri kwako ukimpisha. Maana itakuwa ni tofauti na madai ya wengi kwamba wewe ni mpenda madaraka sasa watashangaa kuona unamwachia.
Itakuwa pia vyema ukianza kuzungumzia hii kwenye majukwaa ili kuwatayarisha wananchi kisaikolojia ila kwa sasa hivi naona mipango yetu yote iko sawa. Huyo mambo is a dying horse. EL is a big engine! They know na hakuna wanachoweza kufanya at this point. Juliana will call you she has a message. Ila nikutakie kila la heri kwenye mapambano leo.
Lameck
From: Zitto Kabwe zittokabwe@gmail.com
Date: Sat, 11 Apr 2015 14:42:03 +0300
To: Mwigulu Nchemba shimbi85@gmail.com
Subject: Re: KUONGEZA NGUVU
Comrade,
Makamuzi yanaendelea, nadhani mmeona mambo ya makambako. Hao washenzi wa ufipa mwaka huu wataisoma namba, na ndoto yao ya kuichukua nchi tunaiua.
Sasa kuna mapungufu. The amount we have is very insufficient. Naombeni tusaidiane hapa, nadhani ili tukamilishe shughuli by June tunahitaji 700m pamoja na additional manpower kwenye social media. Mapokezi na muamko ni mkubwa sana toka kwa wananchi CDM is dying.
Tafadhali jadili hii issue na prof pia tujaribu kuongeza vijana kwenye social media maana tusipojibu mapigi hii issue ya usaliti itasambaa na kuaminika. Kwenye majukwaa tutawakaanga kabisa na kuhusu bwana mkubwa, inabidi tuanze rasmi kutengeneza mazingira stahiki, ili Mangula na wenzake wakijaribu kumzuia, upande wetu ni rahisi kumkaribisha
Cheers,
ZZK
From: Zitto Kabwe zittokabwe@gmail.com
Date: Sat, 11 Apr 2015 5:47 AM (GMT-5:00)
To: Mwigulu Nchemba shimbi85@gmail.com
Subject: Re: KUONGEZA NGUVU
Comrade,
Kwema? Umewasiliana na Apson? Naomba ongea naye. Budget ya matangazo iongezwe. Muhimu sana na posho za vijana kwenye planning. Nimepata habari rasmi kwamba Nyoka wa Mdimu anasaidiana na CDM, na Vuvuzela ndiye anayepenyeza taarifa kwa Riz1. Hizi ni pamoja na biashara nyingi za mzee. Wanamtumia kijana anayeitwa Luckson kupeleka taarifa ufipa, lengo ni kumchafua his Excellency wakiwa na malengo kwamba asifike hata kwenye NEC. In politics anything unanswered can be a big damage. Counter haraka sana. Mbona mnainyamazia Bahari Beach Hotel? Apson inabidi aongezewe nguvu. Mimi niko kwenye hii ziara, and may not be in Dar for couple of days. Prof yupo.
ZZK
Haha..tayari ana NUSU ACT,Masalia ya CDM, an VIPANDE VYA CCM,yupo kundi moja na mengine anayamaliza.inaeleweka kuwa zitto ni mwanasiasa mwenye ngoz ngumu na mtu ambaye ajali maslahi yake anajali maslai ya nchi yake km alkuwa anapenda ela bs angeenda ccm ni hakuna na hajawai tokea mwanasiasa mweny maamzi magum km ya zzk kuvuliwa uanachama ukajiunga chama kpya bila kujal utapenya kurudi bungen weng wamefukuzwa akina mrema-nccr akina juliana shonnza-bavicha na wengne weng lkn wote walkimbilia ccm ili waendelee kutawala inaonesha zitto anawaamin vp wananchi wake popote atakapoenda watamfata kutokana na mchango wake ndo maana mwaka huu hagombei kigoma mcpate vcingizio eti walmuzoea bal nchi nzima anakubalika adi nje.Turud kweny uhalisia zzk ni bnadam awez kuwa mkamilfu kila kitu je kwa ss tunaomponda umu ndan ni nani mzoef na anaemuzid zzk siasa km yupo aseme tutaftane mezan bila ushabik bal ni kwa hoja