Hofu ya CCM ni kwa CHADEMA kuwa na pesa?

Mungu ibariki CDM na wapambanaji wake!

Suala la Pesa ni muhimu kabisa kwa chama serious kama CDM. Hata kama tungepata za mkopo toka kwa shetani ili mradi ziwe za kuondoa mafisadi, ili mradi haziendi kununulia unga wa kulewesha watoto wetu. CDM kinahitaji pesa. TUkiunge Mkono.

Mambo ya akina simba tuwaachie akina makamba, mwanamke kama huyu wanadhalilisha wanawake wapambanaji duniani.
 
Back
Top Bottom